kupata ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Execute

    Nimenunua kasia, je naweza kupata ajira pale airport niwe nafungulia milango ya ndege?

    Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia. Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?
  2. Muddy123

    Ni kweli kwamba kupata ajira GardaWorld Security sasa hivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid?

    Naskia kupata ajira Garda Security saivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid...hivi nikweli ?!!
  3. B

    SoC02 Ni Nani amekudanganya kuwa kupata Ajira ni ngumu? au unahitaji Refa wa kuunganishia?

    Nianze Kwa kusema “kwa kuwa uliamini hivyo ndiyo Maana hujapata, umechelewa sana kupata au hujapata Ile Ajira unayoihitaji”. Hapa kwanza tuliza akili ili uweze kupokea kitu, hasa vijana. Napenda utambue kuwa nilikuwa kama wewe. Ajira zipo nyingi Sana, zinatoka na kutangazwa Kila dakika kutoka...
  4. L

    China inasaidia vipi wahitimu wa vyuo kupata ajira na kujiajiri?

    Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana wenye umri wa miaka 16 hadi 24 ambacho kimekuwa kikiongezeka sana duniani kinaleta changamoto kubwa kwa hivi sasa. Kwa mujibu wa ripoti ya Kamisheni ya Ulaya, mwaka 2021 kiwango cha vijana wasiokuwa na ajira barani Ulaya kilipanda hadi asilimia 16.6...
  5. Heaven Seeker

    Ushauri wangu kwa vijana mliofanikiwa kupata ajira hasa za hivi karibuni

    Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF. 1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
  6. M

    Giza latanda, kwa waliosoma degree kupata ajira serikalini ni sawa na punda kupita tundu la sindano

    Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana. Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali. Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni...
  7. Abhar

    Uwezekano wa kupata ajira bandarini au kiwanda cha Cocacola?

    Habari naomba kwa anaefahamu namna ya kupata kibarua bandarini au kiwanda cha Cocacola.
  8. J

    Changamoto ya kupata ajira kwa wataalam wa afya na suluhisho

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  9. K

    Nataka nitumie mbinu hii kupata ajira

    Nataka nijitoe ufahamu kwa kuandaa CV yangu vizuri, halafu nitaandika barua moja kwa moja kwa Rais ikulu, nitaambatanisha vyeti vyangu vyote kisha nitavizia siku rais yuko Dar. Ntapeleka barua yangu pale geti la ikulu, ntawakabidhi walinzi kisha nitawaomba wamfikishie mheshimiwa hiyo barua...
  10. B

    Dc Iramba afanikisha askari 85 wa jeshi la akiba kupata ajira Suma JKT

    Iramba, Singida. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amefanikisha askari 85 wa Jeshi la akiba waliohitimu mafunzo yao kupata ajira SUMAJKT. Mhe Mwenda ameeleza hayo Jumatatu Novemba 15, 2021 wakati akifunga mafunzo ya askari wa Jeshi la akiba katika viwanja vya...
  11. M

    Watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote!

    Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora === SERIKALI imesema watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi...
  12. Self-made

    Janja janja za kupata ajira katika kipind kigumu hiki katika soko la ajira

    kuhusu ajira zinazidi kuwa ngumu mnoo hasaa miaka hii ya 202+ tutapitia ugumu mwingi sana kuipata ajira, hivyo kuna njama nyingi sana tunatakiwa kuweza kuzitumia ili kupata ajira katika taasisi za kiserikali au zisizo za kiserlikali.. tukibakia huku kuapply na kufanya interview ambako...
  13. faokipe

    Hii nchi ni hatari tuendako kama hivi ndivyo vigezo vya kupata ajira serikalini

    Niende kwenye nada moja kwa moja ,nimemaliza kidato Cha sita mwaka 2019 nikapata nafasi ya kwenda chuo kikuu, mkopo sikupewa (nilikosa) kutokana na changamoto ya kipato kwenye familia nikawa Sina namna ya kuendelea na masomo ya elimu ya juu. Juzi hapa likatoka tangazo la nafasi za kazi polisi...
  14. LellozWho

    Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

    Nimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake. Hoja yangu ni moja. Hii ni tamaduni au ni vipi!? Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na...
  15. Liverpool VPN

    Mtumishi wa Umma anawezaje kupata ajira kwenye International organisations kama UN, SADC, AU, EAC

    Bandugu salama? Nadhani humu nitapata jibu la jambo langu ambalo limekuwa likinisumbua kwa miaka. Mimi ni mtumishi wa Umma wa Halmashauri mwenye miaka 31. Niliajiriwa 2012 (nikiwa na Diploma, nikawa Afisa mdogo sana (uongozi wangu ulikuwa ndani ya kata). 2013 nikaenda Shule na kupata...
  16. TheDreamer Thebeliever

    Unaweza kutoa pesa ili kupata ajira? Ni vipi utahakikisha kuwa hautapeliwi?

    Habari wadau! Nakumbuka nilishawai kuitwa sehemu kufanya internship kwa ahadi nikimaliza internship nitapata ajira. Ila baada ya HR kivuli kustukia mchongo likaanza zwenge la kunishinikiza nitoe pesa ili nipewe kazi binafsi sio muumini wa rushwa; nilikataa hapo ukaanza mvutano kati ya head of...
Back
Top Bottom