kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata wapi documents kama barua nilizofuta mwezi uliopita kwenye simu

    Wataalamu naombeni msaada Kumbe nilifuta barua ya muhimu sana. Sina utaalamu sana kwenye simu. Vitu ninavyodelete sijui hata vinaenda wapi? Barua inahitajika sasa halafu haipo kwenye simu. Nilitumiwa WhatsApp 😭😭😭😭
  2. A

    JamiiForums Tanzania RAIS MSTAAFU MH JAKAYA MRISHO KIKWETE ALILENGA KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU ILA RWANDA WAKASHUPAZA SHINGO

    Sikiliza mwenyewe kupitia hii link https://x.com/EggleVuvu/status/1885185539365564674?t=eqx2xm8OPAYKondHhO_7DQ&s=08
  3. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

    Mwanamke muelewa Anajishusha Anapenda ujifunze Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Walipa Kodi Mkoa wa Kikodi kupata huduma katika Majengo ya Diamond Plaza na Mariam Tower

  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bernard Morrison: Nimekuja Bongo kujitafuta sio kupata Hela – Muhimu ni kuibakisha KenGold

    Hiki Kiswahili cha BM3 🫰🏽 Mchezaji nyota Bernard Morrison kwenye mahojiano na Azam TV asema amekuja Bongo kujitafuta sio kupata hela, kwani ametoka kupona majeraha sio rahisi kurudi moja kwa moja kwenye timu zenye presha (kubwa) – Muhimu ni kuipambania KenGold kuibakisha Ligi Kuu ya NBC.
  6. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kununua usafiri kwa mtu (used) kunaweza kuwa na mikosi ya kupata ajali?

    Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA. Aliniambia Used sio Nzuri, zinaweza kua ma mabaa ama mikosi, Hujui kwanini ameiuza huenda imegonga...
  7. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Weusi tulilala sana kupata mbadala wa dawa ya UKIMWI (ARV), Trump katuamsha

    Wakuu Kwanza mtanisamehe. Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu sisi weusi yanapokuja mambo yanayohitaji tuwe siriazi, tumekuwa sio kabisa. - Mtu mweusi ana shida sana. - Naungana na wanaosema weusi tuna IQ ya chini mno. - Mweusi anaishi kwa LEO yake. - Anadeal na yanayomsibu LEO. - Hayo ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania E-mail kutoka TaESA

    Habari wapendwa. Mimi nimejiunga na TaESA lakini sijafiki asilimia za kuomba reg no. Lakini nimekua ninapokea e-mail zao mfano zinakua zinasema “MAOMBI YA USAJILI WA MWAJILI KWENDA WIZARA YA KAZI YAMETUMWA KUTOKA TAA SONGEA” nashindwa kuelewa naomba mwenye kujua anielekeze nisije kua napishana...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kiungo Novatus Miroshi amefaulu kupata namba ya kudumu kwenye timu yake na leo kafunga tena

    Beki wa Tanzania anayecheza nchini uturuki akiwa na timu ya Goztepe SK, Novatus Dismas Miroshi amefaulu kujinasua kutoka kifungo cha kukalia benchi na kuanza kuaminiwa kuanza. Leo amefunga goli la pili katika mchezo ambao wamepoteza 3-2 na Fenerbahce inayonolewa na Jose Morinho. Hii kwake ni...
  10. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata App bora ndani ya App Store zinazopatikana pia Playstore

    Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa. Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao app zao ni chache ila zinaufanisi kwa kile kilichokusudiwa,sasa basi kupitia uzi huu tujuzane app...
  11. Soul21

    JamiiForums Tanzania Kama usaili ndo huu basi si kigezo cha kupata walimu bora.

    Mimi ni mmoja wa wahanga waliohudhuria usaili wa somo fulani mkoa wa Kilimanjaro ambapo watahiniwa walikuwa zaidi ya 500 Usimamizi ni imara na mkali sana dhahiri jambo hili lipo makini. Ila cha kushangaza ubora wa mitihani na upimaji ni hovyoo kabisa kwani sidhani kama watahitaji walimu...
  12. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kupata uteuzi DC Mbozi

    Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
  13. Mr002

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wa kupata katiba mpya

    Ni kweli kabisa kwa sasa tunahitaji KATIBA MPYA mambo mengi sana ndani ya KATIBA ya MWAKA 1977, yameshapitwa na wakati na yanahitaji kufanyiwa marekebishi.hasa kuhusu huu mgawanyo wa serikali na madaraka kwenye muungano , kwann Zanzibar Ina serikali yake lakini tanganyika Haina? Tuna serikali ya...
  14. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Nawaza hali ya "Mama Abdul" kwa sasa Baada ya Simba kupata Usukani

    Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
  15. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kupata hedhi ya siku 9

    Ndugu wanabodi nina swali hapa. Japo muda umeenda ila Nimeshindwa ling'amua kuhusiana na mzunguko wake ameniuliza ila nimeona nitafute wajuvi wa wanisaidie. Mzunguko wake ni wa siku 28, ila bleed anaenda hadi siku 9 japo kuna kipindi huwa kawaida zinaishia 5, Swali lake je? hii hali ambapo...
  16. Scars

    JamiiForums Tanzania Hawakuweza kupata mtoto lakini kwa imani ya Mungu kupitia msaada wa mchungaji, baraka zilikuja.

  17. N

    JamiiForums Tanzania KERO Maktaba ya Vitabu Zanzibar haina Huduma ya Maji, Watumishi na Wanachama tunateseka, tupo hatarini kupata magonjwa

    Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji. Naomba Wizara ya Elimu pamoja na Bodi ya Huduma za Makataba Zanzibar kushughulikia changamoto hii haraka iwezekavyo...
  18. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata kibali cha ufugaji wa mbuni kibiashara?

    Mbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona. Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye viini lishe na virutubisho vingi sana. Naomba kujuzwa utaratibu wa Mimi kupata kibali halali wa...
  19. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni freelancer na hupati kazi FIVERR? Tunaweza kukusaidia kupata mteja wako wa kwanza FIVVERR!

    Habari, Je, wewe ni freelancer mwenye ujuzi wowote ambae umejisajili na kutumia platform ya fiverr lakini hujapata kazi mpaka leo? Karibu tukusaidie. Competition ni kubwa Fiverr, You need a good Fiverr gig; we are here to help! Tunaweza kukusaidia kwa kukutengenezea a good fiverr gig yenye...
  20. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Itaichukua muda mrefu Sana EAST AFRICA kupata m'badala wa chameleon

    Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga mashairi, Melody, ujumbe wa nyimbo zake ni kitu kinachoishi miaka na miaka. Jamaa alikua anatunga...
Back
Top Bottom