kumuenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS 35BL Ujenzi wa Musoma Airport kumuenzi Baba wa Taifa

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI HAYATI BABA WA TAIFA KWA VITENDO. Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing kutoka nchini China ambavyo vinatarajiwa kutumika katika kazi za maboresho ya uwanja wa ndege wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

    Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaenzi wazee wetu Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Hayari Dk John Pombe Magufuli tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite|daraja la Salenda walioliasisi wao lenye urefu wa kilometa 1.03 lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL. Masaa machache tu Rais Samia...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania UWT kumuenzi Bibi Titi Mohamed

    UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) KUMUENZI BI TITI MOHAMED (1926 - 2000) Leo nimetembelewa na Waandishi Maalum waliokuja nyumbani kwangu tufanye kipindi kuhusu maisha ya Bi. Titi Mohamed ambae taifa limeamua kumuenzi kama tangazo linavyoonyesha hapo chini. Nimejitahidi kumueleza Bi. Titi kadri...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Umoja wa wanawake Tanzania kumuenzi Bi. Titi Mohamed

    BI. TITI MOHAMED (1926 - 2000)HANA MFANOWE Historia ya Bi. Titi haijaandikwa. Naamini ni watu wachache sana wanajua kuwa Bi. Titi Mohamed amepanda jukwaani kuhutubia mkutano wa TANU Viwanja Vya Mnazi Mmoja wala haijui sura ya Julius Kambarage Nyerere inafananaje. Naamini pia si wengi...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kumuenzi Mwl Nyerere

    Je, inatosha kumuenzi Mwl Nyerere kwa kukimbiza Mwenge wa Uhuru tu? Hatuna mbadala wa Mwenge kama namna ya kumuenzi Mwl? Agenda ya Mwl iliishia kwenye uhuru tu? Wakati wa Magufuli, Chama kupitia Mwenezi taifa wake, kilimuenzi Mwl nje ya mipaka ya nchi kwa kwenda Beijing kufanya midahalo mikubwa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Mchezo wa bao uendelezwe ili kumuenzi Nyerere

    Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, ambaye pia ni Waziri wa mifugo na uvuvi, Abdallah Ulega ametoa rai kwa jamii kuuendeleza mchezo wa bao ili kumuenzi Muasisi wake, Baba wa Taifa ,Hayati, Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliyefariki dunia 14,oktoba 1999. Akimkaribisha mgeni rasmi katika fainali ya...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi: Tujenge 'Monument' ya kumuenzi Hayati Dkt. Magufuli jijini Dodoma

    Leo Jumanne, tarehe 30 Machi, 2021, Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi ametoa mapendekezo ya kujenga monument ya kuenzi kazi iliyofanywa na rais Magufuli. Akichangia hoja Bungeni, Kunambi amesema: Kazi kubwa ambayo mimi naomba nishauri Bunge letu tukufu ni... amefanya...
Back
Top Bottom