Binafsi nikiwa na huzuni inaniletea sonona sijui huwa ni kwanini najisikia hivi, kitu kikinikosesha raha kabisa nawaza sana mapigo ya moyo yanaenda kwa kasi kila nikifikiria upya!
Mbaya zaidi inanipelekea nakosa hamu ya kula, hata nikila naonja onja tu,napata homa ya ghafla, sijisikii kuongea...