kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema kuingia maombini kupata upande sahihi wa kuunga mkono Uchaguzi Chadema Taifa

    MWENYEKITI mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema atafanya maombi kwa Mungu kupata upande sahihi wa kuunga mkono katika mvutano wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho. Amesema muda si mrefu ataonesha ni upande gani anaounga mkono kati ya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Nkasi na Mfumo wa ESS

    Ndugu zangu hii naiona wilaya ya Nkasi iliyoko mkoani Rukwa , wilaya hii ni ngumu sana kupata uhamisho hasa kupitia mfumo wa Ess ambao uliletwa mbali na shughuli nyingine kumrahisishia mtumishi kufanya maombi ya uhamisho , Katika wilaya ya Nkasi maombi ya uhamisho tena yenye vigezo kabisa katika...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ubaguzi kwa watumishi kupata stahiki zao Taasisi ya Vyuo vya Mifugo

    Kuna ubaguzi mkubwa kwenye taasisi ya vyuo vya mifugo LITA kwa watumishi kupata stahiki kulingana na mtumishi kuwa karibu na mwenye kitengo. Changamoto imezalisha chuki kwa watumishi pia hawana morali ya kazi tena ni kama taasisi imefikia ukomo hakuna mawazo mapya tena. Mkuu wa taasisi ni...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Lissu kupata uenyekiti wa chadema kumemshinda na itakua ni ndoto za kimweri kuupata, nadhani kupata urais wa Tanzania itakua ni ndoto za alinacha

    Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema. Ni dhahiri, hekima, busara na mdomo wa huyo muungwana is completely not...
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitendo Cha CCM kupata Asilimia 99% za wizi kilitosha kumstaafisha Mbowe

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe ndio aliyetoa tangazo na agizo la kwamba CHADEMA ikashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na madhaifu yaliyokuwepo ila bado alikioeleka chama kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Mwisho wa siku chama kikapata Asilimia 0.78 na CCM kikapata Asilimia 99...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

    Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza. Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ? Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

    Lissu sio mwanasiasa haijui siasa kaingia kwenye siasa ili kufanikisha malengo yake ya uanaharakati. Lengo la mwanaharakati sio kushika dola ni kutetea haki na kuleta mageuzi, tofauti na lengo la mwanasiasa ambalo ni kushika dola. Mbowe ni mwanasiasa, mwanasiasa makini hutumia hoja, dialogue...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lissu alimwambia Abdul endapo angefanikisha kumsaidia kupata pesa angekuwa rafiki yake. Hajafanikiwa, anachafua kila mtu

    Haya ni maneno ya Tundu Lissu “nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu” Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM. Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake...
  9. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye chama hautabadilika sana endapo watashindwa kupata nafasi ya mwenyekiti

    Wanabodi, Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo kwenye kamati kuu ya chama, anaweza kupata mabadiliko makubwa ya ushawishi na uwezo wa kutekeleza...
  10. Wauzaji wa Aluminium

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mnahitaji kusafirisha containers, lose cargo n.k naomba tuwasiliane ili muweze kupata huduma bora za usafirishaji

    This service for now is unavailable , we Appreciate your endeavors in making us great Thank you 🙏🏽
  11. kats5

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata review ya perfomance ya pikipiki ya sinoray cc180-18

    Habari za leo wakuu, hongereni na majukumu, Kama kichwa cha habari kinavoeleza, kwa mzoefu tafadhali, naomba kupata kujua zaidi pikipiki ya. 1. Sinoray cc 180-18 (PUSHROD) na 2. Sinoray cc 180-18(TIMING CHAIN). Katika vigezo vifuatavyo, 1. Ubora na uimara 2. Re- sale value na kadhalika...
  12. Brojust

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kila ziwa (lake) duniani lina species za samaki wake ambao huwezi kupata popote duniani ?

    Naomba kujuzwa wanasayansi na watafiti waboɓezi. Mfano: Sato, sangara na yule mwingine mrefu kama nyoka (mumy) wanapatikana ziwa Victoria tuu, Hivi kweli lake nyasa na lake Tanganyika wanapatikana migebuka tu na species nyingine. Mfano Kenya kuna lake turkana inamaana huwezi kupata sampuli...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Labda miaka 40 mbele ndio upinzani wanaweza kupata mpenyo wa kuchukua Dola kama ilivyotaka kutokea 2015

    Wengine hapa nchini hatuna majina lakini tuna macho ya rohoni (third eye) . Tangu nipate akili timamu za kiutu uzima na kujitegemea Mimi sijawahi kuwa mdau wa CCM. Nina kadi ya CCM na CHADEMA ndani. Ya CHADEMA niliikata mwenyewe 2015 na CCM nimeletewa tu mwaka huu. Kwa ufupi Mimi sina chama...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marcus Rashford asema yupo tayari kuondoka Man United ili kupata changamoto mpya

    Mshambuliaji wa #ManchesterUnited, Marcus Rashford amesema yupo tayari kupata changamoto mpya nje ya klabu yake na kusisitiza kuwa hata ikitokea ameondoka hatajisikia vibaya. Amesema hayo wakati ambapo amepoteza nafasi katika kikosi cha kwanza chini ya Kocha Ruben Amorim, pia inadaiwa kuna...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupata connection ya Ajira , Biashara, n.k. kimasihara ? aliekupa hakuhitaji chochote, mtu ambae hukumtegemea, n.k.

    katika maisha ya sasa connection ni kitu muhimu sana, lakini zimekuwa ngumu sana kupatikana ni hadi utoe kitu kidogo, uwe chawa, n.k. Je umewahi kupata connection kimasihara iwe kwa mtu ambae hukumtegemea au Bila kuombwa chochote au mazingira usiyotegemea, n.k. Nimewahi kumjua Mhitimu wa...
  16. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Unavyonunua gari fikiria na uwezekano wa kupata mteja kama ukiamua kuliuza

    Kuna magari ni kama "mimba" (tukumbuke umri wa mimba isiyo na hitilafu ni siyo chini ya miezi tisa). Kuna magari hayauziki hata upunguze bei kiasi gani labda uuze kwa hasara kubwa au uuze kama skrepa lakini kuna magari mengine unaweza kupata mnunuzi wa bei nzuri tena siku hiyohiyo unayotangaza...
  17. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu sana kupata mwenza mkamilifu

    Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye...
  18. This is...

    JamiiForums Tanzania Hakuna mchezaji wa simba anaweza kupata namba pale Yanga. Simba timu mbovu.

    MANULA hawezi kupata namba pale Yanga,utamsajili utampeleka wapi.Kaisha!
  19. E

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata cheti kingine original cha Form 4?

    Habari, Wanajukwaa mm ni mwanachuo mwaka wa tatu mnamo Tarh 29 Nov lilitok tangazo la ajira migration kwa bahati nimefanikiwa kupeleka maombi na kutokana na tetesi wiki ijayo tunaweza kuitwa kwenye interview ila changamoto yangu kubwa mpk sasa ni kwamba nimepoteza cheti original cha form 4...
  20. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

    Wakuu swali hili. Kama ushawai tumia kondom utaungana na mimi sehemu ya mwishi karibu na shina condom huwa haifiki na hii kupelekea wakat wa tendo kulowa au kugusana maji maji Je, hii haiwezi sababisha maambukiizi?
Back
Top Bottom