kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu UVCCM kupiga kura kuchagua wabunge viti Maalum, Dodoma

    Wajumbe Mbalimbali wa Mkutano Mkuu Wa UVCCM hapa Mtumba Dodoma, Kwenye Mkutano Mkuu Maalumu , ambapo Leo Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wanapiga kura kuchagua Wabunge wa Viti Maalumu watakaowakilisha Vijana wa Chama Hicho
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Katiba Ilidhamiria Watu Wawe Huru Kushiriki Uchaguzi kwa Uhuru wa Kuchagua Viongozi Wanaowataka na Uhuru wa Kugombea,Uhuru Huo Haupo!ni Dhambi Kubwa!

    Wanabodi Na leo ni kama jana mwendo wa Harusi ya Kana,nimekutana na kichupa kidogo kinaitwa Imagi!,hii kitu ni noma!nimezamisha kamoja tuu!kamenituma nishuke JF,natiririka tuu。。。 Mada ya leo ni kuhusu Katiba Ilidhamiria nini kuhusu haki ya kuchagua na kuchaguliwa。 Katiba ilidhamiria watu wawe...
  3. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Nilijiandikisha kupiga kura ili nipate kitambulisho na Siyo kupiga kura

    Tume ya Uchaguzi na CCM yenu mnatakiwa mjitafakari sana kwamba; Vijana na Gen Z kujiandikisha kwetu kwa wingi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, kusiwafanye muwe na uhalali wa kuamua na kuwa na kauli moja kwamba tutapiga kura!. Kura hatutapiga ila tutatumia hivyo vitambulisho kuombea...
  4. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sensa 2022, watanzania umri miaka 15+ wapo 29,842,718 na hao ndio wanasifa kupiga kura 2025. Tume ya uchaguzi itujibu 37,655,559 wanatoka wapi?

    Nimepitia takwimu ya Sensa ya taifa iliyofanyika 2022, katika jedwali la mgawanyo wa idadi watu kiumri katika makundi ya miaka mitano mitano ( Population Distribution by Age Group). Ukianzia na kundi la chini kabisa la miaka (15 - 19) mpaka la wale zaidi ya umri 85 . Jumla ni watanzania...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Wanaccm jimboni kwa Mpina wagoma kupiga kura za maoni

    Kinachoshangaza ni hivi wanawake na wanaCCM wanaojumuika jimboni humo wameahidi kwamba hawatashiriki katika kura za maoni zinazopangwa kufanyika tarehe 2 Agosti 2025 – iwapo jina la Luhaga Mpina halitarudishwa kwenye mchakato huo . Hali hii inaashiria mgawanyiko ndani ya chama na wasiwasi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT yalalamikia utaratibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar unawakosesha Wananchi wengi haki ya kupiga kura

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Uingereza yashusha umri wa watu kupiga kura hadi miaka 16

    Vijana wa miaka 16 na 17 wataweza kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao, kufuatia mpango wa serikali wa kushusha umri wa chini wa kupiga kura. Ahadi hiyo ni sehemu ya hatua kadhaa zinazopendekezwa kupitia Muswada mpya wa Uchaguzi (Elections Bill). Mabadiliko mengine yaliyopendekezwa ni pamoja...
  8. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kauli hizi unaendaje kupiga kura. Bora nikae na kura yangu tu

    Kwa kauli zenye kujirudia kwa miaka na miaka kutoka kwa viongozi wa CCM kuwa hata wasipo pigiwa kura hawa stuki watashinda tu. Lazima ujiulize. 1. Unajikuta unaona kuna maana gani ya mimi kwenda kupiga kura..? 2. Kama mshindi anajulikana kwanini nikapige kura..? 3. Wanaopata kuongoza ni wale...
  9. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umuhimu wa kila mtanzania kushiriki kupiga kura

    Kupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rose Ndauka: Kuna siku nitatamani kupiga kura ila kwasasa... kwa yanayoendelea ningekuwa kiongozi wa Sekta inayolalamikiwa sana ningejiuzulu

    Wakuu, naona Rose Ndauka amejitenga na uchawa tofauti na wasanii wenzake, kwakweli tunahitaji wasanii wa aina hii Cc Waufukweni Kupitia Instagram page yake ameandika: "Kwa yanayoendelea ningekuwa kiongozi wa Sekta husika ambayo watu wanailalamikia sana kama nimeshindwa kuboresha basi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nyie vyama "uchwara", akina ACT et al kama CCM wanafanya fujo kama leo kwenye mkutano, Je kwenye kupiga kura? Zitahesabiwa? Utatangazwa?

