kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Askofu Wolfgang Pisa anamaanisha nini anaposema kabla ya kwenda kupiga kura 'tathmini dhamiri yako'?

    "Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile...
  2. Analogia Malenga

    Mwenyekiti wa SADC atoa wito kwa wananchi wa visiwa vya Shelisheli kujitokeza kupiga kura

    Rais wa Malawi, ambaye pia ni mwenyekiti wa SADC, Lazarus Chakwera ametoa wito kwa wananchi wa visiwa vya Shelisheli kujitokeza kupiga kura ili kushiriki mchakato wa maendeleo katika nchi yao. Kupitia tamko alilolitoa leo Sept 24, amesema SADC imealikwa kuuangalia uchaguzi huo kama inavyotakiwa...
  3. S

    GE2025 Uwezekano wa watanzania kuandamana ni asilimia 10, kutokujitokeza kupiga kura ni asilimia 95

    Haya ni maoni yangu: Binafsi napenda sana kuona siku moja watanzania kwa mamilioni nchi nzima wanaandamana kudai mabadiliko. Hata hivyo,, kwa sasa naona ni vigumu kwasababu mbalimbali mojawapo ikiwa ni hii mbinu ya kupanga tarehe fulani kuwa ni siku ya maandamano. Kwa Tanzania yetu hii...
  4. W

    GE2025 Makonda: Tusipojitokeza kupiga kura halafu Mungu akituma malaika wakaongeza kura katika sanduku. mtaani watasema tumeiba

    Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amewasihi wananchi kujitokeza kupiga kura ili kuwachagua viongozi wanaotaka katika uchaguzi mkuu. Makonda ametoa rai hiyo leo Jumamosi Septemba 20, 2026 alipokuwa akizungumza baada ya kushiriki ibada ya maombi...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Padre Mwabena: Kanisa Katoliki linawahamasisha wananchi kupiga kura siku ikifika

    Paroko Msaidizi wa Parokia ya Peramiho, Padre Frederick Mwabena amesema ni wajibu wa Kanisa Katoliki kutunza amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Padre Mwabena amesisitiza kuwa Kanisa Katoliki linawahamasisha wananchi kupiga kura siku ikifika, kwani ni haki yao ya msingi. Pia...
  6. J

    Wakati UNSC, yajiandaa Sept. 22 kupiga kura Kutambua Umiliki wa Wapalestina wa Judea & Samaria, Historia imethibitisha Wayahudi ndiyo wenye nchi

    Kabla ya yote nakushauri weka bundle la kukutosha muda wa dakika 20 ili ufuatilie matokeo haya ya uvumbuzi wa kihistoria wa " the pilgrimage road from the city of David to the Temple Mount". Njia hii ya ndani ya hand akina (tunnel) iligunduliwa kwa bahati tu mwaka 2004 kufuatia udadisi...
  7. K

    GE2025 Ukienda kupiga kura mwaka huu, wewe ndiyo tatizo la Tanzania!

    Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa...
  8. DuaZaMama

    GE2025 Askofu Chinyon'gole awahimizi wanawake kujitokeza kupiga kura

    Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Shinyanga, Johnson Chinyong'ole, amewataka wanawake kutambua kuwa kura zao ni turufu ya ushindi kwa vyama vya siasa, hivyo wana nafasi ya kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano. Askofu Chinyong'ole ameyasema hayo...
  9. W

    GE2025 Vijana Geita kuhimizwa kupiga kura kwa wingi Oktoba 29

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Geita Mjini, Ndaro Samsoni, amewahimiza vijana kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la kupiga kura litakalofanyika Oktoba 29 mwaka huu ili kuchagua rais, mbunge na diwani. Ndaro amesema ushiriki wa vijana ni muhimu kwa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa...
  10. Waufukweni

    GE2025 Nyalandu: Wasiojiweza wasaidiwe kupiga Kura

    Waziri wa zamani, Lazaro Nyalandu, amewasihi viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Hanang mkoani Manyara kuhakikisha mipango inafanyika ili watu wenye ulemavu na wazee waweze kufika kwenye vituo vya kupiga kura. Nyalandu ametoa kauli hiyo jana Septemba 16, 2025 katika mkutano wa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Shekhe Ibrahim Mavumbi: Bila kujali dini jitokezeni kupiga kura Oktoba 29

    Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Alihaji Shekhe Ibrahim Mavumbi, ametoa wito kwa wananchi wote bila kujali dini wanayo abudu, kujitokeza kupiga kura ifikapo Oktoba 29, mwaka huu, ilkutekeleza haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi watakao waongoza.
  12. Analogia Malenga

    GE2025 Kama Rais ndio anaamua nani awe mbunge, msinisumbue kupiga kura

    Mbunge ni muwakilishi wa wananchi hivyo inabidi achaguliwe na wananchi. Wananchi wanamchagua mtu ambaye wanajua anafanana na wao na anaweza kwenda kupeleka hoja zao bungeni. Lakini kwa jinsi siasa zilivyo ni kama mtu anakuwa mbunge kwa huruma ya rais na sio kwa kura za wananchi. Kwa sababu hii...
  13. Logikos

    Kuna Nchi zinalazimisha Watu Kupiga Kura

    Ukishangaa ya Waiba Kura yaani Upige, Usipige, itapigwa... Kuna nchi zinalazimisha ukapige! na Ajabu zaidi kuna zile zinaruhusu mtu kutuma mtu akampigie kwa kumpa Power of Attorney!!! https://worldpopulationreview.com/country-rankings/countries-with-mandatory-voting
  14. Robert Heriel Mtibeli

    GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

    Hamjambo! Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake. Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha mjini, Moshi mjini, mwanga Mjini, Same Mjini mpaka nilipofika Makanya kwenye kituo changu cha kupigia...
  15. Tlaatlaah

    GE2025 Huenda changamoto ya afya ya akili ikawakosesha wengi sifa na fusra ya kupiga kura kwa mujibu wa sheria uchaguzi mkuu wa Oct.2025 na sio reforms

    Huenda wengi wenye mawazo au mtazamo wa kutoshiriki uchaguzi au kutokupiga kura uchaguzi mkuu wa october2025, wanapitia changamoto hiyo mtambuka ya afya ya akili kwasasa, na kujikuta wakiwa na msukumo au shinikizo hasi lisilo na faida kwao wenyewe, familia zao na taifa kwa ujumla. Ugumu wa...
  16. Mboju

    Sisi tusio kuwa na Vyama tunaomba ajira basi ya kuhamasisha watu kupiga kura

    Wakuu habari za mida hii, wanasemaga usiache fursa ikapita bila kuichungulia, hichi ni kipindi cha kampeini na uchaguzi Tunaomba basi ajira za kuhamasisha watu kupiga kura iwe nyumba kwa nyumba kanisani na misikitini au maeneo yenye mikusanyiko tutafika Dau langu ni dogo tu 150000 inanitosha...
  17. Allen Kilewella

    Duniani kote mafukara hutiki mabwanyenye hugawana utajiri wa nchi

    Hapa Tanzania kumegawanyika makundi mawili ya watanzania, kuna kundi linalounga mkono uchaguzi wa mwaka huu na lipo linalopinga mchakato wa uchaguzi wa mwaka huu. Lile linalopinga linaongozwa na kauli mbiu ya "Oktoba tunatiki" na linalopinga linaongozwa na kauli mbiu ya "No Reforms No...
  18. I

    No Election maana yake Wewe Hapo Usiende Kupiga Kura

    Kwakuwa wameamua kushupaza shingo. Hawataki kufanya reforms. Na kwakuwa mamlaka waliyonayo yanatoka kwetu sisi wananchi japo wao wanadhani yanatoka kwa 'WAHUNI' in Balozi Polepole's voice. Hebu sasa tuwaoneshe kwa vitendo kuwa hatuendi kupiga kura siku hiyo waliyoipanga. Dhulma imezidi na...
  19. Mama Ametufikia

    Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

    Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana. Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm. Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani...
  20. Lord Denning

    Wanavyokunjaga sura, huwezi amini wanapelekeshwa na wajinga kama CCM. Wanapigishwa Mistari kupiga kura wakati Uchaguzi ulishaamuliwa.

    Wanavyokunjaga sura na kujifanya wababe na wajuzi huwezi amini wajinga wajinga CCM wanawapelekesha kama mazuzu. Huwezi amini CCM wanawaona kama matoy tu yasiyo na chochote wala lolote. Yaaani hawa nao Oktoba wanapigishwa mistari kutiki wakati CCM, Tume na NIDA walishaamua kura ziweje na ushindi...
Back
Top Bottom