kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    GE2025 Makonda atoa elimu Zanzibar ya namna ya kupiga kura Oktoba 29

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ametoa elimu ya namna ya kupiga kura kwa baadhi ya wananchi wa visiwani Zanzibar. Makonda ambaye amewasili visiwani humo mapema leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025 kwa ajili ya kumuombea kura mgombea urais wa Jamhuri ya...
  2. JanguKamaJangu

    GE2025 Wasira: Haki za Binadamu haziruhusu kuzuia wengine kwenda Kupiga Kura, atakayefanya hivyo Sheria inaruhusu ashughulikiwe

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa. Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
  3. Mafyangula

    GE2025 Awadh Said: Jeshi la Polisi simamieni ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani

    Jeshi la Polisi limesisitizwa kusimamia ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani, usalama na kuaminika katika jamii kwani wao ni wadau wakubwa katika kufanikisha zoezi hilo. Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Mhe.Awadh A. Said, aliyasema hayo...
  4. Mafyangula

    GE2025 Charles Gabriel: Jitokeze mapema kuhakiki majina yako kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 29

    Wananchi wa Jimbo la Ushetu, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, wametakiwa kujitokeza mapema kuhakiki majina yao katika vituo 565 vya kupigia kura vilivyoandaliwa, huku waliopoteza vitambulisho vya kura wakiruhusiwa kutumia hati za kusafiria, leseni za udereva au vitambulisho vya Taifa (NIDA)...
  5. Mafyangula

    GE2025 Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Salum: Kila raia ana wajibu wa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Salum Nyamwese amewahimiza wananchi wa wilaya hiyo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la kupiga kura litakalofanyika Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa kila raia ana wajibu wa kutumia haki yake ya kikatiba badala ya kutegemea wengine wawapigie kura. Nyamwese...
  6. Mafyangula

    GE2025 Polisi Tarime: Bodaboda dumisheni na kuilinda amani ya nchi hii

    Miongoni mwa kundi lililopewa elimu na jeshi la polisi kipindi hichi cha uchaguzi basi ni bodaboda. Yani sijuwi wameona kwamba ni rahisi kutumika na wanasiasa au vipi? ================= Afisa Mnadhimu Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joswam Kaijanante amewataka...
  7. Mafyangula

    GE2025 Kamanda Mchunguzi: Wananchi dumisheni umoja, amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea siku ya kupiga kura

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Almachius Mchunguzi, ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Tanga kuendelea kudumisha umoja, amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea siku ya kupiga kura. Ametoa wito huo leo tarehe 21 Oktoba 2025 kupitia kipindi maalum...
  8. Sir John Deere

    GE2025 Tarehe 29 inawezekana wakakamatwa wanaokwenda kupiga kura badala ya waandamanaji

    Inawezekana nikaonekana nauliza swali la kijinga lakini litakua na athari kubwa sana hiyo siku ya uchaguzi. Kila anaetoka barabarani Hana alama kwamba anakwenda kupiga kura au kuandamana. Bado sijajua mamlaka hasa vyombo vya Ulinzi vitatumia mbinu gani kuepuka huu mchanganyiko. Tusishangae...
  9. Beira Boy

    GE2025 Idea ya waandamanaji kukutana kwenye vituo vya kupigia kura si nzuri itatugharim sisi waandamaji, tukutane barabara kuu uelekeo uwe ni Ikulu

    Amani iwe nanyi Asante sana Itakuwa rahisi sana kukamatwa na kupigishwa kura kama tutakutana kwenye vituo vya kupigia kura Tukutane tu barabarani wengine mitaan kwetu tushajipanga tiari tuna subiri mda tu tukiwashe Naona sasa tunaanza kuangashana bado mapema LONDON BOY
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Cecilia Paresso: Watanzania kapigeni kura kwa usahihi ili kuepuka kura zao kuharibika

    Cecilia naona hela inafanya kazi! Maana unajituma kuzipiga hizo kampeni kwa Samia. Au unautafuta uteuzi? ================= Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ametoa wito kwa wapiga kura kupiga kura kwa usahihi ili kuepuka kura zao kuharibika. Ametoa wito huo...
  11. Mafyangula

