kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo

    Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo. Hatupigi kura wala hakuna uchaguzi unaofanyika bila mabadiliko unaongelea masuala ya kuchana karatasi lakini kuiba kura uongelei ? Kama mnataka...
  2. Dabil

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kupiga kura CHADEMA watangaze iwe siku ya maandano nchi nzima

    Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima. Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Kuzungumzia uchaguzi na umuhimu wa kupiga kura kwa wanavyuo si kosa

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu Nchini Ndg Geofrey Kiliba amewaeleza wanavyuo wa mkoa wa Dar es Salaam Kuwa huu ni wakati Sahihi Wa kuwakumbusha wasomi kuhusu uchaguzi, kupiga kura na kulinda amani va Taifa Ndg Geofrey Kiliba ameyasema hayo akizungumza na wanafunzi Wa...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Lupembe asema CHADEMA wanavuka mipaka kwenda kuvuruga haki za wengine kupiga kura

    Mbunge wa Jimbo la Lupembe (CCM), Edwin Swalle, amesema ni makosa kuzuia uchaguzi au kuhamasisha watu wasishiriki kwa kuwa kushiriki uchaguzi ni haki ya kikatiba kwa kila Mtanzania. Swalle ametoa kauli hiyo leo Aprili 30, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya...
  5. Tman900

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Mambo yangekua Fair Play naimani Watanzania wengi wangepiga Kura uchaguzi 2025

    Naimani Watanzania wengi wangepiga Kura, ila Uchaguzi huu, 2025. Watakao Piga Kura Wengi ni CCM. Mimi Sina Chama na sijawai Kupiga Kura toka nazaliwa kwa Sababu zangu Binafsi tu. Na Kingine Kwa Mtazamo wangu mbona Kama Government inatumia Nguvu Nyingi Kuwaaminisha watu kua usahihi wa walioko...
  6. Tman900

    JamiiForums Tanzania Chama kinachoshikilia dola kiachie Nchi kupitia Box la Kura

    Mi kwa mtazamo wangu, naona Haliwezekani Chama kilicho shika Dola, kuachia mamlaka kwa kupitia Box la kupigia kura kwa nikiangalia mfumo ulivyo, na Katiba ya Nchi inambeba alieko madarakani kwa Kila nafasi, Kwanza yeye ndio anaechagua Tume ya Uchaguzi. 2. Polisi Wote wanatumika kwa maslahi ya...
  7. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025 uchaguzi, Sintopoteza mda kupanga foleni kupiga kura bila kwenye mazingira haya ya uiz wa kura unaofabywa na tume na ccm

    Habari ndo hiyo. Kwenye uchaguz serikali za mitaa nilienda nipogekura nikaahirisha baada ya kuona mgombea mlengwa ameenguliwa eti hajui kujaza form. Strangely huyo ni mgombea aliyekua mwenyekiti wakati wa rais kikwete
  8. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Roma Lacuta Causa Finita, Sitashiriki Uchaguzi Mkuu 2025 bila Reforms

    Kamwe siwezi kwenda kinyume na viongozi wangu wa kiroho, Wamewekwa wakfu ili kusimamia masuala ya Kiroho na Kijamii. Katika Biblia kitabu cha Wafalme tunaona Nabii Eliya akimkemea Mfalme Ahabu na kumueleza kwamba kwa sababu ya ubaya wake, hakungekuwa na mvua katika Israeli. Kiburi, Jeuri na...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC: Watu wasipochagua kwa Uhuru Demokrasia itakufa, wananchi wasiporwe nguvu yao ya kupiga kura na kuchagua

    Wakuu, Hivi ndio inavyotakiwa, sio viongozi wa dini wanageuka kuwa machawa na kuimba nyimbo za mitano tena wakati wanaona mambo hayaendi sawa. ==== "Madkteta wengi Duniani na hata hapa Afrika hawataruhusu uchaguzi ufanyike, kwani wataogopa uchaguzi ukifanyika hawatachaguliwa. Na kama...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tangu nianze kupiga kura 2010 sijaona uchaguzi unaoongoza kwa kupoa kama huu, Watu wengi hawana mpango wa kupiga kura

    Tangu nianze kupiga kura 2010 sijaona uchaguzi ulipoa kama huu. Wapiga kura wa CCM wapo relaxed wana uhakika na matokeo hata wasipopiga kura. wapiga kura wa vyama pinzani hawana imani kabisa na tume ya uchaguzi wanaona kupiga kura ni kupoteza muda.
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani iliyopewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo tenda ya kuchapisha karatasi za kupiga kura?

