kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania LUG Ina maana gani unapoomba mkopo kupitia HESLB?

    Kwema wakuu changamoto niliyonayo ni kwamba mdogo wangu kaapply mkopo ila ukifungua kwenye akaunti yake inaonekana kama nilivyoambayanisha hapa, Je Kuna yeyote amewahi kukutana na changamoto hii na aliitatua Kwa kutumia mbinu ipi? Natanguliza shukrani zangu za dhati🙏
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Onyo: Zanzibar inapaswa kuacha ubaguzi dhidi ya ndugu zao watanganyika, itawagharimu pakubwa

    Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu. Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Weapons toka UAE na Mercenaries wanazidi kuletwa Tz kupitia Uganda

    Toka jana kumekuwa na ndege nyingi toka Uganda na UAE zikitua na kutoka Tanzania. Hii ilikuwa jana👆 Sasa leo UAE wanaomiliki strategic areas hapa Tanzania wapo busy kuleta silaha na mercenaries wa Uganda, fuatilieni flight radar mtajionea. Watanzania tupiganie nchi yetu kwa pamoja...
  4. A

    JamiiForums Tanzania CCM inazidi kupoteza Fursa ya Kujijenga Upya Kupitia Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo. Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
  5. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Wafuatao wasalimiwe haraka sana kupitia mali zao

    Wapinga Haki wote!
  6. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia maigizo ya uchaguzi tumekuwa kichekesho cha dunia

  7. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kiurahisi Kama Unatengeneza Hasara au Faida kwenye Ufugaji wako wa Kuku kupitia Fuga App 📱

    Heri ya Wiki Mpya yenye Mafanikio Wafugaji wa Kuku🎉 Fuga App inakusaidia kujua Faida na Hasara kwenye Shamba Lako la Kuku kiurahisi bila Kupiga hesabu nyingi za kukuchosha ili ujue wapi pakuboresha shamabani kwako Cha kufanya Rekodi Matumizi yako na Mauzo yako alafu acha Fuga App ipige hesabu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya Leo kupitia ajira portal

    AJira nyingi kwa kada za afya,walimu,nk zimetangazwa Leo. Kwa wenye changamoto katika kuomba wasiliana na 0623446608 usaidiwe personally
  9. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Leo utaona safari ya roho kupitia mbingu 7 kisha kwenda Barzakh

    katika vitabu vya kidini imeandikwa kila nafsi itaonja mauti wakati huo ukifika macho yatafunga pumzi zitasimama na Ruh itaondoka kwenye mwili lakini nini kitatokea baada ya? Roho inaenda wapi? baada ya kifo roho hupanda hadi mbingu 7 ambako huvumbua siri za ulimwengu katika kila mbingu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya mgombea urais SMZ kupitia CUF aliyeenguliwa Bw. Masoud

    08 October 202 Zanzibar, Tanzania KESI YA CUF DHIDI YA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YAENDELEA KUSOTA MAHAKAMANI Wakili wa Bw. Hamad Masoud anayewania kiti cha urais wa serikali ya Zanzibar azungumza, hata ya mwanzo ya mapingamizi kuwa mahakama haiwezi kusikiliza kesi hiyo yaliyoletwa mahakamani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania ikizuia mobilization ya maandamano kupitia mitandao, Watanzania watutumiana SMS

    Serikali zimekuwa ikifuta post zinazohamasisha na kufundisha watu kujilinda wakati wa Maandamano, Basi watanzania tutatumia njia mpya kuwasiliana na kufanya mobilization. Natoa wito kwa watu humu ndani kuunda mifumo maalum isiyokuwa censored kufundishana na kukusanya watu. Na kutoa taarifa za...
  12. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku naye analinda kula yake kupitia MNF pale Rotana Johari Buildings amesahau matamko yake amelipwa Trilioni ngapi Watz M60 tumchangie?

    Kwa kifupi tu Andrew Nyerere mwenye Ubini na ihalali wa yale majengo alishamaliza kila kitu na ndiyo maana familia ya ndani ya Baba wa Taifa wapo kimya. Butiku asitake kula matapishi yake tuko imara kwa data aliwahi kuiponza Taasisi ya TPO leo anaona maslahi ya wanaye ni bora kuliko Taifa hafai...
  13. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Alichoandika Daudi. T. Balali kupitia x ( zamani twitter )

    KAANDIKA: INFORMATION SMOKE SCREEN, hivyo Baada ya kuingia CHATGPT...Nikapata tafakuri ya maneno hapo chini Neno “information smoke screen” linamaanisha: 👉 “pazia la moshi la taarifa” au “upotoshaji wa taarifa” kwa Kiswahili. Ni mbinu ya kuficha ukweli kwa kutoa taarifa nyingi za kupotosha...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania FIFA kufuta magoli yanayofungwa kupitia mpira unaotemwa na kipa

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) linatafakari kufanya mabadiliko makubwa katika sheria ya upigaji penalti kwa kuondoa mabao yanayofungwa kupitia mpira unaotemwa na kipa. Katika mapendekezo hayo, mchezaji atakuwa na nafasi moja pekee ya kufunga; endapo atakosa, mchezo utaendelea kwa kipa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuna Changamoto ya Manunuzi ya Umeme Kupitia Yas, Vodacom na NMB

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu ya Yas, Vodacom na benki ya NMB hivyo kwa sasa tunawashauri wateja kutumia mitandao ya simu na njia za kibenki...
  16. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Kama Hesabu rahisi (Fedha,idadi,muda) za kila siku zina eleweka , Basi hii Hapa ni Mbinu rahisi ya kuelewa Programming Kupitia Websites na Mobile App

    Programming tafsiri rahisi ni kutengeneza programu ,kwamba baada ya kufanya programming ndio inapatikana programu ya kompyuta, undani wa kujua programming ni kufahamu sayansi ya kompyuta. LAI : Maelezo haya ni ya kiswahili lakini kwa neno ambalo hauja lielewa kabla ya kuendelea chukua muda...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Bongo Movie wana vitu vingi vya kujifunza kupitia Trailer ya Mbosso ya MAD MAX kuliko kukaa kusifia viongozi na CCM

    Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM na viongozi serikalini. Mbosso ambae ni msanii wa mziki kuachia trailer ya MAD MAX iliyofanywa kwa...
  18. John Sin

    JamiiForums Tanzania Nadhani Dunia itanikumbuka kupitia hii Principle mpya Dunia

    "The Principle of Papuchi states that when borrowing increases, prices tend to drop, and vice versa Katika zama hizi za utandawazi na za gizani kuona principle/ kanuni yoyote yenye manufaa dunia ni kazi sana kwasisi ngozi nyeusi. Lakini mm kama msomi itaingia field ili kuifanya principle...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Trump anachofanya kuweka ngumu kupata visa ya Marekani na kuwasaka waamiaji haramu kupitia ICE yuko sahihi

    Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu wako watakaosema ni ngumu jibu ni kwamba hakuna kitu kirahisi Ukifuatilia habari ni kawaida kuona...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuku akipata mjanja ana nafasi nzuri ya kujikwamua kimaisha kupitia wapenda sifa

    Napo viral yake imekuja kipindi tete huku kwa namna fulani ikihusika moja na moja na CCM kupitia uharibufu wa mabango ya mgombea... LAKINI anaingia kwenye list ya Dr. Shaka Majaliwa mvuvi Mandonga nk CCM wangeshapita naye kitambo lakini kuna mambo mawili yanawafanya wasite japo wanamtamani...
Back
Top Bottom