Alikuwa hajasikia tangazo la Polisi la mwisho kutoka nje saa 12 jioni, akaenda kununua mkate...
Majirani wanasema mtoto alilia juice akaenda kumnunulia, akapigwa risasi kifuani.
Marehemu alikuwa nyumbani kwake, Mbezi Luis.
Hadi jana jioni, bado mwili ulikuwa uko chumba cha kuhifadhia maiti...