kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara aliekuwa anakataa elfu tisini kuuza jezi mpya ya Yanga sasa anatafuta watu wa kununua jezi kwa elfu 55 na Raia wamemgomea

    Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business. Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio...
  2. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kununua land cruiser used hapa bongo Nini chakuzingatia?

    Habari wakuu nimetembelea mtandaoni nimeona Wanauza magari bei chee used from hapa hapa Tanzania je kitu chakuzingatia kabla ya kununua?
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Huyu Mkurugenzi aliyegoma kununua gari la Milioni 186 na kuamua kuwanunulia watendaji pikipiki 19 atuambie Chenji amepeleka wapi?

    Wakuu, Mimi sikuwa mzuri wa somo la hisabati wakati nasoma, pengine mnaweza mkaja na calculator tuje tupige hesabu. Wakati naperuzi huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Ifakara, Zahara Michuzi Katika hali isiyoezeleka Mkurugenzi huyu amekataa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Gharama ya shangingi moja, inaweza kununua vifaa vingapi vya uokoaji wa watu walionaswa kwenye vifusi vya jengo la ghaorofa lililoporomoka?

    Wataalamu mliomo humu, naomba mtupe gharama ya vifaa vya kisasa vinavyotakiwa kwa shughuli za uokoaji kwenye majanga kama haya ya watu kufukiwa kwenye vifusi vya jengo la ghorofa lililoanguka. Ni bora tukajadili mambo haya labda wenye mamlaka wanaweza kuona aibu na kuchukua hatua ili siku...
  5. G

    JamiiForums Tanzania chupi / boxer za mitumba zipigwe marufuku, ni bidhaa zinazoshusha utu kuliko kuyamudu maisha kiuchumi

    Elimu ndogo ya boxer (Me) na chupi (Ke) Chupi / Boxer inafyata nabidi ifyatuliwe Matone ya mkojo hudondokea Kwa wanaume zinachafuliwa na manii (Bao) Kwa wanawake zina zinagusa Period Chupi ni nguo ya kwanza kupokea hewa chafu Bora uende dukan ununue chupi / boxer za bei chee kuliko original...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta warehouse Kariakoo na maeneo jirani

    Habari zenu wakuu. Mwenye uelewa naomba aniisaidie hapa Natafutaa warehouse kama kichwa cha thread kinavyojieleza hapo, either kwa kupanga au kununua kabisa. Lakini kabla ya kufanya uamuzi naomba kufahamishwa haya mambo mawili 1-Kwa kupanga, kodi hukipwa kwa muda gani? 2-Nimesikia kuna kodi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: TAKUKURU yazuia milioni 329 ya kununua jenereta zisizo na ubora

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imezuia Sh329 milioni zilizopangwa kutumika kununua jenereta mbili kwa ajili ya iliyokuwa Mamlaka ya Uendeshaji na Uendelezaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KADCO), baada ya kugundua kuwa hazina ubora...
  8. Aare Maduhu Kopano

    JamiiForums Tanzania Watu wanne unaotakiwa kuwa nao wakati wa kununua kiwanja dar or across the country

    A- Wakili. B- A surveyor. C-A land Valuer. D- Mlevi mmoja ama wawili wa hapo mtaani Watakao kuambia kweli(hidden truths) na historia ya hicho kiwanja.
  9. lizy22

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na maajabu duniani baada ya kununua na kusoma kitabu fulani

    Jamani wapendwa nasumbuka usiku na mchana, mimi (naishi ulaya lakini mkenya) kuna kitabu moja nilinunua (amozon.com) nikafanya ilivyo andikwa, sio kitabu kibaya (nitapost mkione) lakini yanayo nikumba kwa sasa ni makubwa. Hio kitabu nilinunua mwezi 01. 2024. Baada ya kusoma na kufuata maagizo...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hata uwe una hela Kiasi gani huwezi kununua?

