kupeleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SADC wakubaliana kupeleka wanajeshi kukabiliana na ugaidi Msumbiji

    Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika siku ya Jumatano umeazimia kupeleka wanajeshi nchini Msumbiji kukabiliana na kitisho cha usalama katika jimbo la Kaskazini la Cabo Delgado. Hatua ya SADC inakuja baada ya vifo vya zaidi ya watu 3,000 huku wengine...
  2. H

    Magari ya kubeba mizigo kupeleka mikoani hupatikana wapi , Dar es Salaam?

    Naomba kuelekezwa magari ya kubeba mizigo kupeleka mwanza hupatikana maeneo gani kwa Dar. Na gharama zake zipoje?
  3. J

    John Mnyika: Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kupeleka wabunge wa viti maalumu bali kuchochea mageuzi ya Demokrasia

    Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amesema Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kuchagua wanawake wa kuwapeleka bungeni kwa viti maalumu bali ni kichocheo cha demokrasia nchini. Mnyika amesema wanawake ni jeshi kubwa hivyo wanao wajibu wa kupigania katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Pia...
  4. China yafanikiwa kupeleka kifaa katika sayari ya 'Mars'

    China imekuwa nchi ya pili katika historia kufanikiwa kufikisha kifaa katika Sayari Nyekundu au 'Mars' Kifaa hicho kilichopewa jina la Zhurong ambalo ni jina la Mungu wa Moto wa Kichina kimetua Jumamosi, Mei 15, 2021 Asubuhi Zhurong itachunguza uwezekano wa kuwa na maisha karika Sayari ya...
  5. Kwa udogo wa eneo la Israel na Palestina kwanini tusiwapeleke JWTZ kutuliza ghasia?

    Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani. Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio...
  6. C

    Kupeleka mbele Ratiba ya Yanga vs Azam na Yanga vs Biashara United kulifuata kanuni!

    Kwanza nianze jambo moja... Kama utanisoma kwa kuongozwa na Think Tank wa Club ya Simba, yaani Haji Manara, katu hutanielewa! Ni bahati mbaya sana nimetafuta barua kutoka TFF au hata Yanga zinazotoa maelekezo ya kupeleka mbele mechi hizo hapo juu! Pamoja na yote hayo, kama utaweza ku-connect...
  7. China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

    Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke. Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua. Pia tayari...
  8. CHADEMA ina mpango wa kupeleka wabunge wa Viti Maalumu kuchukua nafasi za Mdee na wenzake 18

    Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na...
  9. Ushauri: Biashara ya mchele kutoka Kahama Kupeleka Arusha

    Niaje Mabroo na Masista. Maisha yanaendelea poa, mimi niko Kahama hapa kuna mishe nilikuja kufanya ila mda siyo mrefu nageuza kurudi A Town, aka A City, Geneva of Africa, City of God[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ..ni hivi wakuu tuachane na mbwe mbwe za majina. Ni Kwamba katika muda niliokaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…