kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania No Election maana yake Wewe Hapo Usiende Kupiga Kura

    Kwakuwa wameamua kushupaza shingo. Hawataki kufanya reforms. Na kwakuwa mamlaka waliyonayo yanatoka kwetu sisi wananchi japo wao wanadhani yanatoka kwa 'WAHUNI' in Balozi Polepole's voice. Hebu sasa tuwaoneshe kwa vitendo kuwa hatuendi kupiga kura siku hiyo waliyoipanga. Dhulma imezidi na...
  2. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

    Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana. Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm. Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wanavyokunjaga sura, huwezi amini wanapelekeshwa na wajinga kama CCM. Wanapigishwa Mistari kupiga kura wakati Uchaguzi ulishaamuliwa.

    Wanavyokunjaga sura na kujifanya wababe na wajuzi huwezi amini wajinga wajinga CCM wanawapelekesha kama mazuzu. Huwezi amini CCM wanawaona kama matoy tu yasiyo na chochote wala lolote. Yaaani hawa nao Oktoba wanapigishwa mistari kutiki wakati CCM, Tume na NIDA walishaamua kura ziweje na ushindi...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

    Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika. Kwa maneno ya Humphrey...
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Swali: Kuna umuhimu gani wajumbe wa CCM kupiga kura kuchagua wagombea?

    Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe?? Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?
  6. B

    JamiiForums Tanzania INEC ili kujibu tuhuma hizi za kutumika na CCM, walazimishwe ku print majina yote mil 37 ya waliojiandikisha kupiga kura

    Lengo ni watu wafanye Cross checking ya majina hayo kama kweli watu hao walienda kujiandikisha. Nje ya hapo Uchaguzi wa 2025 ni batili kwa sababu matokeo sio takwa la wananchi CCM B (ACT, CHAUMA, NCCR, TLP, CUF n.k) sijui mnaingiaje kwenye uchaguzi huu mkiwa tayari mmeshapigwa 3 bila.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna democracy hata kwa wateule wa ndani ya chama tawala wamejaza ndugu, machawa

    Kuna ushahidi bila shaka kwamba tume ya uchaguzi inapika data na kupiga kura ni kiini macho tu. Pili hakuna democracy hata kwa wateule wa ndani ya chama tawala wamejaza ndugu, machawa na marafiki. Tatu vyama vya ACT na Chauma ni vya CCM. Sasa ni ujinga gani kwenda kupiga kura🤦🏾‍♂️😂🤮
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwa Umoja wao waidharau Tume ya Uchaguzi, Waamua kutopiga Kura

    Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo tunaweza kuithibitisha bila shaka yoyote baada ya timu yetu ya Uchunguzi kukamilisha kazi katika Mikoa 7 tuliyoitumia kama Sampo, baada ya Humphrey Polepole Kuikata mtama kwa style ya Kata funua mifumo ya Uchaguzi ya Tanzania Pamoja na Kailima kujitokeza kupiga...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nimejiona mjinga kwa kupiga Kura 2015 & 2020

    Awali, 2015 nilisimama kwenye foleni zaidi ya masaa matano. Nilimpigia Kura Lowasa kumbe Nilikua najisumbua tu. 2020 tena kumbe narudia kosa la 2015. Asante MIDA. Mnaupiga mwingi. 2025 sasa ujinga umeniisha rasmi.
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Level ya Uhuni unaofanywa na CCM kwa Watanzania imevuka uhuni wanaoweza kuufanya Wanasiasa wowote hapa Duniani

    Level ya Uhuni unaofanywa na CCM kwa Watanzania imevuka uhuni wanaoweza kuufanya Wanasiasa wowote hapa Duniani. Inajulikana duniani kote kuwa Wanasiasa wanawadharau sana raia ila wanawaogopa sana Wanajeshi. Ila kwa Tanzania hali ni tofauti. Kiburi cha CCM kimevuka hadi level ya kuwadharau raia...
  11. Think2

    JamiiForums Tanzania Kwa nilivyomuelewa Polepole hata kama wananchi wakisusia kupiga kura, CCM itashinda tu

