kupanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Dollar yaanza kupanda kwa kasi kurudi ilikotoka

    Baada ya wiki 4 za kushuka kwa dollar kwa kasi ya ajabu ambapo dollar ilifika 2290 hatimaye leo dollar imefikia 2515 ikitarajiwa kupanda zaidi siku za usoni . Hii ina maana gani mdau? Kwa mtu aliyenunua dollar wiki iliyopita leo ana faida ya karibu 200 kwa kila dollar moja Update Sasa $ ni sawa...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

    Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia, Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Dollar inaanza kupanda thamani dhidi ya Shilingi

    Hapa katikati kumekua na mtiririko mkubwa na wa kushangaza wa kushuka kwa kiwango cha kubadilishia fedha hasa Dollar ya kimarekani dhidi ya Shilingi ya Tanzania. Hali hiyo ilipelekea watu wengi kujiuliza maswali mengi na kukosa majibu. Wengi walifikiri labda ni matokeo ya uchaguzi wa Marekani...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Joto la Uchaguzi CHADEMA Taifa lazidi kupanda, miongoni mwa wanachama wadai ni wakati wa Mbowe kung'atua

    Tetesi za Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kugombea uenyekiti wa chama hicho zikiendelea kusambaa, maoni mseto yameibuka miongoni mwa wanachama. Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Makambako, Begron Kyando, amesema ni wakati wa Freeman Mbowe kuachia nafasi hiyo baada ya kuongoza kwa muda...
  5. Bams

    JamiiForums Tanzania Tuendavyo itahitaji kuwa na tahadhari gari la kupanda

    Hali ya wasiwasi wa kutekwa imetanda nchi nzima, hasa kama wewe ni mtu mwenye akili huru na una utashi wa kuchambua mambo na kuyapima. Tulishuhudia Ali Kibao akitekwa kwenye basi lenye abiria wengi. Watekaji walijitambulisha kuwa ni polisi, lakini baadaye polisi walikataa, na inaonekana hakuna...
  6. Godfrey Sway

    JamiiForums Tanzania Msimu Wa Kupanda Miche Ya Matunda Umefika Sasa.

    Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika! Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa: ✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso, Boribo Keith, na Palma) ✅ Parachichi ✅ Chungwa, Ndimu, Limao, na Chenza ✅ Papai, Komamanga, Pasheni...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nashauri shule inapojengwa iende sambamba na zoezi la kupanda miti mazingira ya shuleni

    unakuta shule nzuri inajengwa inaelekea kukamilika katika halmshauri fulani lakini miti haijapandwa inasubiri mpaka ajage mwalimu mpenda miti au mwanafunzi mpenda bustani aaanzishe miche so inachukua miaka mingi.. Wakati kulikuwa na uwezekano kipindi ujenzi unaanza palepale inapandwa ya matunda...
  8. Execute

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ayatollah Khamenei anaogopa kupanda ndege?

    Kiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
  9. hp4510

    JamiiForums Tanzania Kadi ya kupanda Mwendokasi ni elf tano (5000)

    Sidhani kama hii ni sawa jamani Kwani haiwezekani kutoa Kadi bure? Au hata iwe elf moja kama za pantoni? Kweli ni busara kuuza Kadi Kwa elf tano? Hiyo Kadi ina mambo gani ya ziada? Wahusika waangalie hili jambo Kwa hicho la Imani
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kadi maalum zitumike kupanda/kulipia SGR

    1. Haya mambo ya Ticket za karatasi ndio maana watu wanapanda Dar-Dodoma kwa 1,000 Tsh. 2. Weka mfumo wa kulipa kwa Kadi maalum ya SGR mtu ana-scan gate linafunguka na akifika hatoki mpaka a-scan Kadi Yake. Nimeona nchi nyingi wakifanya hivyo. Na inspector awepo. Ukibambwa faini x100 ya nauli...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Profesa Bengesi: Wazalishaji ambao hawakuagiza Sukari 2022/2023 ndio waliochangia bei kupanda

    Kitendo cha kampuni za wazalishaji kutoagiza sukari nje ya nchi katika msimu wa 2022/2023, kulisababisha bei ya sukari kupanda na kuongeza hali mbaya ya upatikanaji wa sukari nchini. Mkurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), Profesa Kenneth Bengesi ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku chache...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Dini aliyetuhumiwa kuhusika mauaji ya Shakahola, asiruhusiwe kupanda mbegu mbaya katika Nchi yetu.

    Salaam,Shalom!! Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika. Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo JPM alijenga reli ya Dar-Moro kwa trilioni 2.7, ili ibebe abiria 600 ambao walikuwa na mbadala wa kupanda Abood na treni ya kawaida?

    Najiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?
  14. maina23

    JamiiForums Tanzania Afisa Mtumishi Mkuu achana na kulazimisha kutumia nguvu kutumia ESS kama kigezo cha kupanda madaraja watumishi. Kwa sasa nchi iko busy na stationery

    Usome
  15. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania SoC04 Udhibiti wa Kupanda kwa Gharama za Intaneti Unavyoweza Kuongeza Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Kidigitali

    Utangulizi Kupunguzwa kwa gharama za intaneti ni suala muhimu linalogusa nyanja nyingi za maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Tanzania, kama nchi nyingi za Afrika, ina nafasi kubwa ya kukuza uchumi wa kidigitali kupitia upatikanaji wa intaneti nafuu na yenye kasi. Katika makala hii, tutaangalia...
  16. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwe tayari kuzifuatilia mbegu za mazao Kwa majaribio ya kupanda sio Kwa majaribio ya upimaji kisasa bila kupanda

    Kilimo ni maisha na maisha yetu ni kilimo na chakula.ni serikali Sasa ifike mahali iache longolongo hasa linapokuja suala la kilimo chenye tija Kwa mkulima wa chini. Kuna mambo machache serikali inapaswa kuyaboreaha Kwa vitendo ya majaribio sio matendo ya kisasa Kwa vifaa kila mwaka wa kilimo...
  17. Nelly shayo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kazi ya kupanda mlimani

    Naomba msaada kuunganishwa na kazi ya porter kupanda mlima Kilimanjaro
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hili suala la vocha kupanda bei limekaaje kitaalamu?

    Habari wanajamvi, Nisiuchoshe mkono kuandika mengi ilihali mnajua Hali halisi, hivi juzi nmetoka makambako vocha zmepanda bei kutoka mia tano hadi mia 6 yaani kimahesabu vocha zimepanda bei kwa asilimia 20, This is daylight robbery and no one care. Nikahisi labda Umakambako unansumbua aka...
  19. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Wakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini. Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa...
  20. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu za ki "Demand & Supply" zinazosababisha bei ya kontena kupanda bandarini, tunapangwa?

    Ukiangalia supply and demand ya import and exports, utagundua wakati huu wa awamu ya 6 ambayo imeboresha mazingira ya uwekezaji, kama nchi tuna demand kubwa ya bidhaa kutoka nje. Hivyo gharama za usafirishaji bidhaa kutoka nje zilitakiwa zishuke na siyo kupanda kwa sababu ndani kuna soko la...
Back
Top Bottom