kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Habari ndugu zangu, wakubwa shikamooni na wadogo habari zenu. Nasimama na kuleta hoja hii kwa niaba ya Ndugu (Brother from another Mother). Mwaka jana 2023 huyu ndugu alifanikiwa kuomba ajira (Ajira Potal) na kufanikiwa kuitwa kufanya usaili alifanikiwa kufanya written na baadaye oral na hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo ya Dating Apps: Kupata Mapenzi Huko ni Rahisi au Unapoteza Muda?

    Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe left. Inajulikana kuwa hizi apps zimejaa watu wa kila aina – wengine wanatafuta penzi la kweli...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe?

    Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe? Na manufaa utakayo yapata ni yapi?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata mkopo NMB, nina changamoto?

    Habarii ndugu zangu Wanajf, Mimi ni mwajiriwa wa serikali japo bado sijathibitishwa kazini,ila nimepataa changamoto ambayo inahitaji kama 2M Hivi kuweza kuitatua. Je? Ninaweza kupata mkopo NMB? Kama jibu ni ndio nilikuwa naomba kujua vigezo vyao na huchukua Muda gani mpaka kupata. Ahsanteni Sana;
  5. G

    JamiiForums Tanzania Anaimba tangu 2020 kawahi kupata show mbili za laki 1 na elf 20, Nawezaje kumshawishi ajikite zaidi na vitu vingine vya kimaendeleo

    naona anakoenda siko kabisa nami kama mtu mzima niliyeweza kujionea uhalisia wa muziki ni wasanii wachache sana wanaoweza kupenya na wengi hawafiki kokote na hata kuharibu maisha ya baadhi ya vijana ninasikitika kwamba dogo anaweza kuingia huko. Mara kadhaa anashea nami miziki yake kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Remote jobs

    Hello! Msaada jamani waliowahi kufanikiwa na hizi remote jobs Huwa wanatuambia njia zipi maana Huwa naapply cjawahi pata na nasikia Kuna watu wanapata tupeane Siri angalau tupate kupata kipato Cha ziada
  7. JamiiForums Tanzania Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

    Wakuu, Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana. Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia, Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu...
  8. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata nafasi ya kuhamia UDOM?

    Wakuu habari? Nina mdogo wangu anasoma diploma in pharmaceutical sciences chuo kimoja Cha private hapa Mwanza, Amemaliza First year mwezi huu anaenda Second year nilihitaji kujua process za kufanya Ili kupata nafasi ya kuhamia UDOM dogo Yuko vzr Kwa case ya matokeo ya mwaka Au mwenye...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kupata Mali Sio Dhambi .

    Biblia haimlaumu mtu kwa sababu ni tajiri;Wala haisemi kuwa utajiri ni chimbuko la uovu wote.Badala yake maandiko yanasimama kuwa Mungu atoaye uwezo wa kupata utajiri Na uwezo huu na talanta iliyo nzuri kama ikitolewa kwa Mungu na kutumia na kuendesha kazi yake .Biblia haimlaumu uwezo wa ubongo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma Jiji na Azam walinyimwa haki na marefa, leo Simba wanalia dhulma waliofurahia!

    Ile penalti waliyopata Simba kule Dodoma haikuwa halali, lakini mwamuzi aliwapa faida kwa kuwapa pointi 3. Timu ya Dodoma ililalamika, na kocha wao, Mexime, alionyesha kutoridhika. Lakini msemaji wa klabu aliwaambia waende TFF kama wana malalamiko zaidi! Mechi dhidi ya Azam kule Zanzibar nayo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huwezi kufungwa mara 4 mfululizo kwa bahati mbaya, siku mkiukubali ubora wa yanga na kuwaheshimu mtafanikiwa kupata matokeo!

    Napenda kuwaeleza Hawa mashabiki na wanachama oya oya wa Simba pamoja na viongozi wao kwamba daraja aliloweka yanga kwa sasa na wao bado awajalifikia, bado yanga Wana ubora mkubwa ukilinganisha na Simba! Ukiangalia ubora wa mchezaji Mmoja Mmoja pamoja na uzoefu kwa vikosi vyote viwili utagundua...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kupata Msimbo kutoka NACTE ili kusajiliwa chuoni, tusaidieni jinsi ya kutatua changamoto kama hii

    TATIZO LA WANAFUNZI WA DIPLOMA WALIOENDA KULIPOTI MWAKA WA KWANZA LAKINI WAKAPATA CHANGAMOTO YA KUPATA MSIMBO ILI KUSAJILIWA CHUONI MNATUSAIDIAJE WAKUBWA ZETU
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume wasiojiamini(insecure) ndio wanashadadia zaidi (wako obsessive) kupata wanawake bikira.

    Ukiona kijana wa kiume au mwanaume mtu mzima kila mara anaongea "wanaume ni muhumu kuoa wanawake mabikiara" , mara siku hizi bikira ni adimu sana na upuuzi mwingine kama huo mara nyingi huyo mwanaume hajiamini/ana insecurity inayotokana na kipato, domo zege au uwezo duni wa kufanya mapenzi na...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

    Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa. Afya mpaka leo hakuna Pdf. Je, kipi kiko nyuma ya haya? 1. Serikali haina Hela. 2. Utumishi wamelemewa. . .
  15. JamiiForums Tanzania Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  16. JamiiForums Tanzania Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

    Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo. Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata ussd l/mmi code za Samsung Z fold 2

    Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
  18. X

    JamiiForums Tanzania Boeing imepata hasara kubwa, yaamua kupunguza wafanyakazi 17,000 na kusimamisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo ya ndege zake

    Oct, 11, 2024 "Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha." —Kelly Ortberg (Boeing CEO) Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ni Vpn ipi nzuri kwa kupata free internet?

    Nilikua naomba kuuliza ni Vpn gani nzuri ambayo watu hutumia kupata free internet?
  20. JamiiForums Tanzania Mchezaji anayeisababishia timu yake kupata penati ihesabike kama assist.

    Hii haitozihusu zile penati zinazopatikana kwa beki kuunawa mpira ndani ya 18.Iwapo Mchezaji kapambana na kusababisha penati alafu hapewi fursa ya kupiga yeye basi walau ahesabiwe kama ame assist.Haina maana Mtu apambane asababishe penati tatu kwa mfano alafu zote zipigwe na mwingine,sifa zote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…