kupinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga: Tulieni, tunafungua kesi kupinga Matokeo ya Urais

    Raila Odinga amewataka wafuasi wake kuwa na amani wakati chama hicho kikijiandaa kuwasilisha Mahakama Kuu ombi la kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Urais uliofanyika Agosti 9 Akizungumza kwenye makazi yake huko Karen leo baada ya kutembelewa na viongozi wa kidini, Odinga ameshikilia msimamo wake...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Binti wa Dos Santos akata rufaa kupinga mwili wa baba yake kuzikwa Angola, ataka azikwe Hispania

    Tchize dos Santos, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Eduardo dos Santos amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hispania iliyoagiza mwili wa Eduardo ukabidhiwe kwa mjane wake, Ana Paula ili urejeshwe Angola kwa maziko. Dos Santos aliyeshika madaraka 1979-2017 alifariki Julai 8, 2022...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Weledi wa Barbara kupinga ubaguzi wa Manara dhidi ya uwezo duni wa Engineer Hersi kiuweledi

    Hakuna mtu anayestuka na ujinga wa sope takadini ni kama toto dogo linalochezea matope lakini wengi wamestuka sana kuona ujinga wa kitoto unaofanywa na Hersi na Arafat, vijana wanodaiwa kuwa ni wasomi (may be walifoji vyeti, who knows) waliyoyafanya Jumamosi ni kituko sana wao wanajiona wajanja...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wa Reuters wapanga mgomo Siku ya leo kupinga ongezeko dogo la mshahara

    Waandishi wa habari wa Kampuni ya Reuters wametangaza mgomo wa siku moja kupinga ongezeko dogo la Mishahara katika kipindi hiki cha Mfumuko wa Bei Wanahabari hao wanadai Mwajiri wao hakujadiliana nao ipasavyo nyongeza ya mishahara, ambapo Shirika hilo linadaiwa kupendekeza Mikataba ya Miaka 3...
  5. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tutoe elimu ya kupinga mbwa kabla hawajawa wengi

    MAANA YA MBWA KIBIBLIA. Katika maandiko matakatifu neno Mbwa limetumika likiwa na maana mbalimbali, kama Mbwa mmnyama(marko 7;28) na Mbwa binadamu (ufunuo 22:15) na kadhalika. Neno la mungu linatuambia tujihadhari na mbwa! Wafilipi 3:2 . Je Mbwa ni watu gani kwa mujibu wa maandiko...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watano wauawa katika maandamano ya Kupinga Vikosi vya Umoja wa Mataifa Nchini DR Congo

    Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Raia katika Miji mitatu nchini Uganda waandamana kupinga Ongezeko la gharama za Maisha

    Polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya raia walioandamana katika Miji Mitatu kupinga kupanda kwa bei ya mafuta na vyakula muhimu huku wakiwashikilia watu kadhaa. Maandamano hayo ni ya pili katika mwezi mmoja ambapo waandamanaji wamejitokeza barabarani katika Miji ya Jinja...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Halima Mdee na Wenzake wafungua kesi ya Kupinga kuvuliwa uanachama Mahakama Kuu

    Waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, tayari wamefungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho. Mdee na wenzake wamefungua shauri hilo siku 13 baada ya kupata kibali cha mahakama hiyo. Mahakama hiyo imewaruhusu...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Malawi: Waandamana kupinga mfumo wa Mahakama, 76 wakamatwa

    Jeshi la Polisi Nchini Malawi limewakamata watu 76 waliokuwa sehemu ya maandamano ya Wananchi Jijini Lilongwe wanaopinga mfumo wa uendeshaji kesi wa Mahakama kuwa taratibu katika kutoa haki, rushwa na kupanda kwa gharama za maisha. Askari waliwarushia mabomu ya machozi waandamanaji ambao...
  10. OLS

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake waliofanyiwa unyanyasaji makazini, mnashauri kipi kifanyike?