    Kwa mfumo wao wa NIDA asee unaweza usifike kituo cha kupiga kura lkn mfumo ukatick umepiga kura tena umechagua CCM kabisa Yaani kura inajipiga automatically wewe ukiwa om afu utasikia 30 millon wamemchagua Samia then hiyo 7 million ni CHAUMMA na matawi mengine
  12. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Gwajima aliahidi makanisa yake kupiga kura

  13. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Naona inawezekana Watanzania wote kufanya shughuli zao tarehe 29.10.2025 kutoenda kwenye vituo vya kupiga kura

    Kwasababu serikali yetu siyo sikivu na inaamua nani awe nani asiwe wote kwa pamoja tunaweza kuacha kwenda kupiga kura siku ya tarehe 29.10.2025 👉Ushahidi upo wazi kama mama alisema magwajina yote hayatakiwi kwenye chama kwa kukemea utekaji iweje atuhamasishe tupigie kura watekaji waendelee...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Ulijisikiaje Kupiga kura kwa mara ya kwanza?

    Unakaribishwa kutoa maoni namna ulivyojisikia siku yako ya kwanza kupiga kura. weka maoni yako kwenye kura hii.
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe walivyombeba Juujuu Kigwangalla kabla ya Kupiga Kura na Kumbwaga

    Wakuu! Waswahili wanasema uUsiamini vicheko! Hali ilivyokuwa kabla ya zoezi la upigaji wa kura za maoni kwa nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Nzega Vijijini, ambapo Neto Kapalata ameshinda kwa kura 2,570 dhidi ya kada mkongwe wa chama hicho na mbunge...
  16. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina.

    Inawezekana kabisa CCM inazihitaji zaidi REFORMS kuliko hata Chadema na wenzao. Leo huko mkoani Simiyu, jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina. Wao wamesema wanamtaka mbunge wao, hawapigi kura za maoni siku ya leo hadi waletewe mbunge wao. Hawana...
  17. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe Tabata watakiwa kutoka nje baada ya kupiga kura

    Wajumbe wa Kata ya Tabata Jimbo la Segerea, jijini Dar es Salaam wametakiwa kutoka ndani ya ukumbi mara baada ya kupiga kura. Hata hivyo, tangazo la kuwataka watoke ndani kwenda nje limeibua malalamiko leo Jumatatu, Agosti 4, 2025 katika ukumbi wa Green Light kutoka kwa wajumbe. Hatua hiyo...
  18. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Wasalimieni wajumbe wakiwa njiani kuelekea kupiga kura, waambieni tuletee fulani

    Umemsalimia mjumbe wako asubuhi ya leo? Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM itahakikisha inateua wagombea wazuri wanaokubalika kwa wapiga kura, akiwataka wajumbe wa vikao vya kura za maoni kusikiliza maoni ya wananchi wanapoenda kupiga...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu UVCCM kupiga kura kuchagua wabunge viti Maalum, Dodoma

    Wajumbe Mbalimbali wa Mkutano Mkuu Wa UVCCM hapa Mtumba Dodoma, Kwenye Mkutano Mkuu Maalumu , ambapo Leo Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wanapiga kura kuchagua Wabunge wa Viti Maalumu watakaowakilisha Vijana wa Chama Hicho
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Katiba Ilidhamiria Watu Wawe Huru Kushiriki Uchaguzi kwa Uhuru wa Kuchagua Viongozi Wanaowataka na Uhuru wa Kugombea,Uhuru Huo Haupo!ni Dhambi Kubwa!

    Wanabodi Na leo ni kama jana mwendo wa Harusi ya Kana,nimekutana na kichupa kidogo kinaitwa Imagi!,hii kitu ni noma!nimezamisha kamoja tuu!kamenituma nishuke JF,natiririka tuu。。。 Mada ya leo ni kuhusu Katiba Ilidhamiria nini kuhusu haki ya kuchagua na kuchaguliwa。 Katiba ilidhamiria watu wawe...
Back
Top Bottom