kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania KWELI Profesa Assad alisema Sitapiga kura hadi nchi hii tuanze kupiga kura kidigitali

    Ni kweli Profesa Assad alisema hatapiga kura hadi nchi hii ianze kupiga kura kidigital? Alisema lini na akiwa wapi? Maana naona kauli hiyo tu watu wanashare ila sioni wakisema chanzo.
  2. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ana uhakika wa Kura Milioni 3 za wamasai wenye sifa za kupiga kura

    CHADEMA ikiongozwa na Tundu Lissu imekuwa ikipigania Haki za wafugaji hasa wamasai waliopo mikoa mbalimbali Tanzania, kama. Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga, Morogoro, Pwani, Dodoma, Chunya Mbeya. Kutokana na umoja wa wamasai walionao , nadiriki Kusema nimetembelea Vijiji vingi na Kata za...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, wapiga kura wapya 190,131 wanatarajiwa kuandikishwa Mwanza

    Wakazi wa Mkoa wa Mwanza wakiwa katika vituo vya Kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakijiandisha na kuboresha taariza zao leo ambapo uboreshaji huo ulioanza Agosti 21, 2024 ukiendelea kwa mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Mikoa hiyo inafanya zoezi hilo kwa siku saba kuanzia Agosti 21 hadi...
  4. Suphian Juma

    JamiiForums Tanzania Masai hawana ardhi, Rais Samia anawapenda

    Wamasai hawana ardhi yao, ardhi ni yetu sotekwa Sheria ya ardhi ya 1999. Aidha Rais Dkt. Samia aliwahamisha FAIRLY Ngorongoro hadi Tanga na kuwapa upendeleo kuliko kabila lolote; makazi, elimu, afya, malisho bure. Wanaowafunda Wamasai migogoro dawa yao inachemka. Tuelimishane... Kwanza...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sioni kama ni afya au tija kwa taifa kwa raia wote kupiga kura katika uchaguzi

    Hili suala la raia wote kupiga kura kuchagua viongozi halijakaa sawa, naona kama lina madhara mengi na makubwa zaidi kuliko faida kwa sababu kuna watu wengi wanapiga kura lakini hawaelewei uzito wa kura yenyewe hivyo sio rahisi kwao kufanya maamuzi sahihi. Matokeo yake watu wa aina hii wakiwa...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania wenzangu tujindikishe kwa wingi kupiga kura chadema itaenda waletea chuma

    Mungu wangu mwema siku zote , na amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,imekua Wakuu andiko langu litakua fupi sana. Uchaguzi wa 2025 kama ukifanyika (,zingatia kama ukifanyika ) ni uchaguzi kati wapenda nchi yao kwa maslahi mapana ya sasa na vizazi vyao vijavyo vs machawa...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wazuia maandamano ya wamasai Ngorongoro kupinga kunyimwa haki ya kupiga kura

    Hali halisi ilivyo katika kata ya Enduleni Ngorongoro ambapo Jeshi la Polisi limefika kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wananchi ambao wamefika mahali hapa kupinga uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wa kuwazuia wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kupiga kura. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro...
  8. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kupiga Kura ni Ibada, Chagua Kiongozi kwa kura Ili akizingua uwe na Uhalali wa kumshtaki kwa Mungu wa Mbinguni

    Kupiga Kura ni Ibada ndio Sababu tunasemaga Kiongozi ni Chaguo la Mungu wa Mbinguni Hivyo kama Wewe ni above 18 basi jiandikishe kupiga kura Ukimchagua Kiongozi Kwa kura halali halafu Kiongozi huyo akawa mwizi na Fisadi basi utakapomshtaki Kwa Mungu wa Mbinguni ataadhibiwa Kwa kipimo kile kile...
  9. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025, nishajiandikisha wapenda mabadiliko na maendeleo mjitokeze kujiandikisha

    Ni wakati mwingine tunaelekea kwenye chaguzi - Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 . Tujitokeze kwa wingi ,tuache mabishano ya Simba na Yanga vijiweni . Kina Erythrocyte ,Lucas Mwashambwa ,@itwege FaizaFoxy ,Pascal Mayalla ,Kulwa Jilala ,Stuxnet ,Tindo ,ChoiceVariable , eli...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kama mtu chini ya miaka 18 haruhusiwi kupiga kura, basi iwe marufuku watoto wadogo kufundishwa imani za kidini mpaka wafike miaka 21

