kupima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mparee2

    Fungueni kituo cha kupima COVID-19 Ndutu/ Ngorongoro

    Ni mwezi mmoja tu umebakia Nyumbu waende huko Ndutu na Serengeti kusini ilA hadi sasa hakuna tarehe tajwa ya kuweka kituo cha kupima corona maeneo hayo. Hivi makampuni yatauzaje wageni kama hawana hakika kuwepo kwa kituo kwa muda stahiki? Au ni mpaka private sector ambayo ipo taabani kwa korona...
  2. safuher

    Sitofanya upuuzi wa kwenda kupima DNA kwa mtoto aliyezaliwa na mke wangu wa ndoa

    Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako. Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika. Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura...
  3. J

    Unapohisi dalili za Covid-19 nenda kituo cha afya kupima usijitibu

    UNAPOHISI DALILI YA #COVID19 NENDA KITUO CHA AFYA USIJITIBU Wataalamu wa Afya wanashauri pindi unapohisi dalili za Corona nenda kituo cha afya ukapime badala ya kuanza kunywa dawa na kujaribu kujitibu. Inaelezwa kuwa miongoni wa dalili hizo ni pamoja na kupata shida wakati wa kupumua, kupata...
  4. M

    Tafadhali tusaidiane kupima Akili za hawa Watanzania Wawili ili tujue nani ni Mwerevu sana na nani ni Kilaza mno

    Mtanzania wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA. Mtanzania wa Pili kwa Akili zake anazozijua Yeye kaamua Kumuiga wa Kwanza kwa Kuandika mkononi mwa Shati lake Baya na Bovu ( tena kwa Maandishi...
  5. Opportunity Cost

    Ushauri, Serikali itumie Tozo ya Mitandao ya Kijamii kwa ajili ya kupanga miji na kupima Ardhi

    Habari zenu. Nimesikia Waziri wa fedha anapanga kutafuta namna ya kupata tozo kwenye mitandao ya kijamii. Kama hili likiwezekana natoa ushauri kwa serikali kutumia fedha hizo kuunda wakala wa Ardhi na mipango miji. Kazi hii imekuwa inafanywa na Halmashauri lakini zimeshindwa kupima viwanja...
  6. Roving Journalist

    Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini kuchanjwa ni bure, ila kupima COVID-19 ni kwa hela?

    Ndugu Watanzania hebu nijuzeni, kwanini kupima Kama una maambukizi ya COVID-19 ni hela, lakini kuchanjwa ni bure?
  8. Komeo Lachuma

    Kwenye Katiba mpya kiwekwe kipengele cha kupima IQ ya Mgombea Urais na Makamu wake

    Zipo namna nyingi mojawapo ni pamoja na kuuliza maswali ya kawaida ya uelewa. Uwezo wakujieleza kwa kuongea na kuandika pia. Umakini katika maandiko na kugundua makosa, ufahamu katika taarifa muhimu za kitaifa, kimataifa, uchumi, afya, siasa na utamaduni. Uelewa wa katiba ya nchi na kufanya...
  9. chivala

    Gharama za kupima Covid-19

    Wakuu tafadhalini Naomba munijuze bei gani kupima Covid-19 kwa raia wa kawaida na maeneo yanayotoa huduma ya upimaji ya Coronavirus
  10. Miss Zomboko

    Rwanda yaanza mkakati wa kupima Corona Vijijini

    Wakati aina mpya ya kirusi cha Corona- Delta kikiripotiwa nchini Rwanda, serikali ya nchi hiyo imeanza mkakati wa kuwapima wakaazi kuanzia vijijini hadi mjini. Sambamba na hilo pia serikali ya Rwanda inakusudia kutoa vyakula katika familia zilizoathiriwa na agizo la kusalia ndani ambalo...
  11. M

    Hiki ndio kilichonisababisha kupima VVU

    Habari wana jamvi, natumai hamjambo. Niende moja kwa moja kwenye mada Ilikua ni siku ya alhamisi shuleni x nilipokua A - level mida flani hivi ya jioni nimetoka zamgu kupiga kujisomea narudi bwenini, kuingia kwenye room ninapolala nikakuta kuna ugomvi wa masela wawili wote wa ile room. Kwakua...
  12. B

