kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna Siri gani katika hili mbona wanaume wanakuwa sana kuliko wanawake.

    Wadau naomba mwenye elimu katika hili mbona wanaume wengi wanawahi kufariki kuliko kina mama yaaani ata hospital utakuta bibi au mama kampeleka hospital babu au baba lakini mara chache sanaaa kumkuta babu au baba kampeleka bibi au mama.na mara nyingi babu na baba ndio wanatangulia kuondoka dunia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere na Dkt. Magufuli ndio wanaonekana marais bora, ila ndio marais wabovu kuliko wote

    kwanza kabisa nianze kwa kusema hakuna siasa zinazoua nchi kimaendeleo kama siasa za kujaribu kunufaisha wanyonge na kulazimisha usawa wa kiuchumi. Ila bahati mbaya kwa Africa, 'marais wa waonyonge' ndio wanaonekana ndio sahihi Mfano akitokea Rais akaanza ku deal na matajiri, akachukua mfano...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kwa nini shughuli za kilimo na ufugaji zimekuwa na changamoto nyingi kuliko matarajio ya watu wengi?

    Juzi nikasema nimpigie rafiki yangu mmoja ambaye sijazungumza naye kwa miezi kadhaa sasa. Mingoni mwa mazungumzo yetu ilikuwa kama ifuatavyo: Mimi: Mambo vipi kaka, habari za siku? Yeye: Salama kaka, vipi unaendeleaje na mishemishe huko ya maisha? Mimi: Salama tu kaka, Mungu anajalia uzima...
  4. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Nape ni mwanasiasa hodari kuliko Makamba

    Pamoja kuwa wote ni wana CCM lakini wametofautiana pakubwa sana, Nape yuko na moyo wa kuwatumikia wananchi. Makamba kila anachoongea hakitoki moyoni (anaweza kuongea kitu mpaka ukashangaa hivi huyu nae ni Waziri). Kwa kweli Nape namkubali sana mzee wa bao la mkono ila Makamba daaaa! kila...
  5. JamiiForums Tanzania Samsung One UI ni Version bora kabisa ya Android kuliko versions zozote za Android

    Kama unatumia Samsung siku ukishika simu nyingine za Android unatamani urudi Samsung mapema sana. Nimetumia Oxygen OS ya One Plus, Color OS ya Oppo, MIUI ya Xiaomi na nyinginezo lakini hakuna inayoifikia One UI ya Samsung kwa utamu wa mpangilio wa apps, fluidility, visual impressiveness nk...
  6. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Kuajiriwa ni bora kuliko kujiajiri

    Ndugu yenu wa damu naomba kupingwa na kuelekezwa kwa upole na kwa fact. After graduation mdogo wenu hapa nikapata sehemu ya kujishikiza Mimi ni mwalimu Physics na chemistry nikawa nalipwa 250k -300k huku nikipewa nyumba ya shule na huduma kama chakula cha mchana na asubuhi. Maisha Yale...
  7. JamiiForums Tanzania Ligi ya NBC iko juu kuliko CAF Confederation Cup. Al-Ahly Tripoli walifungwa 2-0 na Biashara United ila wametinga robo fainali na wanaongoza kundi

    Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli hao hao walichezea kichapo cha bao 2-0 kwa biashara united kwenye hatua za mwanzo mwanzo na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mugalu ni bora kuliko Mayele 50!