    Moja ya mambo yanayovuruga sana wanadamu ni mambo ya imani ambayo msingi wake ni kuamini bila kuhoji na kuhoji ni sawa na kukufuru(unamezeshwa). Maajabu zaidi ni kuwa tuna vitabu viwili ambavyo ni Bibilia na Quran, lakini kwasababu watu wamekuja na tafsiri zao za haya maandiko, leo tuna...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Asiyepiga kura hana haki ya kuhoji wizi wa kura, tujitokeze 2024 na 2025 kupiga kura na kuzilinda

    Salaam, Shalom!! Nachukua wasaa huu kuwaamsha wote waliokata tamaa, wote walioapa hadharani kuwa hawatashiriki kupiga kura wengine wakachoma kadi za kupigia kura, baada ya matumaini Yao ya kumuona ndugu Edward Lowwassa anakuwa Rais wa nchi 2015 kupotea. Uchaguzi wa 2020 pia ulichagizwa na...
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025

    Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo: 1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wanaiuza ardhi ya Ngorongoro kwa waarabu? 2. Kumbe wakazi wa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ukurasa wa TLS X umesema zoezi la kupiga kura limeisha, upande mwingine wanasema wanasubiri karatasi za kupiga kura ziongezwe, ukweli ni upi?

    Wakuu kwema? Ukurasa wa X wa Tanganyika Law Society wameweka tangazo kuwa zoezi la kupiga kura limekamilika watu wanasubiri matokeo sawa. Pia soma: Uchaguzi wa Rais TLS: Karatasi za kupigia kura zimeisha, mawakili wanasubiri karatasi nyingine ziletwe ili zoezi liendelee Wakati upande...
  14. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Serikali kupiga kura TLS sio haki, ukweli usemwe

    Nimejiuliza sana, mawakili wa serikali wana umoja wao unaitwa TPBA (Tanzania Public Bar Association) yaani umoja wa mawakili wa serikali Tanzania, na wana Rais wao. Upande wetu TLS ukiongea kiuhalisia kabisa, unahusu Mawakili wa kujitegemea. TLS inajali maslahi ya mawakili wa kujitegemea, na...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Taarifa za kuwepo kwa uchakachuaji matokeo zinaweza kuwa na lengo la kuwakatisha tamaa waliopanga kupiga kura kwa upinzani

    Kila kitu kichachofanywa na wanasiasa mara nyingi huwa kinakuwa na sababu nyuma yake, tayari kinakuwa kishapigiwa hesabu kuona nini faida yake na hasara yake. Kauli au taarifa za kuwepo kwa uchakachuzi wa matokeo ya uchaguzi, au wizi wa kura huemda ni moja ya mbinu ya kupunguza idadi ya wapiga...
  16. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Kagame na Siasa za ubabe: Kupiga kura na kuchangia chama tawala si hiari, ni lazima!

    Paul Kagame Siku za nyuma, Katibu Mkuu wa chama tawala, RPF inkotanyi, bwana Wellars Gasamagera, alitamka wazi kuwa, RPF haiwezi kuachia madaraka kwa mtu mwingine au chama chochote. Ikumbukwe, chaguzi zote zilizopita, matokeo ya uchaguzi yalionyesha kiongozi wa chama hicho, ambaye mara zote ni...
  17. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Cyril Ramaphosa achaguliwa kuwa Rais kwa awamu ya pili

    https://www.youtube.com/live/PTbikZP3ljI?feature=shared ========= UPDATE: Mjumbe wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC), Cyril Ramaphosa, amechaguliwa tena na Wabunge kuwa Rais wa taifa hilo kwa awamu ya pili Licha ya ushindi huo, Ramaphosa anakwenda kuongoza Serikali iliyoundwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti Kati ya kupiga Kura na Kuchagua Kiongozi, Afrika tunapiga Kura!

    Kupiga kura Kisiasa ni zoezi la kumuweka mtu au Kikundi Cha watu madarakani bila kujali kama Wana sifa ama la Kupiga kura mtu anashawishiwa na Vionjo mbali mbali mfano Rushwa, Ulaghai, Dhulma na Utapeli Lakini Kuchagua Kiongozi ni zoezi la kumchagua Mtu mwenye Sifa, Vigezo na karama ya Uongozi...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza kupiga Kura ya kufuta matumizi ya VAR

    Klabu zinazoshiriki Ligi Kuu zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya 'VAR' kuanzia Msimu ujao Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka gani? Kwanini?

    Kuna watu wamepoteza ari ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu. Wapo wanaosema waliacha kwa kuwa hawana imani kama kura wanazipiga ndizo zinaamua mshindi, wanaona kama uchaguzi ni kiini macho tu hivyo wamekata tamaa ya kushiriki. Wengine wakidai wanajichosha...
Back
Top Bottom