    Nina changamoto ya namna ya kupima chakula na juice ya kutengeneza ili kupata faida kwenye biashara yangu

    Habari zenu wadau, Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
  13. King Loto

    Wakuu Nafikiria Kupima Daaah

    Wakuu! Tumbo liko moto wakuu nafikiria kupima HIV tena kwa mara nyingine tena daaah yaani haya mambo siyo poa kabisa. Daaah hii ni baada ya sababu fulani fulani toka kwa shemeji yenu. Damu unaiona ina pita shaaaa mara mistari 😅 aseee sijui nani alileta huu ugonjwa. Tangu jana najisahula kama...
  14. 2019

    Hivi Serikali haiwezi kupima miji yote kabla ya ujenzi holela kuenea?

    Dodoma kwa sasa inaonekana imepangika kweli kweli. Kwa asilimia kubwa imepimwa, ikifuatiwa na mkoa wa Pwani lakini upande wa kuanzia Bagamoyo. Je, Serikali haiwezi kufanya hivyo kwa miji yote midogo na mikubwa?
  15. Lavan Island

    Chanjo ya Covid19 inaletwa lini? Gharama za kupima zipo juu mno tunashindwa kusafiri nauliza

    Jamani nauliza hapa nchini kwetu ule mpango was kupewa chanjo umeishia wapi sisi wengine tunahitaji maana in wasafiri gharama za kupima zimekuwa kubwa mno kiasi kwamba kila nikipata kazi online nakwama kupima sababu sina dola mia.
  16. Mparee2

    Covid - mfumo wetu wa kupima Korona hauwafai watalii...

    Kwa Muda sasa nimekuwa nafuatilia mfumo wetu wa kupima covid (PCR) nikaona unawafaa watu ambao hawana haraka au hawana tatizo la muda kitu ambacho sio rafiki kabisa kwa utalii 1. Tulitangaziwa kuwa majibu kwa Dar/ Arusha mikoa yenye Lab yatatoka Ndani ya saa 24 kitu ambacho, ukiuliza lab...
  17. F

    Mwajiri ana haki ya kumlazimisha mwajiriwa kupima afya?

    Hivi majuzi timu ya mpira wa miguu ya Simba baada ya kikao cha kamati ya nidhamu iliadhimia kumpeleka mchezaji Jonas Mkude kupima afya ya akili Mhimbili. Swali iko wapi haki ya Siri ya afya ya mwajiriwa? Je, endapo Mkude atakataa kwenda hospital Simba watamfanya nini? Na vipi Mkude akiamua...
  18. Affet

    Ujasiri wa wanawake kupima UKIMWI huwa unatokea wapi?

    Habari zenu, mimi ni kijana mwenzenu msomaji mzuri sana humu ila si muanzishaji sana wa nyuzi kuna jambo kidogo huwa linanitatiza wanawake niliowahi kuwa nao wengi huwa na mambo mengi yaani hawajatulia ila sasa kinachonishangaza linapofika suala la kupima. Mimi ninayejifanya mtulivu ndie muoga...
  19. Chris wood

    Hakuna kitu kibaya kama kujihisi umeathirika HIV

    Najua sii mimi pekee ambaye nimeshakutana na hii hali ni wengi imewakuta sema tu unakuta tunaugulia kimya kimya. Mwaka wa tatu huu nimekuwa nikiishi kama digidigi yaani hata nikipata malaria kidogo naanza kufikiria michezo michafu niliokuwa naicheza huko nyuma, nasema au ndio dalili za HIV...
  20. mwanzo wetu

    Kakimbia bila viatu kwa kuogopa kupima

    Habari wataalamu, na tumaini ni wazima wa afya. Leo nimeona kituko na nilikuwa sijajua Kama wadada au watu ni waoga wakujua afya za au kupima HIV. Kimsingi kujuana afya wapenzi inapendeza Sana, hasa mda huu ambapo vijana Dunia imetuamini sana hivyo lazima na sisi tujiamin kwa kila Hali na njia...
Back
Top Bottom