    Ikiwa imebaki miezi mitano tu mpaka uchaguzi ufanyike bila shaka maandalizi kabambe yatakuwa yameshaanza, Je ni kampuni gani walipewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo karatasi za kupiga kura?
  12. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Watanzania baada ya kuulizwa "upi umuhimu wa kupiga kura yanasikitisha?"

    Nmefatilia comments zinasikitisha sana Swali liliulizwa na EATV Facebook lakin majibu yake yanasikitisha sana unaweza ukasoma nawewe https://www.facebook.com/100064269896228/posts/1100106142141705/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Arusha mjini watishia kususia kupiga kura uchaguzi mkuu 2025, 'Mbunge ametudanganya kama watoto, tumechoka'

    Baadhi ya wananchi katika mtaa wa Muriet kata ya Skokoni one mkoani Arusha wametishia kususia kupiga kura huku wakimtuhumu diwani wa kata hiyo na Mbunge wa Arusha mjini kwa kushindwa kutekeleza ahadi ya kujenga kivuko kinachounganisha zaidi ya kata tatu ikiwemo kata ya Muriet Sokoni one pamoja...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Katika mwaka ambao mwamko wa kwenda kupiga kura utakuwa mdogo kuliko miaka yote ya uchaguzi ni huu, Ni bora turudi tu kwenye mfumo wa chama kimoja

    Ni bora turudi tu kwenye mfumo wa chama kimoja hizi purukushani za interview wakati ajira zishapangwa ni kupoteza muda na kodi za wananchi
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Kila Mtanzania ana haki ya kupiga kura, hivyo wanachama wa CHADEMA tumieni haki hiyo

    Baada ya CHADEMA kutangaza kutoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 na chaguzi ndogo zote kwa kipindi cha miaka mitano kutokana na kutosaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema kila Mtanzania ana haki ya kupiga kura, hivyo...
  16. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza shauku ya kupiga kura

    Mara yangu ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka 2019, wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mwaka 2020 sikupiga. Haukuwa na mvuto kwangu. Mwaka huu naona changamoto ya mwaka 2020 inaninyemelea. Huenda nisipige kura. Na, kwa kuwa kupiga kura ni haki yangu, naamini na kutokupiga nako pia ni...
  17. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

    Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
  18. Tman900

    JamiiForums Tanzania Je Kuto kupiga kura ni Kosa kisheria?

    Habari Wana JF, naomba kujuzwa kidogo kwa Wenye uelewa wa Sheria, Je Kuto kupiga kura ni Kosa kisheria, na kama nikosa adhabu zake ni zipi. Maana mi Binafsi naomba Kujua Hilo kwa Manufaa yangu na kizazi changu na Jamiii inayonizunguka.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane kufanya 'CRITICAL THINKING' kuwa sababu ya Kukamatwa kwa Tundu Lissu ni Kuchochea Uchaguzi kutofanyika na Watu kutokupiga Kura

    Kila siku nasema hapa kuwa CCM + Serikali tulieni na tafuteni Watu wenye kujua KUFIKIRI vyema ili wawe Wanawashauri katika Mambo mengi ya Kimsingi (hasa ya Siasa na Matukio) kwani kuna Maamuzi mengi yanatoka Ngazi za Juu kwenda kwa Upinzani / Wapinzani ukiyapima kama Mtu MWEREVU unaona kabisa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud Othman: Haiwezekani wenzetu wasiandikishwe Kupiga Kura Zanzibar kisha sisi tushiriki Uchaguzi

    "Haiwezekani kuna wenzetu hawajapata haki ya kuandikishwa kuwa wapiga kura Zanzibar, kisha sisi tutoke kwenda kushiriki kwenye uchaguzi kirahisi hili haliwezekani na lazima tupambane nalo" Othman Masoud Othman. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taif, Othman Masoud Othman amesema kuwepo kwa...
Back
Top Bottom