kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wakaanga kitimoto huwa wanagharimika kununua mafuta ya kukaaingia au inajikaanga yenyewe?

    Hii nyama huwa ina mafuta sana. Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
  2. dorge

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

    Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana. Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ipi rahisi, nafuu na salama zaidi kati ya kununua gari showrooms na kuagiza kutoka ng'ambo?

    Hebu mshauri mTanzania huyu anaekusudia kununua usafiri wake wa gari dogo sasa hivi. Ipi njia rahisi kwake kununua gari kwa urahisi, kwa unafuu wa fedha na muda na kwa usalama zaidi kati ya kuagiza kutoka ng'ambo na kwenda kuchagua tu sehemu mbalimbali yanapuuzwa magari nchini? Kwa niaba ya...
  4. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo ndo hamtaki kununua Pc yangu wakuu? Price 280k mshindwe nyie sasa.

    Pc bei kigonga kabisa 280k. Hp Pro book. Proccessor Intel-Pentium (7th Generation) Ram 8gb, Hdd 500gb, battery 4hrs uhakika. Price 28k maongezi yapo 0628116693
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Congo haiwapigii kelele Waarabu na Wachina waache kununua madini kutoka Rwanda?

    Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda wanazipigia nchi za Ulaya na Marekani! Huu mbona kama ni mkanganyiko! Kwa nini Congo isiwabane UAE...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na mapesa unaweza kununua kila kitu, isipokuwa mambo haya

    Ukiwa na Mapesa HUWEZI... 1️⃣ Kununua Wokovu – Wokovu wa Mungu haupatikani kwa fedha bali kwa imani katika Kristo Yesu. (Waefeso 2:8-9) 2️⃣ Kununua Amani ya Moyoni – Amani ya kweli inatoka kwa Mungu. (Yohana 14:27) 3️⃣ Kununua Upendo wa Kweli – Upendo wa dhati haupatikani kwa pesa. (1...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wawekezaji wakiongozwa na Elon Musk wametoa ofa dola bilioni 97 kununua OpenAi

    Elon Musk pamoja na wawekezaji wengine wametoa ofa ya kununua OpenAi kwa dola bilioni 97 na ushee. OpenAi ilianzishwa mwaka 2015 kama nonprofit na Sam Altman, Elon Musk na wengine. Lakini Elon Musk alijiondoa baadae na kuwa adui wa Altman. Altman ndio CEO wa OpenAi kwa sasa. ============ CEO...
  8. Wazolee

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sijui mnafeli wapi? Mnashindwa Nini kununua vifaa vya wajawazito na kuwagawia akina mama bure

    CHADEMA mnafeli padogo sana katika harakati zenu za kisiasa mnadhani kwamba mkiikaba serikali ndio mtafanikiwa serikali Inanguvu sana hamuna uwezo wa kushindana nayo Hivi nyinyi ni wanasiasa gani ambao hamjui kiboko ya serikali ni wananchi tena ni wale wananchi wa Hali ya chini na katika hao...
  9. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kununua usafiri kwa mtu (used) kunaweza kuwa na mikosi ya kupata ajali?

    Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA. Aliniambia Used sio Nzuri, zinaweza kua ma mabaa ama mikosi, Hujui kwanini ameiuza huenda imegonga...
  10. Logikos

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nishati; Tuutumie kwa kuneemesha Wananchi tuna Uwezo wa Kuwauzia Umeme Afrika nzima wala hatuna Sababu ya Kununua Gesi kutoka Nje

    Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs 100 mpaka 0/=) na kuuza ziada kwa nchi nyingine...
  11. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆

    Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆 Kisha wakamwambia konda anishushe,eti Mimi sio mtu WA kawaida Jamani weusi wenzangu acheni ushamba WA vitu vya mzungu Ungo KWA ajili ya kupepetea mchele Tunguli KWA ajili ya kunywea maji Chungu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bilioni 11 kununua taa tu?

    Great thinkers na wataalamu wa taa hii gharama ni Sahihi au watu wanakusanya za uchaguzi?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya nyumba au apartment za kupanga au kununua kwa Dar es salaam na Arusha

    KAMA UKO DAR AU ARUSHA UNAUHITAJI WA NYUMBA AU APARTMENT YA KUPANGA AU KUNUNUA TUPIGIE 0772959929
  14. U

    JamiiForums Tanzania Marekani haijaanza leo kutamani kununua kisiwa cha Greenland, mwaka 1946 Marekani ilitoa dolla millioni 100 kwa Denmark ili kununua kisiwa hicho

    Wadau hamjamboni nyote? Mchakato uliongozwa na Waziri wa mambo ya nje James Byrnes. Marekani ilitoa ofa ya dola million 100 million Kwa Serikali ya Denmark ili kuinunua Greenland. Pia Marekani imewahi kutaka kukinunua kisiwa cha Greenland mara kadhaa katika miaka ya 1867, 1910, 1946, 2019 na...
  15. CONTRARIAN

    JamiiForums Tanzania Kununua Pikipiki 3M, kumpa Boda kwa mkataba, Baada ya Mwaka inakua yake, wewe umeingiza lak 6, ni Wehu.

    Yaaani Unatoa 3M, Unaletewa 10k × 365 = 3,650,000 Faida kwa mwaka = 650,000 Faida kwa mwezi = 54,000. Faida kwa siku = 1,800, 😂😂😂 Wagonjwa wa akili ni wengi.. Issue sio aina ya biashara tuu, japo bado ni ya kufikiria mara mbili, Maana inamaanisha Piga Ua, faida ya Mmiliki wa boda boda(1,800)...
  16. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua presha kuka (pressure cooker) ya umeme, kampuni gani nzuri?

    Wakuu,nimepitia malalamiko mengi kuwa pressure cooker za umeme,zinasimbua sana. Kampuni gani ni nzuri,nasikia zinatumia umeme vizuri sana.. msaada wazoefu.
  17. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Uza na kununua

    Tuuze na kununua hapa, sema unataka nini na bajeti yako ikoje pia wewe unayeuza toa taarifa za unachouza kwa ushahidi na useme wewe ni dalali au mmiliki wa unachouzwa. Tuuze kuanzia nafaka, mashamba, viwaja, vifaa mbalimbali, magri, nk. PIA kama unataka kujua mahali/duka utakapopata kitu fulani...
  18. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua thamani ya coin unayotaka kuinunua

    Kwa kawaida, watu wengi, hasa wale wanaoanza safari yao kwenye ulimwengu wa cryptocurrency, mara nyingi hupenda kuangalia bei ya coin. Wanafikiria, “Hii bei ni ndogo sana! Acha ninunue kabla haijapanda!” Lakini, rafiki, ngoja nikushike mkono na kukuonyesha siri kubwa ya soko hili kwani bei ya...
  19. BOFREE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kiwanja cha kununua

    habari wakuu naitaji kiwanja cha kununua maeneo ya kiluvya, kibamba, kimara, hata gobaau madale ndani ndani huko mashart ya kiwanja 1. kiwanja kiwe kinamilikiwa na mwenye kiwanja kihalali. 2. sqmt zianzie 400 3. budget iwe haizidi milion 5 4. gari liwe linafika hadi kwenye kiwanja 5.maji umeme...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kama michango ya kununua gari tu imemshinda Lissu kuitimiza. Sasa ni vipi atakusanya mamilioni ya pesa kwa ajili ya Uchaguzi na kujenga Chama?

    Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana. Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
Back
Top Bottom