kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe hata Taulo za Kike Polisi hawawezi kununua? What a shame!

    Yaani ukiona wanavyoumiza Watu, ukienda kituoni wanavyokujibu Vibaya, wakipita kwenye yale magari wanavyodhani wako mbinguni, KUMBE hata Taulo za Kike hawawezi kununua! What a shame! Mnadhulumiwa hadi pesa za Pedi but kucha kuchwa mko na CHADEMA Tu kuwateka, kuwatesa na kuwaua...
  2. JamiiForums Tanzania Kama unataka kununua ardhi zingatia haya

    Unapokuwa unatafuta kununua kiwanja, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa kama vile eneo na ukubwa wa kiwanja, hali ya kisheria ya umiliki, na hati za umiliki. Pia, hakikisha unafanya uchunguzi wa kina kuhusu eneo hilo ili kuepuka udanganyifu na utapeli. Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapokuwa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua mashamba na kukata viwanja kisha kuuza

    Habari. Hii ni biashara nzuri sana hasi ukiwa na mtaji. Mtaji wake unapaswa uwe na pesa ya kununua kuanzia heka 1. Mfano ukinunua heka 1 kwa shilingi million 22, eneo hilo(Kibaha) viwanja vinauzwa kuanzia million 3.5 vya mbele na vya nyuma ni million 3.3, kwenye heka 1 unaweza toa viwanja 10...
  4. JamiiForums Tanzania Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamb

    Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamba Kazi hii hapa madalali karibuni na wadau wote Nicheki PM
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kununua magari kupitia Alibaba.com

    Wakuu habari za jioni. Nimepitia alibaba.com nimeona kuna magari watu wanauza humo, yanaonekana ni mazuri sana na bei zao ni nzuri. Niliyoyaona humo yanauzwa kutoka China. angalia kwa mfano hii Rav4...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali Kuanza Kununua mahindi ya Ngara

    SERIKALI KUANZA KUNUNUA MAHINDI YA NGARA πŸ“14/04/2025 NGARA βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“ Serikali imeahidi kuanza kununua mahindi ya Wakulima wa Wilaya ya Ngara kuanzia mwezi wa tano mwaka huu wa 2025. Hatua hii itaimarisha bei ya soko la mahindi ambayo imekuwa ikibadirika...
  7. JamiiForums Tanzania Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token

    Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token. Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua umeme kama kifurushi bila kuingizia token kwenye Mita namba ya nyumbani kwako. Watumiaji watakua na...
  8. JamiiForums Tanzania Umewahi kununua samaki waliokaangwa na baadaye kukuta wameoza

    Umewahi kununua samaki waliokaangwa wakiwa moto moto halafu ile unafika nyumbani unakuta wameoza wote. Hivi ndio leo nimeshinda njaa.
  9. JamiiForums Tanzania Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua

    Kuna aina nyingi za simu , baadhi zinafanya vizuri sokoni na nyingine hazifanyi vizuri na zikiwa na sababu tofauti . Makala hii itaangazia aina za simu zenye matatizo makubwa ambapo sikushauri kununua ikiwa unahitaji na simu nitakutajia matatizo ya kila simu . Pause : Mimi naitwa Mkisi ...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kununua akaunti kwa ajili ya kudownload games za ps4

    Salaam wakuu, Kwa wajuvi naomba msaada wa namna ya kununua akaunti kwa ajili ya kuDownload games za PS4. Mashine yangu ni ya games za akaunti. Naomba kuwasilisha.
  11. JamiiForums Tanzania Dada hukua hata na muda wa kununua shangazi kaja!

    #STrending "MIZIGO YA DADA YANGU #ZAIYLISA …… JANA KAONDOKA NA VITU VYAKE VYA KWENYE KITCHEN PARTY ALIVYOTUNZWA ……!!!! SIJALALA MIMI NAIYOMBEA DUA HI NDOA 😭😭😭😭 TARAKA TATU NI NYINGI MJUE." - ✍️ #JumaLokole #SallyTV #NiZaidiYaBurudani
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mwongozo Bora wa Kununua Laptop ya Utendaji wa Juu (2024/25)

    Mwongozo Bora wa Kununua Laptop ya Utendaji wa Juu (2024/25) Na MALEKO GJ| #ElimuYaKompyuta Kununua laptop mpya ni jambo linaloweza kuwa la kusisimua, lakini pia linachanganya kutokana na wingi wa chaguo sokoni. Ikiwa unahitaji laptop ya utendaji wa juu kwa ajili ya gaming, kuhariri video...
  13. JamiiForums Tanzania Kampuni ya clearing ya kununua

    Natafuta kampuni ya clearing ya kununua. Bajeti ni 15m
  14. JamiiForums Tanzania Namna ya kununua shamba

    Habari JF Nimeamua kufanya maandalizi ya kustaafu kabla ya muda na kuachana na hizi kazi za ofisini ndani ya miaka 5 ijayo. Hatua ya kwanza nimeona ni kununua shamba walau ekari 10 kwa ajili ya makazi pamoja na ufugaji(70%) na kilimo(30%). Nitahamia shambani kabisa na kujenga nyumba huko kwa...
  15. JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuna tatizo katika mfumo wa kununua Umeme, Wataalam wanaendelea kurekebisha

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
  16. JamiiForums Tanzania Natamani kununua Toyota Rush naomba ushauri wenu

    Wakuu Mimi huvutiwa sana na muundo wa gari hii, inaurefu Fulani ata sisi tunaoishi mabonde Kwinama inaonekana kama inafaa hivi. Sina utaalamu sana wa magari ila najiuliza kwanini gari hii sio nyingi sana barabarani wakati inaonekana kua gari nzuri kwa Mimi nisiyekua na ujuzi wa kutosha juu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nataka kununua sodium nitrite niende wapi/duka Gani???

    Niaje wakuu..... Husika na kichea cha habari kilichotajwa juu... Nataka kununua hyo sodium nitrite naweza kuipata wapi??? Natanguliza shukrani...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Sitaki kusikia mtu anaambiwa akanunue dawa nje ya hospitali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku tabia ya waganga katika hospitali za serikali kuwaandikia wagonjwa dawa na kuwaelekeza kununua dawa hizo katika maduka ya dawa ya watu binafsi wakati Serikali imetoa dawa za kutosha kwenye zahati,vituo vya afya na hospitali za Wilaya. Ametoa marufuku...
  19. JamiiForums Tanzania Ofisi ya ya Serikali ya 'HUDUMA PAMOJA CENTER' haina jenereta? Umeme ukikatika huduma zinasimama

    Katika kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma za haraka bila usumbufu hasa kuepuka kutumia muda mwingi kwenye ofisi za umma, Serikali iliamua kuanzisha Kituo jumuishi cha huduma (HUDUMA PAMOJA CENTER) ambacho kina ofisi za taasisi mbalimbali za Serikali eneo moja. Miongoni mwa ofisi zinazotoa...
  20. JamiiForums Tanzania Matatizo/Mambo 7 Ya Kukagua kwenye Simu Used Kutoka Dubai , Uk , USA Kabla ya Kununua Kwenye Maduka ya Kariakoo.

    #Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao. Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used kutoka Dubai ni kuuziwa bidhaa zenye shida kedekede na pia bidhaa feki. Nimekuwa kwenye soko la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…