kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wamisri waanza kupiga hela kwa kutumia misaada inayokwenda Gaza

    Ndio dunia yetu ilipofikia, yaani wanaitana ndugu kama waarabu na pia dini ila kila mtu anavutia kwake, fursa ikijitokeza unatupa maadili kule na kujichukulia mihela, lori la misaada kupita lazima litoe dola $5,000 Tena hii tozo haram inamfikia generali wa Misri...
  2. JamiiForums Tanzania Houth walalamika kwa US na UK kupiga bandari yao

    US na UK wameonyesha wako tayari kupiga popote, yaani hawa Houthi wanataka wao wapige meli lakini wasipigwe kunako..... Houthis accuse US, UK of targeting Ras Isa oil terminal in Hodeidah Houthi-run Al-Masira TV reported that the US and UK struck Ras Isa port on Saturday The Houthis claimed...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Shule nzuri kwa mtoto kujifunza kupiga vyombo

    Wakuu habari za uzima? Nilikuwa nahitaji kufahamu shule zinafondisha watoto kupiga ala za mziki. Nahitaji kumtoa mwanangu kanisani sababu mwalimu anayemfundisha mda mwingi anakuwa busy. Nilijaribu kufatilia moja maeneo ya shabaan Robert ada kidogo juu. Mwenye ufahamu wa hili anijuze Karibuni.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufahamu akili kubwa angalia namna Nchimbi alivyong'ang'ania kupiga picha na Bagonza, ukisimamia haki lazima watakutafuta popote ulipo

    Picha ya Dr. Nchimbi na Askofu Bagonza imepata headlines nyingi sana kwenye pages za CCM kuliko maeneo mengine yoyote. Kumbuka leo walikuwepo Maaskofu wote wa KKKT pale Azania Front. Ila Nchimbi alihakikisha amezungumza na Bagonza na picha imewekwa kwa kumbukumbu. Bagonza always amesimamia...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda Zanzibar kupiga mishe za vibarua

    Wakuu habari zenu, Nimekuwa nikitafuta mishe yoyote ya kupiga hapa mjini bongo bila mafanikio yoyote yale, awali nilikuwa napiga mishe za saidia fundi. Ubaya wa hizi mishe hapa bongo ni utapata leo Kisha utakaa sana mpaka upate kazi nyingine. Angalau zile za kuweka Kambi mpaka miezi miwili huko...
  7. JamiiForums Tanzania Museveni asema alikataa ombi la kupiga marufuku mchele wa Tanzania. Adai wakulima wavivu walitaka kutawala soko

    Rais wa Uganda leo wakati akitoa hotuba ya miaka 60 ya mapinduzi amesema aliletewa ombi la kupiga marufuku mchele kutoka Tanzania na kukataa ombi hilo. Museveni amesema wakulima wavivu wa Uganda walitaka kutawala soko. Museveni amesema wakulima wa Uganda wanatakiwa kujua wana ushindani na si...
  8. JamiiForums Tanzania Watu wenye ulemavu katika maandalizi ya michakato ya kupiga kura Nchini

    Watu wenye ulemavu, iwe ni ulemavu wa kuonekana au usioonekana, wanahitaji msaada mkubwa katika michakato ya upigaji kura. Upigaji kura ni haki ya kila Mtanzania mwenye umri wa miaka kumi na nane na kuendelea. Watu wenye ulemavu wanahitaji kipaumbele na mwongozo wa kutosha wanapojiandaa kupiga...
  9. JamiiForums Tanzania Sehemu za starehe kupiga picha ovyo nusu iharibu mahusiano yangu.

    Naam , it is a good day to stay alive. Kama kichwa cha habari kisemavyo, Kuna katabia fulani hivi page za insta esp clubs na big bars wanapiga picha na video za wateja bila hata kumshirikisha mteja . So by the time it was christmas 2023 my crush alitaka kwenda outing na mm na waubani...
  10. JamiiForums Tanzania Namna ya kupiga hesabu ya material kwa uhakika

    Habari wakuu. Nimekua nikiona members humu wakiulizia kuhusu idadi ya material kwa nyumba. Sasa kwa ufupi ukitaka kupiga hesabu kwa uhakika unatakiwa kujua 1. urefu (running meter) wa nyumba (yani ukiikunjua nyumba kama kamba itakua na urefu gani). Hii itakusaidia kupata idadi ya tofali za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kupiga Punyeto ni kufanya mapenzi ya jinsia moja na pia ni kufanya mapenzi kinyume cha maumbile

    Wadau, Kwamimi ninavyoona, kufanya punyeto ni sawa tu kusema unafanya mapenzi ya jinsia moja lakini pia ni sawa tu kusema unafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Nyie mnaonaje?
  12. JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu single mothers ni kwasababu watu wengi hawajui kupiga mipira iliyokufa.

