Hali ya wasiwasi wa kutekwa imetanda nchi nzima, hasa kama wewe ni mtu mwenye akili huru na una utashi wa kuchambua mambo na kuyapima.
Tulishuhudia Ali Kibao akitekwa kwenye basi lenye abiria wengi. Watekaji walijitambulisha kuwa ni polisi, lakini baadaye polisi walikataa, na inaonekana hakuna...