Nimetumiwa ujumbe na mtendaji wa kata nifuate kibao cha namba za makazi niende na shilingi 5000 ya kulipia , ilipo nyumba nyingine mtendaji kanitumia meseji niende nikalipie 5500 , hivi, hivi vibao vya namba za anuani ya makazi vinalipiwa tena?
Serikali ya awamu ya sita jamaniiiii mbona hivyo...