kuomba

  1. GE2020 Profesa Ndalichako achukua fomu kuomba ridhaa Ubunge jimbo la Kasulu Mjini

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa chama chake ili kiweze kumteua, aweze kugombea Ubunge katika jimbo la Kasulu Mjini kupitia CCM. ==== Joyce Ndalichako alikuwa mhadiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 2000...
  2. GE2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

    Fred Lowassa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa achukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Monduli jijini Arusha. ====== Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli, Langael Akyoo, leo Jumanne July 14,2020 amemkabidhi Fredrick Lowassa fomu ya kuomba ridhaa ya Chama...
  3. GE2020 Abbas Tarimba achukua fomu ya kuomba ubunge Kinondoni, Usaliti wa Mtulia wafika ukingoni

    ======= Abbas Tarimba ambaye alikuwa Diwani wa Kata ya Ananasif, amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
  4. GE2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM. Adskofu Gwajima pia amewahi kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (Doctor of philosopy in Theology...PhD), ambayo ameisomea katika Chuo cha Omega Global University...
  5. GE2020 Frank Mwakajoka arejesha fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea Ubunge jimbo la Tunduma

    Habari kamili hii hapa Frank George Mwakajoka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tunduma kwa miaka mitano ( 2015 – 2020.) Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Milanzi kuanzia mwaka 1981-1988.
  6. GE2020 John Mrema arejesha fomu ya kuomba Ubunge wa Jimbo la Segerea - CHADEMA

    Hakuna haja yoyote ya kumwelezea huyu mtu, anafahamika, kikubwa ni kutambulisha jimbo analolinyemelea , baaaasiiii == John Mrema ni Mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema
  7. GE2020 Hivi ndivyo Daniel Naftali alivyorejesha fomu ya kuomba Ubunge Kwela

    Daniel Naftali alikuwa Mgombea Ubunge Jimbo la KWELA kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 Daniel Naftali. Huyu kijana alinyang'anywa ubunge 2015 kwa mtutu wa bunduki. Kila mwananchi wa jimbo lake anafahamu kwamba alishinda kwa kishindo, bali ulifanyika uchakachuaji wa kishamba sana, wengi...
  8. GE2020 Namba 06: Aliyewahi kuwa Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita amechukua fomu kuomba ridhaa kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Aliyewahi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita amekuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya Urais Tanzania kupitia CHADEMA Isaya anayekuwa mgombea wa 6 kuchukua fomu hiyo Kaulimbiu yake ni "Mageuzi ya mfumo wa elimu, upanuaji na uongezaji wa ajira kwa vijana na...
  9. GE2020 Jesca Kishoa achukua fomu ya kuomba Ubunge jimbo la Iramba Magharibi - CHADEMA

    Wasifu Jesca David Kishoa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. Elimu Ruaha IringaDegree20102013Bachelor Degree Dr. Salmin Secondary SchoolCSEE20042007Secondary School Hijra...
  10. Habari ya ITV iliyowang'oa DED na DC Mvomero: Vyombo vya habari kutakiwa kuomba ruhusa kabla ya kurekodi na kutangaza habari

    Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa
  11. Q

    GE2020 Mbowe: Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tunatafuta dola

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu...
  12. Tunaotaka kuomba Bachelor degree vyuo mbalimbali 2020/2021 tukutane basi

    Vijana wenzangu naona Siku zinakwenda mbio, form 6 ndo hao washaanza mitihani na kwa wale waliopo vyuo vya kati kumalizia diploma naona semester ndo hvyo tena inakatika mdogomdgo. Bila shaka next month(July) bodi ya mikopo wataanza kutoa announcement about uombaji wa mikopo mwaka huu. Hv...
  13. Zanzibar: Maudline Cyrus Castico achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais

    WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji Wanawake, Wazee na Watoto, Maudline Cyrus Castico amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amekuwa ni mgombea mwanamke wa tano kuchukua fomu hiyo, pia ni wa 32 kwa ujumla wa idadi ya watu waliochukua fomu kugombea urais...
  14. GE2020 Sayansi ya siasa inatutaka wana CCM kuendelea kuomba kura bado hatujashinda

    Mojawapo ya makosa makubwa ya Kampeni na uchaguzi duniani Kote Ni kumu-Underestimate opponent wako. Hili kosa huwa halifanyiki kwenye Siasa tu hata kwenye michezo na kwenye medani za kivita Ni kosa kuu Kati ya makosa makubwa yanayotajwa. Kuelekea October kila mwana CCM anayezungumza anasema...
  15. Ambari Khamis achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea Urais Zanzibar kupitia NCCR Mageuzi

    Ambari Haji khamis ni wa 1 kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama Cha NCCR Mageuzi kugombea nafasi ya urais Zanzibar. Ambari Haji Khamis ni Makamo Mwenyekiti Tanzania Zanzibar Chama Cha NCCR Mageuzi amesema endapo chama kitampa ridhaa ya kuwa mgombea na hatimae kushinda urais Zanzibar...
  16. Namba 22: Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa), achukua Fomu ya kuomba kugombania Urais wa Zanzibar kupitia CCM. Ajitoa kwenye kinyang'anyiro

    Muwakilishi wa Jimbo la Mtoni, Mh: Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) nae amejitokeza kuchukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kugombania Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM. Bhaa anafikisha idadi ya Wagombea 22 waliojitokeza kuomba ridhaa ya kugombania Urais wa Zanzibar akiwa yeye ni miongoni mwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…