Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni kosa la jinai kutamka samahani mbele ya mkeo au watoto hata ukosee vipi na kosa liwe wazi
Tunaamini kulitamka hilo neno ni udhaifu Kwa mwanaume
Huwa tunaomba msamaha Kwa vitendo sio Kwa kusema na mwanamke ataelewa kabisa kwamba Kwa matendo haya naombwa msamaha...
Habari wakuu nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote ile.
Kwa sasa nipo Mkoani Tanga lakini nipo tayari kufanya kazi kwenye mkoa wowote ule na kazi yoyote ile.
Atayeguswa naomba anipe msaada kwenye Jambo hili.
Asanteni
Nimepata one ya saba PCB nilikosa vyuo vya serikali nikapata vyuo vya private na mkopo sikupata wazazi wakasema Awana uwezo wa kulipa ada ya private nikuwa na waza niende veta nikajifunze ufundi au nisubiri mwakani ni apply tena
Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
Tatizo hili limekuwa sugu sana, Karibu kila chuo kuna wahadhiri hunyanyasa mabinti kwa kutumia kisingizio "Mwalimu na mwanafunzi wa chuo wote ni watu wazima"
wengine wamewahi kufumaniwa baada ya wanafunzi kupeleka ushahidi wa kunyanyaswa lakini wanaishia kuhamishwa vituo vya kazi, kuonywa au...
Nimeona huko TCRA wanaomba maoni ya wanachi kwenye kupitisha kibali cha Starlink kufanya kazi Tanzania
Ipi sababu ya kufanya hivi na Je, hii haiwezi ikawa njia ya kuja kuikataa Starlink na kusingizia wananchi ndio wameikataa.
Hatujawahi ona TCRA ikiomba maoni ya wanachi kwa makampuni kama...
"Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT nikalinda sehemu ya kwanza ilikua Golden Tulip ambako security officer alinitaka niingie kila siku kwa mshahara wa laki mbili.
Ilikua changamoto kutoka kigamboni paka masaki...
Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)
Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.
Akasema kama una...
Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED
Sasa nimeona wanazengo wengi wakilamba asali kwenye pdf hizi za serikali hasa upande wa kada yangu ya maabara na...
Wakuu,
Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?:KEKLaugh:
Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho?
Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa...
Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra...
Wakili Steve Ogola amesema uamuzi wa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kuomba msamaha kwa bosi wake, Rais William Ruto unaweza kuchukuliwa kuwa ni sehemu ya kuthibitisha ana makosa.
Gachagua anatarajiwa kuhojiwa na Bunge kuhusu tuhuma mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu, Rushwa, kukiuka katiba...
Mbona wanatoka na haya hadharani sasa badala ya Oct 6 mwaka jana?
Mshtuko huu na kujitolea kwa Israel salama kulikuwa wapi wakati ilionekana kama Israel ndio ilikuwa karibu kuangamizwa mnamo Oktoba 7? Sina shaka na maneno yake au unyoofu wake, ninashangaa tu kwa nini anafadhaika zaidi kuhusu...
Bwana wetu Yesu anasema yeye ndiye mzabibu wa kweli na baba yake ndiye mkulima na sisi ni matawi pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya neno lolote.
Yohana 15
Kwako wewe Kama ambaye unakutana changamoto za kiuchumi na magonjwa nk anza sasa kumtafuta Bwana Yesu katika mida hii ya kuanzia mida hii...
Msanii Roma Mkatoliki aonesha upendo kwa msaa mwenzake Nay wa Mitengo kwa kuhamasisha wananchi wamchangie msanii Nay wa Mitego kama shukrani kwake kwa kupigania haki za wananchi.
Nay
Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa...
Nyie masikini nimeshawaambia siwahitaji pm maana nawaona mnavyojaa kuomba pesa nimeshasema ukioniona barabarani ndio uniombe pesa mmesikia nyie masikini sitaki mtu pm tafadhali mnaanza kulialia shida zenu tafuteni hela muwe kama Mimi mtoto mdogo miaka 28 ila pesa nyingi huwa nashangaa jitu Zima...
05 September 2024
Dar es Salaam, Tanzania
Boniface Jacob arudisha fomu akisindikizwa na mamia ya wanachama wa CHADEMA leo hii jijini Dar es Salaam.
Jeshi la polisi lapongezwa kwa kutoa ulinzi katika maandamano hayo.
Hali ilivyo mitaani Ubungo, Kibamba, Manzese hadi Kinondoni maandamano ya...
DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF
"Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela ,amekusalimia tu ameonyesha ka interest kidogo ushaomba vocha,amekusalimia kwatabasamu kaomba namba...