    ACT et al, tazama kilichotokea watu waliotumwana system... CHADEMA TAKE NOTE; Nawaza tu, nawaza tu, nawaza tu....Kitakachofuata ni kumpiga Heche risasi wakasingizia kuwa hawajui nani alipiga risasi maana polisi hawatakuwepo kama ilivyokuwa leo! Erythrocyte Ni kuchukua tahadhali tu!
  12. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Hii style ya kupakana rangi vidoleni baada ya kupiga kura tuikatae wanaume wote

    Wakuu hii style ambayo CCM wamebuni ya kupakana rangi vidoleni ilianzishwa na Nani? Ni aibu kubwa Sana kama taifa linaloji nasibu kuwa Lina uchumi wa Kati kuendelea kutumia mbinu ya wakoloni.. Mimi kama mwanaume nakataa hii na siwezi tena kurudia kufanya UJINGA huu wa kupiga kura, nawakumbusha...
  13. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumbukizi: Kabla ya Kwenda Kupiga Kura, Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea Hatima ya Matokeo ya Kura yako,..Tafakari, Chukua Hatua!

    Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea jinsi wanavyoweza kubadili matoke ya Kura yako uliyopiga bila kujali matokeo halisi ya kura. Nape Nnaye amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Wakati akitoa kauli hii alikuwa Waziri wa Mawasiliano.
  14. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia hajawahi kukanusha Maneno yake ya Oktoba 17 2020 Pale Chunya,Ni Mwendawazimu Pekee ndiye atakayepoteza muda wake kwenda kupiga kura

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Akiwa Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alinikuliwa akitamka maneno ya Kejeli,dhihaka na dharau Kwa wapiga kura wa Chunya Mkoa wa Mbeya ! "Msipigie kura chama kingine,kwasababu hata mkipiga kura kwingine CCM inaenda kuunda serikali,CCM watashinda...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna CHADEMA mwenye ubavu wa kumzuia Kigaila wa CHAUMMA au Shekhe Ponda wa ACT kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba ya kupiga kura Oct 2025

    Ni muhimu sana kuepuka kudanganyana na kupotoshana ndugu zangu wadau eti hapata kua na uchaguzi October. kweli ni kwamba hayupo kibaka wala tapeli yeyote wa kisiasa nchini mwenye uthubutu wa kumzuia mwananchi yeyote huru kushiriki kikamilifu katika kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba kupiga...
  16. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja kabla sikuwa na mpango wa kupiga KURA ila kwa huu upepo nimeamua kikamilifu kwenda Kituoni asubuhi na mapema siku hiyo ya kuwanyoa watu...

    Mara nyingi uchaguzi unapokaribia, hisia huwa za kuchanganyikiwa. Wapo wanaosubiri kwa hamu kutimiza haki yao ya kidemokrasia, lakini wapo pia – kama nilivyokuwa mie – waliopoteza imani na mchakato mzima. Nilijiona kama mtu mmoja tu asiyeweza kubadili lolote, na kwa muda mrefu nilikuwa nimeamua...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kupiga Kura kiini macho?

    Ewe Mzalendo Uende, usiende mshindi tunamjua. Urais: CCM, Ubunge: CCM, Udiwani: CCM, Msimamizi wa Uchaguzi: Mkurugenzi CCM Tume/Mwenyekiti/Makamu Mwenyekiti/Makamishna CCM
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwani huyu Mkurugenzi wa tume ya mchongo nani kamwambia sisi tunataka kuongezewa muda wa kujiandikisha kupiga kura?

    Kwani huyu Mkurugenzi wa tume ya mchongo nani kamwambia sisi tunataka kuongezewa muda wa kujiandikisha kupiga kura? Sisi hatushiriki uchaguzi bila mabadiliko ya kiuchaguzi kama yeye amechaguliwa na samia ambaye ni mgombea hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki kuna kupotezeana muda na hatupo tayari...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Mtumishi ukinyimwa ruhusa kwenda kujiandikisha kupiga Kura nipe taarifa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda leo Jumanne May 20, 2025 ameungana na Watanzania wengine kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye kituo cha Hospitali ya AICC, Mtaa wa Mahakama Kata ya Sekei Jijini Arusha ambapo amesema kwa sasa yeye ni Mpiga kura halali wa...
Back
Top Bottom