Je, ni sahihi kwa DSTV kuziweka ITV, EATV, Clouds TV na Channel Ten kwenye chaneli za kulipia?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,326
92,508
Huenda mimi ndio sielewi basi nielimishwe, lakini kwa upeo wangu mdogo ninavyojua mimi hizo channel ITV, eatv, clouds na channel ten ni FTA channels sasa inakuwaje kifurushi cha Dstv kikiishia wanakuachia Tbc peke yake?

Mimi nina king'amuzi pia cha Star times hawa air time ikikuishia free channel zote zinabaki na unaangalia kama kawaida, sasa iweje Dstv inakata free channels?

Mheshimiwa Nape Nnauye kuli wewe tupo pamoja hapa JF kitambo tu tunakuomba ulipokee hili na ulifanyie kazi haraka, tusilazimishane hela za kula kununua vifurushi.

Kifurushi kikikata kama bajeti hairuhusu then uwe na access ya local free channel basi ili uchague taarifa ya habari uangalie wapi.

Sijawataja Wasafi hapo kwa sababu najua Wasafi ni channel ya kulipia, siyo free channel.
 
Haha mlikuwa mnajisifu kuwa Dstv sahivi ni burudani kumbe bado hamzioni hizo channel?
Tupa hiyo king'amuzi uwahi Azam chap hata usipolipia bado utaona mechi 1 Epl bure kila Jumamosi na pia mechi za CAF utaziona bila gharama yoyote.
 
Hata TBC baada ya muda nayo wanakata
 
Haha mlikuwa mnajisifu kuwa Dstv sahivi ni burudani kumbe bado hamzioni hizo channel?
Tupa hiyo king'amuzi uwahi Azam chap hata usipolipia bado utaona mechi 1 Epl bure kila Jumamosi na pia mechi za CAF utaziona bila gharama yoyote.
Zinapatikana ila kifurushi kikiisha nazo zinakata, haipaswi kuwa hivi, hizi ni local channels wanapaswa kuziacha hata kifurushi kikiisha.

Sijui umeelewa sasa?
 
Mbona mnapenda Bure sana ??! Hamjui hata vituo mnavyoviangalia vinaandaliwa kwa gharama na hawa DSTV nao wanauziwa hizo channel ?!
 
Haha mlikuwa mnajisifu kuwa Dstv sahivi ni burudani kumbe bado hamzioni hizo channel?
Tupa hiyo king'amuzi uwahi Azam chap hata usipolipia bado utaona mechi 1 Epl bure kila Jumamosi na pia mechi za CAF utaziona bila gharama yoyote.
Ndo kilichopo, ununua tu Decoder ya Azam, dish lile lile tu la DSTV.
 
Yani hawa Dstv naonaga nachezea ela kununua kifurushi maana mm mpira sipendi zangu ni nyumi na mieleka na mara nyingi naoenda sikiliza radio Sasa wao radio za ndani ni kama 3 hivi wananiboaga Sana.
 
Tena kama we bumunda si ulishangilia sana Nape aliposema zinarudi ukawa unataukana Magufuli?

Hizo chanel zilitolewa kwenye DSTV baada ya Magufuli kusema zinapaswa kuonesha bure!

Ila mataputapu mkashangilia Nape aliposema zinarudi bila kujiuliza kilichofanya ziondolewe ni nini.
 
Zinapatikana ila kifurushi kikiisha nazo zinakata, haipaswi kuwa hivi, hizi ni local channels wanapaswa kuziacha hata kifurushi kikiisha.

Sijui umeelewa sasa?
Wewe ndo hujaelewa ulicho ki quote mzee Kwan Nani ambae hajui kuwa Dstv huoni local channel bila kulipia tofaut na ving'amuzi vingine?
Sijui umeelewa sasa?
 
Tena kama we bumunda si ulishangilia sana Nape aliposema zinarudi ukawa unataukana Magufuli?

Hizo chanel zilitolewa kwenye DSTV baada ya Magufuli kusema zinapaswa kuonesha bure!

Ila mataputapu mkashangilia Nape aliposema zinarudi bila kujiuliza kilichofanya ziondolewe ni nini.
Aliyeziondowa alikuwa Dr Mwakyembe, wewe wahi zamu ya kulinda kaburi Chato.

Yule Dr mpuuzi Mwakyembe alikata hadi redio station kusoma magazeti kurasa za ndani waishie front page tu.

Awamu ya tano ilikuwa ni serikali ya mashetani yalioongozwa na Lucifer mkuu Pombe waliotamani Tanzania tuishi kama North Korea.

Tunamshukuru mama sasa anaifunguwa nchi, hata hili naamini litafanyiwa kazi.
 
Back
Top Bottom