kumuua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Nigeria limefanikiwa kumuua Kamanda wa Boko Haram, Abu Khalid

    Jeshi la Nigeria lilitangaza kuwa limefanikiwa kumuua kamanda muhimu wa kundi la kigaidi la Kiislamu, Boko Haram, katika operesheni ya usiku iliyofanyika jimbo la Borno. Abu Khalid alikuwa miongoni mwa viongozi wakuu wa Boko Haram, kundi linaloendesha shughuli zake zaidi kaskazini mwa Nigeria...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua kijana mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mawazo Msangawale, Miaka 24, Mkazi wa Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma ya mauaji ya kijana wa miaka 18 aitwaye Juveni Baraka Mwambugi aliyekuwa Mkazi wa Isoko Wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya. Kamanda wa Polisi Awali, Januari 9, 2026 saa 2...
  3. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tiktoker wa Kisomali amtishia maisha Elon Musk

    ''i wouldnt worry too much abaut him. He about to die'' amesema demu wa kisomali akimwambia E.Musk na yeye Musk akamjibu kwamba then its war ...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Marry Timotheo ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wake, alikuwa anamuadhibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Marry Timotheo, Mkazi wa Garijembe Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wake aitwaye Scola Athanas Mwaba [10] aliyekuwa Mwanafunzi wa Darasa la Nne katika Shule ya Msingi Ngonde. Tukio hilo limetokea Disemba 09, 2025 saa 6:30 mchana katika Kijiji cha...
  5. Tochuku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnatutishia watanzania na magari ya kipolisi na kivita, mnataka kumuua nani ama mtaweza kutuua wote ?

    Je mutaweza kutuua watanzania milioni 50+? Sasa mbona hata hio ni ujumbe tosha hata wapiga kura wasiende kupiga kura.. Huu ni uchaguzi ama vita Free Polepole Free Heche Free Mdude
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kosa la binti huyu mwanachuo lilikuwa nini mpaka atekwe na kuuawa mkoani Mbeya?

    Shyrose alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kumpigia Baba yake simu kumuomba Pesa ili wamuachie huru huku wakimtumia Video fupi wakimuonesha wanavyomtesa. Baada ya kupata Video hizo Baba Mzazi Dkt. Mabula Mahande alituma kiasi kidogo cha pesa ili Mwanae asiumizwe lakini...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 7 wa mauaji ya Mtoto aliyedaiwa kuiba Parachichi wakamatwa

    Jumla ya watuhumiwa saba wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuhusishwa na mauaji ya kijana aliyedaiwa kuiba parachichi. Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao wanashikiliwa kwa mahojiano na mara baada ya taratibu kukamilika watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma za mauaji...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ifahamu syndicate ya ANTIFA inayosadikika kumuua Charlie Kirk

    Inasemekana silaha iliotumika imekutwa na chata ya Antifa na trasgender (wanaobadirisha viungo vya ngono na kulazimisha atambulike jinsia mpya) Antifa ni kundi la mrengo wa kushoto ambalo itikadi yake ni kupinga misimamo ya mrengo wa kulia. Ni mtandao unaotumia machafuko kufikisha hoja zao...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana na kuonesha hatuna Utu. Majini yametutawala kichwani. Kumuua huyu Dogo?

    Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu. Mwangalie hapa anatabasamu.
  10. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kumuua mwanaye kwa jembe wakizozania chakula

    Hii imetokea Kenya Count ndogo ya Awendo.Majirani zetu watani zetu na ndugu zetu mnaojinasibisha mnajua sana kingereza kuliko sisi mnakwama wapi. Issue kama hii huwezi ikuta Tanzania Kugombea ugali Count ya Awendo ukitoka Isebania unafika Migoro Awendo iko mbele yake. Source Mwananchi Agost 28...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ndege F-16 Yafeli Maonesho ya Maneuver na Kumuua Rubani

    Jana Alhamisi, tarehe 28 Agosti 2025, katika Kituo cha Jeshi la Anga cha Radom kilichopo Warsaw, Poland, ndege ya kivita ya kimarekani aina ya F-16 ya Jeshi la Anga la Poland, ilipata ajali mbaya wakati wa mazoezi ya maonesho ya anga. Rubani alijaribu mbinu ya barrel roll — yaani mzunguko wa...
  12. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Pole pole anachofanya ameamua kumuua mende kwa Nyundo , taratibu sisi Ccm hatuna hatia.!

    Pole pole ameamua kuia Ccm kifo cha Asili , taratibu polepole usifanye hivyo tafadhari.
  13. econonist

    JamiiForums Tanzania CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

    Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM. CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kumshambulia Katibu wa Baraza la Maaskofu ni kuwashambulia Wakristo wote

    Maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao Katibu wa Baraza la Maaskofu na waumini wao, wataipa CCM kura? Kanisa Katoliki ndo Baba Mlezi wa Imani zote za Kikristo. Si moja kwa moja, ila by implication! Kwa kifupi, Wakristo madhehebu mengi yametoka Kanisa Katoliki. Sisi Wakristo ni familia moja Maaskofu...
  15. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Msije Kuingia Mtegoni: Marehemu Hasemwi, Ukimsema Umemshiriki

    GTs, Kuna methali ya Kiswahili isemayo: “Marehemu hasemwi.” Kwa mtazamo wa utamaduni wetu wa Kiafrika na hususan wa Kitanzania, msemo huu una uzito mkubwa. Kumsema vibaya marehemu ni zaidi ya dharau—ni ishara inayoweza kufasiriwa kuwa ulihusika au ulishiriki katika kifo chake. Tangu kufariki...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Meyer Lansky: Jasusi na Kamaria Mtata katika Njama za kumuua Fidel Castro

    Katika historia ya ujasusi wa kimataifa, kuna sura ambazo hazikuwahi kuvalia sare za kijeshi wala kuwa na vitambulisho rasmi, lakini walikuwa silaha kubwa katika operesheni za kificho. Mmoja wao ni Meyer Lansky, kamaria mmoja hatari na mfanyabiashara wa kamari haramu, mafia hatari, na kiungo...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amedai kuwa Israel inataka kumuua!!!

    Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amedai kuwa Israel inataka kumuua. Katika mahojiano na mchambuzi wa Marekani Tucker Carlson, Pezeshkian alisema, "Walijaribu, ndiyo. Walitenda ipasavyo, lakini walishindwa," bila kutoa tarehe maalum ya jaribio la madai. Alidai kuwa Israel, sio Marekani, ndiyo...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Je, Mpango wa Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu Ukiwa Kizuizini Ni Dalili ya Taifa Lenye Hofu ya Ukweli na Kukwama Kisaikolojia Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa? Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani inaweza kumuua Ali Khamenei, ni "easy target" inajua wapi yupo ila haitafanya kwa sasa

    Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Marekani inaweza kumuua Supreme Leader Ali Khamenei kwasababu ni "easy target" na inajua wapi alipo ila haitafanya kwa sasa ====== Trump: US could kill Iranian leader but won't - "for now" Donald Trump says the US knows where Iranian Supreme Leader Ali...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) atuhumiwa kumuua Mwanafunzi mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22]. Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
Back
Top Bottom