    Huwa nashangaa sana mtu anasema amenunua wigi la millioni saba. I know I love expensive things lakini there is no way siku nikiwa na mamilioni ya hela nikanunua wigi la millioni 7 au 15. No way 😤 No matter how rich you are, one thing you might not waste your money on is superficial luxury items...
  11. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanadanga ili wapate hela ya kununua taulo za kike

    Ndugu zangu Japo wapo wanawake wanao danga kwa tamaa zao binafsi ila wimbi kubwa la wanawake na mabinti wadogo wadangaji linalojitokeza ni kwasababu ya kukosa hela ya kununua Taulo za kike (ped) na nguo za ndani kutoka kwa waume zao, wazazi au walezi wao ili kujisitiri pindi anapoingia kwenye...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia kiongozi yeyote wa nchi walio serious na maisha eti anainua michezo kwa kununua magoli!

    Hapa bongo kuna kila aina ya vituko moja ya kituko kinacho niacha hoi ni huu utaratibu wa viongozi wa kitaifa eti kuifanya wanahamasisha michezo wakati ukweli ni kwamba wanajijenga zaidi kisiasa kuliko kuinua hiyo michezo yenyewe. Badala ya kukaa na kuumiza kichwa ni vipi tunakuza vipaji ni...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Kibaha yasema imetumia Milioni 410 ya Mapato ya Ndani kununua Madawati na Meza 4000

    Halmashauri ya Mji Kibaha imeendelea kutekeleza kwa Vitendo maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Sekta ya Elimu baada ya kufanya hafla ya kugawa Madawati 2000,Viti na Meza 2000 zenye thamani ya Shilingi 410,000,000 zilizotokana na Mapato ya ndani...
  14. Backend

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuagiza bidhaa kutoka China kwa kununua katika mtandao wa Alibaba nikapata hiyo bidhaa Kwa bei nafuu zaidi?

    Wakuu habari ya muda huu, hongereni kwakuendelea kupambana kuhakikisha ndoto zenu zinatimia🤝 hakika Atukuzwe Mungu anaye tuwezesha katika Hatua hizi zote🙏. Wakuu nimekuwa nikiangalia Bei za bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika mtandao WA Alibaba kwakweli zina Bei nafuu kuliko hapa nyumbani..Sasa...
  15. Full charge

    JamiiForums Tanzania Mlionunua vitu 'tunza app' mnisaidie

    Hello guys, mimi ni mtanzania mwenye kipato cha chini, nimeona Vodacom M-pesa app kuna kipengere wameanzisha cha kununua bidhaa kwa kulipia taratibu TUNZA APP nikaona huenda ni jambo zuri maana zipo bidhaa nazozitaka ila siwezi kulipa keshi. Je kuna wadau humu ambao mmefanikiwa kununua bidhaa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Je inaruhusiwa kisheria kurebrand product na kuiuza tena

    Habari zenu waungwana, Kama kichwa cha habari kinavojieleza, je ni ruhusa kisheria kufanya repackaging and rebranding ya product na kuuza upya. Mfano, ninunue sukari za kilo 50 alafu nizifungashe kwenye uzito wa gram 100 kisha niiuze kama brand nyingine. Napenda kujua sheria za biashara...
  17. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufanya Uchunguzi (Due Diligence) Kabla ya Kununua Ardhi Isiyopimwa ya Urithi

    Ardhi ya urithi ni ardhi ambayo inamilikiwa na mtu kupitia kurithi kutoka kwa wazazi, ndugu, au jamaa kwa njia ya urithi wa kiasili au kisheria. Hii ina maana kwamba umiliki wa ardhi unapita kutoka kizazi kimoja hadi kingine bila kuhitaji ununuzi wa kibiashara. Mara nyingi, ardhi ya urithi...
  18. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Akitokea mwekezaji mwenye mabilioni ya dola mwenye nia ya kununua majengo ya bunge kwaajili ya uwekezaji itakuwaje?

    Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania. Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ninapotaka kununua ardhi kutoka kwa mtu ni vitu gani vya msingi kuzingatia?

    Wakuu naomba msaada nimepata eneo nahitaji kununua ila Kwa mtu. Naomba vitu vya kuzingatia kuokoa pesa
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wana Teknolojia nina Swali: Bora kununua mid-ranger smartphone mpya au flagship used ya miaka 2 iliopita?

    Nna swali kidogo. Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu. Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…au ni bora kwa gharama iyo iyo ukanunua flagship (high performance smartphone) ila used ya miaka miwili au...
Back
Top Bottom