kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Mara ya pili sijapata gawio langu la Vodacom kupitia DSE – msaada tafadhali

    Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri. Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu. Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana: Nikipiga...
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ni mfanyabiashara kupitia kanisa lake na wala sio mtume kama wengine wanavyofahamu

    Naanza na hii ●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni trade partners Uthibitisho unajionesha wazi maana kuna logo ya ice drop na hio ya mwamposa A rise and...
  3. Twilumba

    JamiiForums Tanzania NHIF na Mikakati ya Uzuiaji wa Magonjwa Yasiyoambukiza Kupitia Mazoezi ya Mwili kwa kuingia mikataba na baadhi ya GYM

    Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya kuongezeka kwa gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama shinikizo la damu...
  4. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Simbanking kupitia Voda wapi shida ipo

    Unamtumia mtu hela kutoka account yako ya CRDB kwenda account nyingine ya CRDB inakuambia umefanikiwa maana ni kweli unaona hata na jina lake linatokea. Ila sasa tatizo kujua kweli zimeingia hadi upigie akumbie zimeingia ila wewe huku hakuna message inakurudia kuwa umetuma hela kwenda kwa flani...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kunufaika na Fursa Lukuki Kupitia Ushirikiano wa Afrika na Singapore

    Tanzania Kunufaika na Fursa Lukuki Kupitia Ushirikiano wa Afrika na Singapore Miongoni mwa maeneo ya ushirikiano ni masoko ya mazao ya kilimo, elimu na mafunzo kwa vijana, nishati jadidifu, na uchumi wa kidijitali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kama unataka amani ya moyo usifanye miamala siku ya jumapili kupitia CRDB

    Muamala unafanyiwa kazi masaa, customer service hawapokei, huko mitandaoni hawajibu. This bank is 🚮🚮
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo INEC wananavyoweza kuchakachua kura kupitia NIDA

    Imeandikwa na Dr Calipso, X HII INAFANYIKAJE . Kwenye mfumo kuna kitu kinaitwa query, unaicommand query in run ikuvutie taarifa Fulani muhimu then unaweza kuzi intergrate na mifumo mingine wataalamu wa CTC2 Database inayo inayotunza taarifa za Ukimwi mnaelewa. Mfano waliojiandikisha kihalali...
  8. W

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  9. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

    CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye! tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI aiianza na kusema...
  10. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nani anajua kuingiza pesa kupitia YouTube Automation anisaidie

    Kuna mtu anaingiza pesa kupitia YouTube Automation anatoa kozi / mafundisho ya kuingiza pesa kupitia YouTube Automation nilimwambia anioneshe chaneli yake aligoma, hivyo nikashindwa kumwamini kama kweli anaingiza pesa, nauliza nani anajua hii kitu anisaidie, nicheki sms / call / WhatsApp +255...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kura zinaibiwa vipi kupitia NIDA?

    Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kuna kikubwa cha kujifunza kwenye mtindo wa China wa kufunza historia kupitia mashuleni na kwenye filamu na tamthilia

    Filamu ya "Dead To Rights," inayohusu Mauaji ya Nanjing wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, imeendelea kutawala katika mauzo ya filamu ya China ya majira ya joto, ikiingiza zaidi ya yuan bilioni 1.5 (kama dola za Kimarekani milioni 210) ndani ya siku 10 tu tangu ianze kuoneshwa Julai 25. Kwa...
  13. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kukuza Biashara Kupitia Strategy ya Coca-Cola

    Kuna kampuni chache duniani ambazo zimeacha alama ya kudumu kwenye historia ya biashara kama Coca-Cola. Ilichotengeneza siyo tu kinywaji, bali ni urithi wa kibiashara unaoendelea kufundisha wajasiriamali karne moja baadaye. Lakini siri yao haipo kwenye ladha pekee. Siri ipo kwenye strategy. 1...
  14. econonist

    JamiiForums Tanzania CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

    Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM. CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na...
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Sir Samwel: Naingiza kuanzia 5 - 50 Milion kupitia Forex

    Akiongea na East Africa huyu kijana anayeitwa Sir Samwel anasema anaingiza hadi Milioni 50 kutokana na Forex
  16. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mungu anasema mamlaka zote zinatoka kwake anatuasa tuzitii na kuziheshimu. Kupitia hili TZ tuna watumishi wa Mungu wachache sana, wengi ni matapeli

    Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli CHADEMA wanaamini kupitia kauli zao kuwa watu hawatashiriki uchaguzi basi chama hakina viongozi

    Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking, Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wakatoliki kupitia TEC wametoa nyaraka mbalimbali lakini hazifanyiwi kazi. Je watapiga kura?

    Wakuu,
  19. Heritage123

    JamiiForums Tanzania JInsi ya Kuagiza Bidhaa China Kupitia Alibaba

    Unataka kuanza kuagiza bidhaa kutoka China lakini hujui wapi pa kuanzia? Alibaba.com ni moja ya mitandao mikubwa duniani ya wauzaji wa jumla ambapo unaweza kuagiza bidhaa kwa bei nafuu, kutengeneza brand yako mwenyewe (OEM), au hata kuanzisha biashara ya kuuza kwa mtandao (Dropshipping...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Awamu ya Kikwete ndio mzizi wa kuharibu mifumo thabiti ya Taifa hili kwa Maslahi yao

    Kwa Watanzania wenye umri wa makamo kama wangu, tunakumbuka kuwa, tangu Awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu baada ya Bunge kuvunjwa madaraka ya Wabunge na Mawaziri yalikuwa yana seize mara moja huku nchi ikiendeshwa na Makatibu Wakuu. Pia mfumo wa kukaimu madaraka ya Urais uliwatambua Spika na...
Back
Top Bottom