Bodi ya ligi mpaka leo hawajui kupanga ratiba

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
15,197
20,174
Nimeangalia mechi zinazohusu timu yangu ya Simba, Simba walicheza na Ihefu Mbeya halafu wakaja kucheza na Mtibwa Moro baadae Dar es salaam Simba itaenda kucheza Sumbawanga na Prison baadae itaenda kucheza na Yanga Dar, Simba itaenda kucheza na Mbeya city Mbeya baada itaenda kucheza na Namungo Ruangwa Lindi.

Kwa udhamini uliopo timu kurudi mara tatu sehemu moja ni kuionea ilitakiwa Simba ikienda Mbeya imalizane na timu zote za ukanda huo yaani Mbeya na Sumbawanga hapa tunazungumzia timu yenye uwezo kifedha mbona Azam kacheza na Mbeya city halafu kaenda Sumbawanga kucheza na prison vipi zile timu ndogo zisizo na uwezo hii bodi ina maneno mengi kuliko vitendo
 
For sale.
For Kids
20200901_210200.jpg
 
Karia FC anahusika.
 
Unatulalamikia hapa sisi tukusaidie nini sasa kwa mfano??

Nenda kawalalamikie viongozi wako walioenda kuomba kuanza kucheza na timu za ligi daraja la kwanza ili waongoze ligi kiubweche bweche
 
Nenda fb ukakae na watoto wenzako huku umeingia kimakosa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom