Uganda Kumheshimu Yoni Netanyahu
Uganda inatarajiwa kuzindua sanamu ya Yonatan Netanyahu, kaka mkubwa wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, ambaye aliuawa wakati wa operesheni ya ujasiri ya 1976 ya kuwaachilia mateka wa Israeli waliokuwa wakishikiliwa na magaidi wa Ujerumani na Palestina katika...
Wakubwa na wadogo, vijana na wazee, watoto na wakubwa na wanawake kwa wanaume inakuaje asee watu wangu wa nguvu.
Moja kwa moja kwenye mada. Kama kwicha cha mada hapo juu tujichoreni tatoo mwilini kama kumuenzi balozi Humphrey Polepole.
Popote mwilini. Mimi tayari niko kwenye maandalizi ya...
Huu ni uwanja uliopo Msoga na mara nyingi sherehe za serikali hufanyika hapo ikiwemo Msoga marathon.
Kutoka hapo mpaka kwa Kikwete kwa mwendo wa gari ni dakika 2, kwa mwendo wa mguu dakika 10-20.
Kiuhalisia huu uwanja ujenzi wake hauna tija yoyote kwa wananchi maana hata huko Msoga kwenyewe...
Nimefikiria jinsi alivyotumika kuking'arisha chama kwa utunzi na nyimbo zake hasa katika nyakati ngumu za uchaguzi.
Huyu nilianza kumshuhudia tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Hata baada ya kufariki bado nyimbo zake zimetumika katika mikusanyiko ya chama na kwenye kampeni...
Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana!
Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili!
Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria!
Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na
1. Baadhi ya watumishi wa...
Ninaandika haya kwa hisia za kina kuhusu Muungano wa Tanzania, hasa katika muktadha wa kumuenzi Mwalimu Julius Nyerere. Kutokana na muktadha wa kisiasa na kijamii wa sasa, ninahisi kuwa siwezi kumuenzi Mwalimu Nyerere bila kuangazia ukweli kuhusu Muungano.
Muungano huu, ambao ulianzishwa kwa...
Serikali ya Ureno imepanga kuzinduzi sarafu mpya, CR7 Euro kumuenzi mfungaji bora wa timu yao ya taifa, Cristiano Ronaldo. Sarafu hii itakuwa ni ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa Ronaldo kwa taifa la Ureno.
Cristiano Ronaldo ndiye mfungaji wa muda wote wa timu ya taifa ya Ureno, akiwa...
CDE. REUBEN SAGAYIKA AWATAKA UVCCM CHATO KUMUENZI MAGUFULI KWA KUCHAPA KAZI
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Chato wametakiwa kumuenzi Rais wa awamu ya tano, Hayati Dkt. John Magufuli kwa kuchapa kazi na kuiishi slogan yake ya Hapa Kazi Tu.
Wito huo umetolewa na Mjumbe wa...
"Mimi nikasema si vibaya nikajumuika na vijana wenzangu (UVCCM) Wilaya ya Chato katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Wilaya ya Chato na kuhakikisha inakamilika, nikasema nichangie kidogo nilichobarikiwa kuhakikisha kazi za Chama na pia siyo mwisho, nitaendelea kuchangia zaidi na zaidi...
Tizama Video hapa chini👇
https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
Kama Taifa, leo ni siku maalum ya kumkumbuka Mwal JK Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania aliyefariki dunia mnamo tarehe 14 Oktoba 1999.
kuna vitu vingi sana vinatufanya tuendelee kumuenzi kutokana na mchango wake katika kulijenga taifa bora.
Haya ni mambo aliyosimamia na ambayo...
Wanabodi,
Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM na ushauri huo ukafanyiwa kazi, kwa kutaja bandiko husika, ulishauri nini, na nini kilikuja kufanyika...
Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa...
Habari wana JF, Tanzania tangu kupata uhuru imetawaliwa na viongozi wengi sana lakini changamoto za watanzania ni zile zile .
lakini kiuhalisia kwa nchi kama Tanzania yenye vyanzo mbali mbali vya mapato hatutegemei mpaka leo changamoto hizo ziwepo.
hii ina maana watanzania wengi na viongozi...
Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Pili la kumuenzi aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa leo tarehe 14 Julai, 2022 katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar.
JOAQUIM ALBERTO CHISSANO, RAIS MSTAAFU - MSUMBIJI
- Siwezi...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI HAYATI BABA WA TAIFA KWA VITENDO.
Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing kutoka nchini China ambavyo vinatarajiwa kutumika katika kazi za maboresho ya uwanja wa ndege wa...
Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaenzi wazee wetu Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Hayari Dk John Pombe Magufuli tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite|daraja la Salenda walioliasisi wao lenye urefu wa kilometa 1.03 lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL.
Masaa machache tu Rais Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.