Vishoka wanaweza kunisaidia kupata chombo Cha moto?

Vishoka wanaweza kunisaidia kupata chombo Cha moto?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,323
Reaction score
6,863
Wakuu Kuna bodaboda nimemaliza mkataba kutoka bank

Sasa bank wananisumbua kunipa kadi je vishoka wa tra wanaweza kunisaidia kufyatua kadi mpya ya bodaboda??
 
Jana mods wamefuta Uzi wangu mkuu Mimi sio mwizi copy ya kadi yenye jina la bank na jina langu ipo ila tatizo nataka ya jina langu niuze
kuna jamaa s alisema ukienda posta unapata kaka mm sina uhakika nannili jarbu kufatilia piap
 
Back
Top Bottom