kuomba

  1. I

    Vyama vya siasa vipya 18 kuomba usajili ni kukua kwa demokrasia nchini au ni fujo?

    Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema kuna vyama vya siasa vipya vipatavyo 18 vimeomba kusajiliwa. Je hali hii ni kukomaa kwa demokrasia nchini au ni fujo za kisiasa tutegemee? Je vyama vya siasa takribani 20 vilivyopo havitoshi kukidhi matarajio ya kisiasa kwa wananchi? Je kuna watu...
  2. Mbeya: Wananchi wajitokeza kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari

    Wananchi wamejitokeza katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari iliyofunguliwa na wanasheria Boniface Mwabukusi na mwenzake Philip Mwakilima, wakisema mkataba huo hauna maslahi kwa Taifa na haujashirikisha maoni ya Watanzania ili...
  3. Tabia ya kuomba hela (Kiholela) imekuwa desturi ya Watanzania wengi

    Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana. Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo".. Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request za kuombwa hela na watu zaidi ya 6 kwa siku mbili tu lazima hata ule moyo wa kiutu unaisha...
  4. Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

    Salaam! Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa. Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada. Hizi ni tabia za kijinga kwa wakaka washamba na limbukeni. 1. Kila demu anayepita unajeuza shingo au kumtolea mimacho...
  5. Kwanini Mwanajeshi akipigwa na Raia kwa Ugomvi Wao Kujitetea Kwake ni kwenda Kambini kuomba Msaada kwa Wenzake?

    Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani/ Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe (Mwanajeshi) kuchezea Kichapo (Kipigo) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga...
  6. G

    Kuomba ajira kwa aliyeajiriwa bila kupitisha kwa mwajiri inawezekana kuitwa interview?

    Habari JF. Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika chochote. Naweza kuomba bila kupitisha kwake na vilevile nataka kuweka kama mimi ni mwajiriwa kwenye CV...
  7. B

    Mfumo wa kuomba ajira wa TRA hauna sehemu ya namba ya NIDA

    Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO..... Kama TAIFA TUNARUDI NYUMA.
  8. S

    Haji Manara amtolea uvivu Feitoto kwa kuomba pesa

    Akimtolea uvivu Feisal Salum baada ya kiungo huyo wa Yanga SC kuomba kuchangiwa pesa kwa ajili ya kulipia gharama za kufungua jalada la kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) Ni aibu kubwa kwa Nchi ni fadhaa na kulikosea Taifa hili, Kwa mara nyingine tena Fesal Salum anashiriki...
  9. T

    Hakuna Komandoo wa shida: Kuwa Mshauri na kuomba msaada unapokwama

    Watu wengi huamini kwamba mtu anayebeba matatizo ya wengine yeye hana ya kwake. Hali hii humfanya mhusika akipata tatizo ashindwe kusema. Fikiria mtu aliyekushauri uache bangi, siku akikuambia ameangukia kwenye kuvuta utamwelewa? Tunapenda kusema mtu akiwa na depression aseme. Lakini akisema...
  10. Ni nyakati za kuomba

    Waliotangulia si wadhambi kutuzidi siye no, ni foleni tu inazidi kusogea. Zamu ya nani kati yangu mi na wewe hatujui? Kumbuka ukishazikwa na mambo yako yote hayana thamani tena mbele ya walimwengu waliohai, jina lako lapoteza Nuru duniani. Dunia ijapotikiswa ni nyakati za kuomba.Ee Mola...
  11. Ofisi za Wakuu wa Wilaya na barua za wapitao mitaani kuomba misaada!

    Maana nimekutana na hawa watu (nawe pia naamini umekutana nao) wanapita mitaani kuomba wasaidiwe matibabu au masuala mbalimbali ya kijamii. Tusiwajadili wale matapeli. Mana leo nmekutana na mhitaji kweli alipata ajali ya gari. Anahitajika kurudiwa upasuaji wa mguu. Ukicheki gharama ni kama laki...
  12. Namna gani naweza kuomba pesa za Corporate Social Responsibility kwenye makampuni?

    Natamani kutuma maombi ya CSR yani corporate social responsibility kwenye makampuni yaliyo karibu yangu hata yaliyo mbali. Ila sijui nifanyeje ili maombi yangu yawafikie na wanizingatie Mwenye kufahamu naomba anisaidie ujanja nifanyeje? Na wanahitaji nini ? Kama nna idea ya project...
  13. Barua ya kuomba nafasi nilipitisha kwa mkurugenzi wangu

    Habari wadau, Naomba kupata elimu kuhusu hili suala langu hapa. Nilipitisha barua yangu kwa mkuu wangu (DG) kwa lengo la kuomba nafasi taasisi X. Je, wakati wa kuomba kibali nalazimika kupitisha tena au naweza kuitumia ili barua niliyoipitisha awali kama kiambatanisho.
  14. Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

    Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends. Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja...
  15. K

    BAWACHA kuomba kufanya maandamano dhidi ya Spika

    Leo nimeona kupitia youtube kuwa BAWACHA wanatarajia kufanya maandamano dhidi ya Mhe. Spika kuendelea kwa kuwakumbatia Wabunge batili wa CHADEMA 19. Binafsi kama raia mwema wa Tanzania na niliyesoma Katiba yetu na kuielewa nawaunga mkono kwa asilimia 100.
  16. Rais Samia naomba ushughulikie Malipo ya Wastaafu Kiwanda cha Karatasi Mgololo

    Mh. Rais, kiwanda cha karatasi kilichopo wilaya ya Mufindi mkoa wa Iringa kiitwacho Mufindi paper mills LTD (MPM) zamani Southern Paper Mills (SPM) kilichokuwa kinamilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Tanzania 100%, chini ya shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), kwasasa kinamilikiwa na kampuni ya...
  17. Walimu kutumia Vishkwambi ni mpaka wapewe semina na elimu kutoka Wizarani?

    Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee! Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote! ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
  18. Amekuja tena kuomba pesa. Wajuba naomba ushauri wenu

    Huyu binti ni shemeji yangu. Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa katakata. Iliniuma sana maana ndo nilikuwa nimetoka kumlipia kodi kama wiki moja hivi iliyopita halafu...
  19. Ushauri: Kuomba Visit Visa ya Marekani

    Habari zenu wakuu, naomba msaada hapa jinsi ya kufile kwa ajili ya kuomba visit visa. Mfano: Ikiwa mtu muda huu hana kazi wala biashara yoyote, yaani hayupo vizuri kichumi, ikiwa ina maana hawezi kuuthibitishia ubalozi kupitia taarifa za benki, kwa maana salio la benki ni chini ya millioni 2...
  20. Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…