kuomba

  1. JamiiForums Tanzania Nimenyimwa kibali baada ya kuomba kujenga Magereza binafsi

    Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji. Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi. Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hili la Waislamu kuzunguka na visanduku au mifuko kuomba sadaka limekaaje?

    Mara kadhaa hukutana na Ma-ustaadhi wakiwa na visanduku au mifuko wakiomba Sadaka/Swadaka kwa ajili ya misikiti (Sio michango) Hapo Huwa najiuliza huu ni utaratibu mzuri kweli? Maana waumini wanafika au wanatakiwa kufika ibadani katika misikiti au makusanyiko ya kiibada, na hapo ndipo mahala...
  3. JamiiForums Tanzania Kanuni za kuomba Miungu na kujibiwa

    KANUNI ZA KUOMBA MIUNGU NA KUJIBIWA Anaandika, Robert Heriel, Kuhani Katika Hekalu Jeusi, Mtibeli. Watu wengi wanauliza swali hili. Wengine wananipigia simu wakitaka kujua wafanyaje ili maombi Yao kwa Mungu yajibiwe. Mimi kama Taikon Master, Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Niliye na uzoefu...
  4. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuomba ajira uhamiaji una tatizo gani?

    aiseeee Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION" what the hell is this???
  5. JamiiForums Tanzania Huwa unatumia mbinu Gani kumuomba mwenza wako msamaha

    Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni kosa la jinai kutamka samahani mbele ya mkeo au watoto hata ukosee vipi na kosa liwe wazi Tunaamini kulitamka hilo neno ni udhaifu Kwa mwanaume Huwa tunaomba msamaha Kwa vitendo sio Kwa kusema na mwanamke ataelewa kabisa kwamba Kwa matendo haya naombwa msamaha...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nipo Tanga

    Habari wakuu nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote ile. Kwa sasa nipo Mkoani Tanga lakini nipo tayari kufanya kazi kwenye mkoa wowote ule na kazi yoyote ile. Atayeguswa naomba anipe msaada kwenye Jambo hili. Asanteni
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nimekosa chuo naomba ushauri

    Nimepata one ya saba PCB nilikosa vyuo vya serikali nikapata vyuo vya private na mkopo sikupata wazazi wakasema Awana uwezo wa kulipa ada ya private nikuwa na waza niende veta nikajifunze ufundi au nisubiri mwakani ni apply tena
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kuna haja kuomba msaada kwenye kampuni za uchimbaji madini Maana wana uzoefu Mkubwa na mambo kama hayo

    Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Maksi za Chupi zamponza Mhadhiri / Lecturer, Jela miaka 20 kwa kosa la kuomba Ngono ili kumfaulisha mwanafunzi wake

    Tatizo hili limekuwa sugu sana, Karibu kila chuo kuna wahadhiri hunyanyasa mabinti kwa kutumia kisingizio "Mwalimu na mwanafunzi wa chuo wote ni watu wazima" wengine wamewahi kufumaniwa baada ya wanafunzi kupeleka ushahidi wa kunyanyaswa lakini wanaishia kuhamishwa vituo vya kazi, kuonywa au...
  10. 0

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu ya TCRA kuomba maoni ya wanachi kwa ujio wa Starlink? Hii haiwezi ikawa njia ya kuikataa?

    Nimeona huko TCRA wanaomba maoni ya wanachi kwenye kupitisha kibali cha Starlink kufanya kazi Tanzania Ipi sababu ya kufanya hivi na Je, hii haiwezi ikawa njia ya kuja kuikataa Starlink na kusingizia wananchi ndio wameikataa. Hatujawahi ona TCRA ikiomba maoni ya wanachi kwa makampuni kama...
  11. JamiiForums Tanzania "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT.

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT nikalinda sehemu ya kwanza ilikua Golden Tulip ambako security officer alinitaka niingie kila siku kwa mshahara wa laki mbili. Ilikua changamoto kutoka kigamboni paka masaki...
  12. JamiiForums Tanzania Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

    Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika) Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi. Akasema kama una...
  13. JamiiForums Tanzania Kuomba nafasi ya kazi kwa aliyepata ajira serikalini kada ya maabara ya hospitali!!

    Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED Sasa nimeona wanazengo wengi wakilamba asali kwenye pdf hizi za serikali hasa upande wa kada yangu ya maabara na...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna namna nyingine ya kupata namba ya NIDA bila ya kwenda ofisini kwao?

    Eti wakuu, Kuna mtu humu amefanikiwa kupata namba ya NIDA kwa kujiandikisha online tofauti na kwenda kabisa kwenye ofisi zao? NIDA Tanzania
  15. JamiiForums Tanzania Wazee wa kuomba Ban mko wapi? Siwaoni! Leteni ahadi hizo Mods wawape haki zenu mkichinjwa kwenye mechi ya watani

    Wakuu, Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?:KEKLaugh: Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho? Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

    Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakili Ogola asema “Kitendo cha Gachagua kuomba msamaha inaweza kutumika kama amekiri kosa”

    Wakili Steve Ogola amesema uamuzi wa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kuomba msamaha kwa bosi wake, Rais William Ruto unaweza kuchukuliwa kuwa ni sehemu ya kuthibitisha ana makosa. Gachagua anatarajiwa kuhojiwa na Bunge kuhusu tuhuma mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu, Rushwa, kukiuka katiba...
  18. JamiiForums Tanzania Naona waarabu wameanza kuomba msamaha

    Mbona wanatoka na haya hadharani sasa badala ya Oct 6 mwaka jana? Mshtuko huu na kujitolea kwa Israel salama kulikuwa wapi wakati ilionekana kama Israel ndio ilikuwa karibu kuangamizwa mnamo Oktoba 7? Sina shaka na maneno yake au unyoofu wake, ninashangaa tu kwa nini anafadhaika zaidi kuhusu...
  19. JamiiForums Tanzania Anza utaratibu wa kufanya maombi asubuhi alfajiri utajibiwa haraka sana

    Bwana wetu Yesu anasema yeye ndiye mzabibu wa kweli na baba yake ndiye mkulima na sisi ni matawi pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya neno lolote. Yohana 15 Kwako wewe Kama ambaye unakutana changamoto za kiuchumi na magonjwa nk anza sasa kumtafuta Bwana Yesu katika mida hii ya kuanzia mida hii...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi waungana kumchangia Nay wa Mitego kwa ujasiri wake wa kupigania haki za wananchi kupitia muziki wake

    Msanii Roma Mkatoliki aonesha upendo kwa msaa mwenzake Nay wa Mitengo kwa kuhamasisha wananchi wamchangie msanii Nay wa Mitego kama shukrani kwake kwa kupigania haki za wananchi. Nay
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…