Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,191
- 3,514
Naomba kuuliza:
Hizi rasilimali zote za milima na mawe je tunapondea tu kokoto? Au kuna kiwanda kinatengeneza bidhaa kama hizi.
Tungeweza kutumia fursa kutengenezea fanicha imara sana.
Mambo ya meza za jikoni, vigae na vitu luxury vinavyoweza kuchongwa toka katika mawe mojakwamoja, je tunazitumia rasilimali hizi kikamilifu? Kuna hadi mashine za kusagia za mawe (ishelo😁) mazee!!🤯
Nimeshtuka kugundua kumbe mawe nayo ni madini kamilifu kabisaa. Wajukuu zetu watakuja kutucheka kwamba tulikuwaga tunapishana na mali mtaani tunaziacha tu.😀😀.
Anyway, nikihitaji tabletop ya jiwe gumu nnaipata wapi wadau?
Je issue kama hii bongo inaweza kulipa? Halafu hivi hili jina Bongo limekujakujaje kama matumizi yetu ya akili yapo kiwango hiki. Tulipokosea ni kuhusianisha uongo na akili wakati kiuhalisia dalili mbiliwapo za akili na ujiniazi ni ukweli na udadisi. Jiniazi hawadanganyi, hawajidanganyi na hawadanganyiki kirahisi. Bongo.