    Kama wewe sio mtaalamu wa kupiga mipira iliyokufa , hutowaweza single maza. Unajua katika mchezo wa mahusiano sio kila mchezo MTU anaweza kuutawala wote ,hivyo kupiga mipira iliyokufa hiyo kazi wanaiweza wataalamu tu, ikiwa wewe sio mmoja wao usilazimishe.. Huwezi wasikia wataalamu wa hizi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini seriksli inakataza kupiga picha yeyote pale Kigongongo ferry/ Magufuli bridge? Wanaficha nini?

    Wadau nimeshangaa kuona watu wanaopiga picha linalojengwa pale kigongo busisi wanakamata na kunyanyaswa sana. Je shida nini? Kwanini tulipe Kodi lakini kupiga picha ya kitu kinachojengwa na Kodi zetu tunakataliwa? Wanafjchanini? Au kwa kuwa wanajenga kinyume na quality ya mwanzo ili wapige...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Takwimu Za klabu Afrika zinazoongoza kwa kupiga Pasi Sahihi ( Wananchi #3)

    Gamondi ameongeza kitu Yanga tumpe Maua yake !
  15. JamiiForums Tanzania Kupiga wake na mademu za watu

    Nilikuwa kama namuogopa vile ila kumbe fresh tu nilipiga yule demu wa jamaa hadi sikuaminini kwani ilifikia hatua alikuwa analipia hadi hotel na anamuaga jamaa tunakaa wiki.Hebu tupe ya kwako ili tujipongeze kuwa sisi ni wajanja.
  16. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

    Kongole kwa wanawake wote mnaotupikia waume zenu vizuri, nyie ndio mnaotufanya tunawiri. Sasa kwa msosi kama huu nakupigaje goli moja kwamfano 😋😋😋
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kweli kupiga nyimbo za ibada kwenye nyumba za kulala wageni?

    Kuna Guest House moja mbali na mtaani kwangu huwa napenda kwenda kufanyia tabia mbaya. Hii Guest ni imetulia sana, hata entrace zake ni rafiki kwa ajili ya wanachama wa ndoa zao Imeibuka tabia mbaya ya kucheza nyimbo za dini pamoja na mahubiri kutoka redioni ama runingani. Msimamizi huyo wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kupiga chini huyu mwanamke

    Ebwana baada ya kuuchoka ubachela nikaona nivute goma binafsi elimu yangu ni university dropout so sina professional but sijutii maana niliosoma nao wengi ganga njaa tu, so nilijikita kwenye kusafiri na biashara kibishi sana and it took so long kujitafuta so nilipo fika early 30's nilikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Uko tayari kulipia kupata kadi ya kupiga kura endapo kadi uliyonayo itapotea?

    Kwa mujibu wa kifungu cha 20(2) cha mswada mpiga kura aliyejiandikisha kupiga kura kwa madhumuni ya mswada huu, endapo kadi yake ya kupigi kura itapotea, kufutika au kuharibika atalazimika kufanya maombi ya kuomba kitambulisho kipya kwa afisa mwandikishaji wa eneo husika. Afisa mwandikishaji...
  20. JamiiForums Tanzania Ni sahihi fundi kupiga picha kazi aliyopewa aifanye, na kuitumia kujitangaza bila makubaliano na mwenye kazi?

    Habari? Unamtafuta fundi kisha unampa kazi yako na unampa malipo yake kama mlivyokubaliana. Akimaliza kufanya kazi yako anaipiga picha na kuianika mitandaoni akijitangaza kwamba ni yeye kaifanya. Hapa mfano mkubwa ni fundi wa ujenzi, deco, kupaua ,rangi nk. Wanafanya kazi kisha wanapiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…