Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025.
Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
Kamati ya Uongozi wa Chama cha ACT Wazalendo inatarajiwa kukaa kikao cha dharura usiku wa leo Oktoba 15, 2025 ili kujadili na kuamua ni namna gani wanachama wa chama hicho watapiga kura ya Urais au watampigia nani.
"Usiku wa leo kamati ya uongozi wa chama chetu chini ya kiongozi wetu wa chama...
Vitisho vinaendelea
==============
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda kupiga kura na kwamba limejipanga kuhakikisha wananchi wanatimiza haki yao hiyo ya kikatiba kikamilifu...
Mwaka 2025 umekuja na msisimko mkubwa wa kisiasa nchini Tanzania. Ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kipindi ambacho Watanzania wanapata fursa ya kikatiba kumchagua kiongozi wao mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wabunge na madiwani. Lakini kwa mara ya kwanza tangu nianze kushiriki...
Haya sio mawazo yangu, ni mawazo ya mdau mmoja ambaye ni mwanaharakati wa watoto, ameshangazwa na baadhi ya vyama kukusanya watoto kwenye mikutano ya kampeni zao.
Watoto hawa hukusanywa kama mafungu ili kuweka wingi kusikiliza ahadi za wagombea lakini hawana uwezo wa kuuliza maswali wala...
Huyu jamaa anaongea kwa vitisho sana! tusubiri tuone nguvu ya wanachi
-==============
Serikali Itahakikisha Tarehe 29 Oktoba Hakuna Mtu Atakayewazuia Watu Kwenda Kutimiza Haki Yao Ya Kupiga Kura.
Msemaji Mkuu Wa Serikali Na Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Habari Sanaa Na Michezo Gerson Msigwa...
Kwani TAKUKURU wamemaliza jukumu lao la kupambana na Rushwa? hadi kuhamia kwenye jukumu la kumasisha watu kupiga kura
-------------
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 wa kuwachagua Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ametoa kauli nzito na yenye kuleta furaha na tabasamu kwa...
Machifu wa Mkoa wa Simiyu wamewataka Wananchi wenye sifa ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua Viongozi wanaowataka.
Wamesema amani ndiyo msingi wa Taifa la Tanzania, hivyo wananchi wote wanapaswa kuilinda.
Hapa naweza kusema ni kama imetoka oda fulani kwa watumishi wote wa Umma.
Na kuwaza kwa ndani kabisa inawezekana ikawekwa lokoo watakapiga kura na wasio piga kura halafu wasiopiga kura kitawalamba!
=================
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
Sheikh uchaguzi huu hadi sasa ni haramu, je unalifahamu hilo. Lakini hali si nzuri watu wanatekwa sana sijasikia ukilisemea au halina umuhimu kabisa?
====================
Waumini wa dini ya Kiislamu kutoka Halmashauri ya mji wa Makambako wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi mkuu...
Habari za asubuhi ndugu zangu!
Nimekuwa nikisumbuliwa na jumbe nyingi kwenye simu yangu zenye ujumbe unaofanana huu:
“Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako ni haki yako.”
Huu ujumbe umekuwa ukijirudia mara kwa mara kwa siku tofauti, na...
WaTanzania hawataweza kubadili mwelekeo wa taifa lao kupitia kwenye sanduku la kura tarehe 29 Oktoba; kwa sababu wamenyimwa HAKI hiyo.
Kwenda kupiga kura vituoni siku hiyo ni kwenda kuhalalisha tu mipango haramu ya kuendeleza utawala uliopo madarakani sasa hivi.
Nafasi pekee waliyo baki nayo...
Ujumbe wangu kwa vijana na Watanzania wote: Oktoba mwaka huu, jitokezeni kwa wingi kupiga kura na kuchagua viongozi wanaofaa. Lakini muhimu zaidi, amani yetu ni kipaumbele kuliko yote.”—Mwananchi mzalendo
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi huko nchini Tanzania imeanza kutoa majina kwa wilaya tofauti kwa ajili ya usahili , wasimamizi wa uchaguzi ngazi za wilaya watakuwa na jukumu la kuwafanyia usahili
Baadhi ya wilaya majina yapo zinaendelea kutolewa
Atakayekwenda kupiga kura Oct 29 namuita MPU*MBAVU.
Kura haibadili chochote katika uchaguzi wa mwaka huu.
Kama hazibadili chochote maana yake hazihitajiki.
Sasa mtu anakwenda kupiga kura kwa minajili gani, kama sio upumbavu tu.
Ukiacha hayo kila mtu anajua kuhusu Polisi watakaokuwa mitaani...
Katika siku za hivi karibuni, simu za Watanzania zimefurika na ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) unaosema: “Kura yako ina thamani, kuwa sehemu ya mabadiliko unayoyataka, hakikisha unapiga kura tarehe 27.11.2024 kumchagua kiongozi unayemtaka kwenye Kijiji, Kitongoji au Mtaa wako.”
Kwa wengine...
Kesho ni tarehe 1 Oktoba 2025 siku ya kwanza ya mwezi wa uchaguzi, mwezi muhimu na wenye kubeba mstakabali wa siasa za Tanzania.
Mie nina suali kwa watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza kudandia magari ya kukodi na kwenda kushabikia mikutano ya kampeni ya CCM na baada ya hapo kurudi majumbani...
Ni kichaa, Mtu asiye na elimu, mjinga ma mbinafsi (hapa nawazungumzia wale wanaoonjeshwa asali au wanaonufaika na mfumo kisa ndugu zao wapo kwenye system pasipo kufikiria maslahi mapana ya taifa), Watu hawa pekee ndiyo wanaoweza kupoteza muda kwenda kupiga kura, Lakini hata kwa mtoto wa kidato...
Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025
Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma.
Enough is Enough
Lazima turudishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.