    Ni suala la kawaida kwa taasisi kuwa na sexual harassments na rushwa ya ngono ambapo wahanga wakubwa wa suala hili ni wanawake. Suala la kuwa na mahusiano ya kimwili ni la kawaida lakini haliwi sahihi mtu anapotumia cheo chake kulazimisha mahusiano. Katika kupambana na hili ni muhimu kuwa na...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Raia waandamana kupinga utawala wa Kijeshi Sudan

    Polisi nchini humo wanadaiwa kuwatawanya kwa mabomu ya machoI na risasi za moto Waandamanaji nchini humo waliodaiwa kufunga barabara kushinikiza ukomo wa utawala wa kijeshi, nakusababisha vifo takriban 9 na mamia kujeruhiwa Inaelezwa kuwa huduma za intaneti na simu zilikatizwa, mamlaka...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Raia nchini Ghana waandamana kupinga gharama kubwa za maisha

    Waandamanaji katika mjini Accra wamekusanyika kwa siku ya pili ya maandamano dhidi ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei na matatizo mengine ya kiuchumi. Ghana ikiwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi wa Afrika Magharibi na ilishuhudia ukuaji wa uchumi ukipungua kwa hadi asilimia 3.3 mwaka hadi...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Leo Juni 26 Ni Siku ya Kupinga Matumizi ya Madawa ya Kulevya Duniani

    Juni 26 ni siku ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi Mabaya ya Madawa ya Kulevya na Usafirishaji Haramu, inaadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kuifanya Dunia kuwa huru kwenye matumizi ya Madawa ya Kulevya. Imekuwa ikiadhimishwa tangu kupitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Desemba...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kutoa hukumu kupinga kuondolewa Wamasai Loliondo Juni 22, 2022

    Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Juni 22/06/2022inatarajia kutoa hukumu dhidi Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania katika kesi ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na vijiji vya Loliondo wakipinga kuondolewa katika maeneo yao. Hukumu hiyo itatolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima linashindwa cha kuandika kwa mrengo wa kupinga linaishia kuipamba Serikali

    Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala. Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Majaji nchini Tunisia kuandamana kupinga kufutwa kazi kwa wenzao 57

    Majaji nchini Tunisia wanatarajiwa kugoma kwa muda wa wiki moja na kufanya maandamano ya kupinga hatua ya rais kuwafuta kazi wenzao 57. Rais Kais Saied aliwafukuza kazi majaji 57 wiki hii baada ya kuwashutumu kwa ufisadi na kuwalinda magaidi, na pia mnamo mwezi Februari alivunja Baraza Kuu la...
  17. Moshi25

    JamiiForums Tanzania TFF iwaandikie barua CAF kupinga kuchezeshwa mechi zetu za Afcon qualifier na waamuzi wabovu

    Kitendo cha mpira wa adhabu ndogo waliopata Niger kupigwa juu sana na bila kuguswa na mchezaji yoyote na ukatoka nje na kwa maajabu ya kila alietazama mechi ya Niger na Tanzania na Niger kupewa kona kimetia aibu mno waamuzi wapumbavu wa kiafrika wanaobeba timu zao bila aibu. Leo kila mchezaji...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Yatupa Maombi Ya Kupinga Uteuzi Wa Askofu Mwakihaba

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya kupinga kusimikwa Askofu mpya mteule, Geofrey Mwakihaba na kupinga kuondolewa madarakani kwa Askofu Dk Edward Mwaikali katika mkutano Mkuu wa Dayosisi uliofanyika Machi 22, 2022. Kesi hiyo iliyofunguliwa na askofu aliyeondolewa...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Usiku huu warusi wakusanyika kupinga Victory say kuhusishwa na uvamizi wa Putin Ukraine, wasema amepotosha historia yao

    Kila May 9 uwa ni siku ya ushindi wa Urusi ambao unahusisha Ukraine, Russia, Macedonia, Hungary (Kosovo) Lithuania , Estonia na jumuiya yoote ilokuwa ya USSR, ushindi huo uwa siyo wa Urusi bali wa Jumuiya yote kusherekea kumbu kumbu maalumu ya WW2. Wamejitokeza wanawake ambao wamesema kwamba...
  20. P

    JamiiForums Tanzania The Royal Tour: Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA ampongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi nzuri

    Aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi uzuri na ubunifu wa Filamu maarufu ya kitalii ya THE ROYAL TOUR. Kiongozi huyo wa CHADEMA wa nyanda za juu kusini amesema kuwa inawezekana labda kuna mapungufu madogomadogo...
Back
Top Bottom