kumuua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ile kesi ya kenya waliofungua kuwashtaki israel kumuua Yesu iliishia wap?

    Mwaka wa 2013 wakenya walifungua kesi kuwashtaki israel kumuua Yesu, mwenye updates kesi iliendaje atutaarifu https://www.timesofisrael.com/kenyan-lawyer-suing-israel-over-jesuss-death/
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Lucifer hakupenda kuwa shetani Kuna mambo alitofautiana na Mungu akaona kama mbwai iwe mbwai

    Labda ni falsafa ya kizembe TU kwamba Mungu alimuona shetani kama muasi ingawa Kuna malaika ambao waliyaunga mkono malalamiko ya shetani Mungu aliona ni Bora kumtupa duniani kuliko kumuua!! Vipi angemuua wale malaika theluthi wangeendelea kuwa wapinzani wa Mungu ndani ya mbingu yenyewe...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tumechoka na hivi visa vya watu kutekwa na kupotezwa. Kwa mfano, aliyerekodi msafara na kuchoma picha ya Rais alikuwa na tishio gani kwa usalama?

    Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki. Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka! Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Generali Yoabu kumuua Generali Abneri bila ruhusa ya Mfalme Daudi ni kielelezo kuwa kuna Matukio hutokea Rais hahusishwi au hajulishwi

    Kwema Wakuu! Tulikuwa na Magufuli, akafanya aliyoyafanya. Yapo mazuri akapongezwa kwa mazuri. Na yapo mabaya akalaumiwa na kukemewa, kuliliwa na kutukanwa kwa Mabaya. Moja ya Mabaya yaliyotokea kipindi cha Magufuli ni pamoja na utekaji, kujeruhiwa na mauaji. Huku matukio hayo mengi yakiwa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askari wanne wa TANAPA washikiliwa kwa tuhuma za kumuua mfugaji aliyengiza mifugo katika hifadhi

    Askari wanne wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Kurwa Igembe anayedaiwa kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali.
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

    Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu. Tunaenda kwa maandiko hakuna...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Bila kumuondoa madarakani Benjamin Netanyahu ataiangamiza dunia

    Kama walivyofanya kwa Hitler na Mussolini, au kuwaondoa Benjamin Netanyahu na Trump wataiangamiza dunia
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuua mtu lakini huwezi kuua wazo lake!

    Leo hii nani anawajuwa waliomuia Muamar Ghadafi? Ni wapi majina ya wauaji wa Che Guevara yameandikwa? Wapi kunaadhimishwa kumbukumbu ya wauaji wa Abeid Karume? Hivi Mwangosi na aliyempiga bomu la machozi nani kajengewa Mnara? Watu wasio na akili hudhani mateso ama mauaji huondoa wazo la mtu...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huyu ameua wazazi wake ili arithi pesa zao na azitumie katika operasheni yake ya kumuua Trump

    Ni dogo tu wa miaka 17. Amewauua alafu akaishi na maiti zao ndani. Haya ni matokeo ya afya mbovu ya akili na utoto mwingi pale vyote vinapokutana na influence ya mitandao na habari za mrengwa wa kushoto (liberals) zinazoshinikiza chuki dhidi ya Trump.
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua baba yake mzazi na kumzika

    Mahakama ya Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshtakiwa Amos Martin Masua mkazi wa Kingolwila mkoani Morogoro kwa kosa la kumuua baba yake mzazi Martin Masua (84) mkazi wa Kidunda na kumzika pembeni ya nyumba yake. Hukumu hiyo imetolewa Aprili 4, 2025 na Jaji Aisha Sinda...
  11. van_vict

    JamiiForums Tanzania Kweli kidonge cha Panadol kinatumika kumuua nyoka?

    Ni Kuna ukweli wowote wanaposema kidonge Cha PANADOL a.k.a paracetamol kinaweza kumuua NYOKA?
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi lamvamia mzee na kumuua kwa kumchoma visu shingoni

    Wakuu, Polisi wamesema shambulio hilo lilitokea katika kituo cha basi na treni siku ya Jumatatu, ambapo "mshukiwa alidungwa risasi na mlinzi wa usalama na raia aliyekuwepo eneo hilo." Taarifa ya Magen David Adom imethibitisha kifo cha mwanaume wa takriban miaka 70 na kujeruhiwa kwa watu wanne...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Pale kaka yake alipo dhamiria kumuua mdogo wake kisa mdogo wake kaondoa Ng'ombe zake kwa kaka yake

    Huenda Heading isilete maana ya moja kwa kwa moja lakini kwenye maelezo nitaeleza kwa kirefu sana.Japo ni ndefu ila nitafupiza sana mimi sijui kuandika ....".inaendelea" Hii ni familia kubwa ya kisukuma ambayo baba yao mzazi alifariki miaka zaidi ya 30 iliyopita.Hivyo kwa utamaduni wa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu watano wahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mwanamke waliyedai ni Mchawi

    Five men have been sentenced to death by hanging in Nigeria's Kano state for the 2023 murder of a woman they accused of witchcraft. The convicted men attacked Dahare Abubakar, 67, as she was working on her farm, beating and stabbing her to death. Ms Abubakar's family went to the authorities...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Niliacha kumuunga mkono magufuli na kujitenga na CCM baada ya jaribio na kumuua Tundu Lissu

    Amani iwe nanyi wanabodi. Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id nyingine ambayo kwa sasa siitumii. Mimi ni mwanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI ninayependa Demokrasia...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mbaroni akidaiwa kumuua mama yake mzazi na kufika mwili shambani

    Polisi Mkoa wa Shinyanga limefukua mwili wa Asha Mayenga (62), mkazi wa Lugela, Kata ya Nyamhanga, Manispaa ya Kahama uliofukiwa shambani, baada ya kutoweka kwa siku tano. Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa, Januari 17, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi, amesema mwili...
  17. imhotep

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuua mwenzako kwa mshtuko😂

    Hizi prank hizi😂😂😂
  18. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamwachia huru George Sanga na Wenzake wawili, Kada wa CHADEMA walishikiliwa kwa miaka 5 gerezani kwa tuhuma za mauaji

    BREAKING NEWS NJOMBE. George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama. Mungu ametenda haki imeshinda George sanga na wenza wameachiwa huru Mahakama Kuu - Njombe Wakili Dickson Matata, Joseph Mbilinyi wazungumza Njombe. Mahakama Kuu Kanda...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

    https://www.youtube.com/live/SVGXG6yMBgM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kada wa CHADEMA kuvunja chungu kisa matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa

    Alitangazwa wa Chadema, baadaye usiku akatangazwa wa CCM. Sasa wazee wa kimila Arusha masai wamesema wao hawana polisi, ni wa kwao, Mahakama ni zao, TISS ni yao. Kimbilio lao ni kuvunja chungu aliyetangazwa kiharamu afe. sikiliza
Back
Top Bottom