kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CodeX

    SOFTWARE Natafuta Kununua Adsense Account yenye Site

    Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye blog yenye Adsense iwe kwenye wordpress ya kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06
  2. M

    Je, ni sahihi kununua shamba ambalo lilikuwa na mgogoro kwa zaidi ya miaka mitano?

    Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani. Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie kilimo kipi Kwa maana nikodi mashamba au ninunue ndipo nikapewa mchongo na mtu ambaye nafahamiana naye...
  3. Beberu

    Nitajuaje simu ninayotaka kununua ni ya mkopo?

    Wakuu, nitajuaje kama simu ninayotaka kununua ni ya mkopo? Yaani hizi za hawa wanaouza kwa mkopo?
  4. L

    Naweza kupata shamba la kununua morogoro kwa installment!?

    Mm ninakipato Cha kawaida nataka nipate shamba ambalo ntalifyeka lakini nitalipa kwa installment
  5. Minjingu Jingu

    Ukiacha electronics kununua Zanzibar suala la nguo na viatu

    Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam? Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini naweza nunua Zanzibar kwa bei nzuri kuliko Dar. Ukiacha tende, ubuyu na halua.
  6. Grand Canyon

    Kabla ya kununua gari, hakikisha unajua bei za spea za gari unalotaka kununua

    Majuzi gari langu lilipata shida. Nilianza kupita maduka ya spea kutafuta spea za gari. Nilishangaa kuona taa tu ya baadhi ya magari zianauzwa hadi milioni 1.5. Tena si magari ya bei mbaya kwamba ikiwa alinunua gari milioni 100 hashindwi taa ya 1.5 m. Baadhi ya magari ni ya bei ya kawaida 15-30...
  7. Mad Max

    Baadhi ya Features za kuzingatia utakavyopanga kununua gari lako lijalo

    Wakuu kwema. Najua kwa namna moja au nyingine, kuna Mjapan uko anazinguka na gari lako bila yeye kujua. Siku zake zinahesabika. Sasa, gari siku hizi halijawa "kifaa" cha kukutoa point A kwenda B hafu basi. Hapana. Izo zilikua enzi za Land Rover 109 sio sahivi. Gari imekua zaidi ya chombo cha...
  8. Mpigania uhuru wa pili

    Zabuni (tender) ya kununua vitu vya kawaida kabisa anapewa mchina viongozi wa Afrika ni wabinafsi sana

    Copy & paste Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao...
  9. thegreat1510

    Kama ilivyo Alibaba China ni app gani naweza kuitumia kununua vitu Dubai

    Wakuu kama Mada tajwa hapo juu inavojieleza, wakati napitia Facebook Marketplace nimegundua kuna bidhaa zina bei ya chini sana Dubai. Mfano: Hiyo tecno 106, ina 12k China alibaba, ina 25k up to 35k Bongo lakini kilichonivutia zaidi ni ina AUED 1 , sawa na Tsh.700 yaani 0.7k Dubai. Facebook...
  10. J

    Kuwa mwangalifu kununua viwanja maeneo ya Kerege, Mlingotini, Kondo, Zinga, Kiromo na Ukuni hayo ni maeneo ya Bandari!

    WanaJF kamwene Nawapa tu angalizo wale mnaopenda kununua viwanja kiholela kuweni waangalifu sana na viwanja vya Bagamoyo Kuna eneo kubwa limetengwa kwa ajili ya Ujenzi wa Bandari na Export zone na wenyeji Wengi wameshalipwa fidia Kerege, Zinga, Kondo, Mlingotini, Kiromo na sehemu ndogo ya...
  11. N

    Msaada kama naweza kununua dhahabu iliyochomwa

    Naomba kuuliza wakuu, Natamani kuanza biashara ya kununua dhahabu iliyochomwa kutoka kwa wachimbaji wadogo 1. Je, kuna taratibu za kisheria na kama zipo ni zipi 2. Mtaji ni kiasi gani? 3. Faida ni kiasi gani kwa mfano mimi nina milioni moja -kwa mwezi naweza kuongeza mpaka shilingi ngapi? Kwa...
  12. Bushmamy

    Wakenya kununua mazao yakiwa bado shambani na kupeleka Kenya sababu ya nafaka kupanda bei sokoni Tanzania

    Siku za hivi karibuni umeibuka mtindo kwa Wafanyabiashara wa kikenya kuingia vijijini ndani huko kwa wakulima na kununua na mazao yakiwa bado kuvunwa. Wanachofanya ni hivi,mfanyabiasha wa kikenya huingia makubaliano na mkulima kulingana na ekari Alizo nazo mkulima ilhali mazao yakiwa bado...
  13. coockie monster

    Msaada wa kununua stocks mbalimbali DSE

    Hamjambo makamanda? Nahitaji kujua pale DSE nawezajaze kununua hisa Kwa kuwekeza on stocks mbalimbali kuanzia banks au stock nyengine? Naomba mdau wa haya mambo anipe maelezo jinsi ya kuwekeza au kutumia brokers. Any information ni muhimu kwangu wadau.
  14. ndege JOHN

    Sio kila hela kubwa unayopata ujengee au ufanyie biashara nyingine kula Bata ila kumbuka kununua mashamba bado utaonekana mjanja tu

    Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
  15. The Boss

    Ac za baridi baridi Vs kununua AC kkoo..ipi Bora?

    Waliowahi kupata huduma Kwa mfumo wa hii kampuni ya baridi baridi..inayouza AC na nimewahi sikia kama wanakodisha...kitu kama hiko...ukilinganisha na mtu kwenda dukani na kununua AC moja Kwa moja.....ipi Bora?
  16. MEK_TZ

    Natafuta Toyota IST ya kununua

    Habari wakuu. Mwenye gari IST anaye uza tafadhari tuwasiliane.
  17. Kaka yake shetani

    Katika suala la kununua ardhi hakuna mjanja, tusibishe

    Yani mimi na kufanya yote nchi hii ila suala la kununua ardhi ni muoga sana. Ukiona malalamiko kesi za ardhi ni nyingi kuliko nyingine. Kuna jamaa alinunua ardhi kwa ajili ya sheli kumbe wana mirathi wengine walikuwa hawajapata stahiki, ilibidi kuongeza pesa tena ili kukamilisha manunuzi.
  18. F

    Nifanyeje ili niache kununua malaya?

    Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda? Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka...
  19. A

    Natafuta kiwanja cha kununua Madale

    Habari za mchana ndugu zangu, Natafuta kiwanja kisichokua na mgogoro na kilichopimwa maeneo ya Madale Mivumoni au karibu na apo, kiwanja kiwe na ukubwa wa 800sqm na budget isizidi 30M. Ahsante.
  20. Satoh Hirosh

    Uchumi wako unaweza kununua kitu gani unachojisikia?

    Nilikuwa napita pita zangu huko mtandaoni,nikakutana na tangazo la wauza viwanja (madalali). Nilisikitika sana baada ya kusoma like tangazo. Nikasema Bongo Kuna watu Wana uchumi ambao wanaweza kununua kiwanja chochote na mahali popote. Na Hawa siyo kina Mo na Bahresa,ni watu tu ambao wapo low...
Back
Top Bottom