Kwenye nyumba nyingi kuna ratiba ya kufanya usafi kama vile usafi wa chooni ,kufagia uwanja n.k
sasa vipi wewe uliko panga je utarabu huo upo na unafuatwa kama ulivyopangwa,share nasi hapa
Wakuu kwema?
Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya kuaminika.
Mkinipa na connection itapendeza zaidi
Hello....
Habari za muda huu.
Je, huyu ni wewe?
Unajiuliza ni njia gani utumie kupanga bei ya kuuzia bidhaa zako? Kwenye upangaji wa bei kuna factor nyingi za kuziangalia mfano.
1. Washindani wako katika soko.
2. Kipato cha wateja wako.
3. Mazingira ya soko.
Ila leo nitazungumza...
Za jion wana jamii,
Naimani mko powa wote
Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit
NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini.
Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za kushare maji au kulipiwa na mwenye Nyumba unakuta anaambiwa alipie Tsh. 15,000 hadi Tsh. 30,00 kwa mwezi...
Kwema Wakuu,
Natarajia kuwepo Dodoma mjini soon kufanya project itakayonichukua kati ya mwaka 1 mpaka mwaka 1 na nusu.
Naomba wenyeji wa mji wanisaidie ABCs za kupata chumba kimoja cha kupanga self-contained chenye usalama na huduma za maji na umeme, kodi kwa mwezi etc
Nicheki PM au unaweza...
SERIKALI INAFANYA TATHMINI YA UWEZEKANO WA KUPANGA BEI MOJA YA BIDHAA ZA PETROLI NCHI NZIMA
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema Serikali kupitia EWURA inafanya tathmini ya uwezekano wa kupanga bei moja ya bidhaa za petroli nchi nzima.
Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Aprili 3,2024...
Habari za wandugu!
Naombeni msaada wakuu.
Kama kuna yeyote anayeweza kunipatia msaada wa chumba kizuri hapo mjini mbeya, pasiwe mbali na Mtaa wa mahakama Kuu. (Sehemu ya bajaji moja hadi maeneo ya Open University itapendeza)
Ninatanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
NAHITAJI CHUMBA(MASTER) YENYE CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO, KIWE NDANI YA FANCE IWE KINONDONI AU MWANANYAMAKA KARIBIA NA BARABARANI. NICHECK WHATSAPP 0659741342
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa naongea na mmoja wa marafiki zangu wa karibu nilimuuliza swali hili, “Je ni upi msemo sahihi kati ya kupanga ni kuchagua au kuchagua ni kupanga.” Mara zote nimekuwa nikichanganya katika kutanabaisha usemi upi sahihi. Na akanijibu- yote ni sahihi kwa maana...
Haji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha.
Haji Manara alijibu,
"Kwani kuna dhambi kupanga apartments? Mimi ni mwajiriwa wa Yanga. Sijawahi kusema Mimi ni tajiri. Naishi...
Habari ndugu wananchi wa mikoa ya ARUSHA NA
KILIMANJARO...,
Kwa mahitaji ya...,
1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) ,
2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA ,
3. Fremu za biashara MOSHI na viunga vyake ,
4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka
4.1 Ofisi za taasisi,
4.2 GODOWN ,
4.3...
Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya.
Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi kwa miezi mitatu ya mwanzo.
Mwenye nacho naomba tuwasiliane.
Asante
Hello habari wana jf
Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana
Yani hii tabiia inani boa sana
Je nyiie mna deal vip na hawa watu?