    GE2025 Dokta Khamis Masoud: Kupiga kura ni jambo la kikatiba

    Ni kweli, lakini uchaguzi wa mwaka huu umejaa dosari mapema sana! Ukitizama hata mgombea wa chama tawala ndani ya chama chao utaratibu ulivunjwa kumpitisha, lakini wakakaza fuvu! Tunasema uchaguzi huu ni batili ===================== Mkurugenzi wa Everlasting Legal Aid Foundation, Dokta Khamis...
  12. Criss

    Atakaeyenda kupiga kura ajue amefuta utegemezi wake kwangu ndani ya miaka 5

    Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao. Kwa watoto wao...
  13. The Burning Spear

    GE2025 Kwa nini sitapiga kura Octoba 29 hizi hapa ndiyo sababu zangu

    GT Ivi unaanzaje kupoteza mda kwenda kumchagua Samia.Wenye mtindio wa ubongo pekee ndiyo watapiga kura 1.Kauza Bandari na Rasilimali zingine nyingi tu 2.Kafukuza wamasai Ngorongoro kwa uonevu mkubwa. 3. Deni la Taifa Tr107 bila maendleo ya kuonekana 4. Muuaji na mtesaji.Mkubwa huyu hana...
  14. Mafyangula

    GE2025 Steve Nyerere: Watanzania wamenituma, wameniambia Nyerere tunatoka kwenda kupiga kura

    Jamani njooni msikilizeni mzee wa protokali Steve Nyerere! Hapo kashapata posho yake ya kifisadi basi ananguvu zote za kutanua mdomo wake =============== Watanzania wamenituma, wameniambia Nyerere tunatoka kwenda kupiga kura tunatoka kwenda kutiki, wamama wa Tanzania wamenitumia meseji Nyerere...
  15. W

    GE2025 Askofu Charles Sekelwa: Maandamano siku ya kupiga Kura hayana manufaa yoyote

    Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani Mkoa wa Mwanza, Askofu Charles Sekelwa, amewasihi Watanzania kwenda kupiga kura, akibainisha kwamba kutaka kufanya fujo na maandamano siku ya kupiga kura ni jambo ambalo halina manufaa kwa yeyote. Akizungumza katika kongamano la amani la viongozi wa dini...
  16. Mzee Mwanakijiji

    GE2025 Swali Kabla ya Oct. 29: Waandamane au Wasusie Kura ya Urais?

    Na. M. M. Mwanakijiji Oktoba 29, 2025 yaweza kuwa siku itakayoamua mwelekeo wa demokrasia katika Tanzania. Siku hiyo inaweza kuamua yale yatakayoendelea kutokea katika nchi yetu kuanzia Oktoba 30 na kuendelea kwa miaka mingi ijayo. Tukio moja limepangwa na huwa linatabirika; Uchaguzi Mkuu wa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Samia: Naomba sana Oktoba 29, asilale mtu, kila aliyeandikishwa aende kupiga kura

    Bi mkubwa amewambia wanaCCM kama wanavyojaza kwenye kampeni basi wakajaze hadi kwenye masanduku ya kura. Ila kuna waTanzania nao watatoka kwaajili ya maandamano ===================== Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kama ambavyo wananchi...
  18. Mafyangula

    GE2025 Askofu Shoo: Ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura

    Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura, huku akiwataka Watanzania wasikubali mtu yeyote awaondolee haki na wajibu wao wa kuchagua kiongozi wanayemtaka. Akizungumza leo...
  19. M

    GE2025 Maandamano yakifanyika kwenye vituo vya Kura, uchaguzi unaharishwa

    Nimekaaa nikatafakari nikagundua silver spoon ya Maandamano. Tanzania bara kuna vituo vya kura 97K, hata ukipeleka Askari polisi Mmoja mmoja kila kitu unacover asilimia 50 pekee ya vituo na vingine vinakuwa havina ulinzi wala usimamizi. Polisi wakisema watumie nguvu kutawanya watu, watawanya...
  20. Think2

    Kuandamana kwa kukataa kupiga kura

    Maandamano yetu yawe ya amani hatupigi kura hadi reform zifanyike sasakm tume ni yao, majaji ni wao unategemea watashindwa ?? Tayari NIDA wamepewa magari 140 ya nini?? ili yasafirishe nini? Kwanini wapewe wakati huu wakufanya uchaguzi? Njia nzuri na ya amani nikutokwenda kuwachagua ili...
Back
Top Bottom