    Alhan wa sahlan Ukicheki tathmini ya Mshambuliaji machachari Christiano Mugalu aka (the animal) toka ajiunge na Magwiji wa soka nchini Tanzania, yes naizungumzia Simba de sportive club ukipenda waite wekundu wa msimbazi zinaonesha kuwa ndie mshambuliaji bora zaidi kutoka nchini DRC kuwahi...
  9. JamiiForums Tanzania Kinana: CCM ni kubwa kuliko Serikali

    "Kasema CCM sio chombo cha serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka Serikalini, ila Serikali inapokea maagizo kutoka CCM, hii ni kupitia ilani na sera zilizotungwa na viongozi mbali mbali wa Serikali!" Huu...
  10. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu mfupi wa kitaa Uzunguni-unapingana na dhana ya kuwa 'Wazungu pekee ndio watu waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili'

    Nilipokuwa mdogo niliamini dhana ya kwamba.. i) Wazungu wote ni watu wenye waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili kuliko akina sisi wa kwa Mtogole na Buza kwa Mama Kibonge.. Kabla sijatembelea nchi za Ulaya niliamini dhana hii. Lakini baada ya kufika Ulaya na kusoma nao darasa moja...
  11. JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan iko imara kuliko kipindi chochote

    Toka Chama cha Mapinduzi kuundwa mwaka 1977 kimepita baada ya kuunganishwa kwa vyama vya Tanganyika African National Union na Afro - Shiraz, CCM imekuwa Imara, Bora na yenye mshikamano kuanzia ngazi ya chini kabisa mpaka ngazi ya Taifa kuliko kipindi chochote cha uhai wa CCM. Kabla Mama Samia...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Katiba Mpya, ukweli anaougopa CCM kuliko ukoma

    Inafahamika kuwa katiba mpya ndiyo ulio mwisho wa CCM kuwa madarakani. Kwenye katiba mpya CCM ni wepesi kama KANU Kenya au UNIP Zambia. Hawatakaa waikubali hali hiyo. Ni hivyo hivyo kwa ZANU PF Zimbabwe, RPF Rwanda au NRM Uganda. Bila usawa na haki hawana madaraka. Kwa sababu hiyo safari ya...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha ya Ukraine kwasasa ni bora kuliko maisha ya bongo!

    Natamani kuishi Ukraine kwenye vita mana kule hakuna umbeya umbeya mitandaoni.... Huku bongo mara huyu katoka na huyu... Mara Steve sijui kafanyaje... Mara huyu katupia utupu wake.... usipotembelea gar utambia masikini, mara umefirisika.... Mara post kali zakina Mangekimambi na kigogo ...
  14. JamiiForums Tanzania Men Talk: Kuhusu Single Mom's

    Habari MMU Niaendee moja kwa moja na hoja yangu, Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana kwenye mitandao, nimeskia stories vilingeni na kushuhudia baadhi ya mikasa kuhusiana na hawa dada zetu. Kote huko comments kutoka kwa wanaume huwa ni mbaya tu, kejeli , matusi na lawama nyingi sana, Wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Waziri, kuna moto unafukuta Diamond Vs Serikali (Hakuna Msanii Mkubwa Kuliko Nchi)

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amewataka viongozi wa BASATA na COSOTA kuhakikisha wasanii wote wanasajiliwa hususani wale wakubwa ambao mpaka sasa hawajasajiliwa kwani hakuna msanii mkubwa kuliko Nchi. "Nitoe maelekezo kwa COSOTA na BASATA hatutegemei kusikia wasanii...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kweli vya zamani ni bora kuliko vya sasa?

    Utasikia wazee au watu wazima wakisema vya zamani ni bora kuliko vya sasa hivi, ina mana magari ya zamani ni bora kuliko ya sasa hivi, redio zao zilikua bora kuliko masabufa ya sasa hivi; nguo zao zilikua bora kuliko za sasa hivi; tv viatu simu na vinginevyo au wanatutia kamba? Hata mademu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Tawala za kifalme zilikuwa bora kuliko za kidemokrasia

    Kwenye utawala wa kifalme, nchi na serikali ilikuwa ni mali ya mfalme. Tofauti na kwenye demokrasia ambapo nchi na serikali ni mali ya wananchi wote, wakimuweka Rais kuwa mdhamini. Binadamu ni social animal, na kwenye social animals wote kuna pecking order. Zamani waliokuwa wanakuwa wafalme ni...
  18. JamiiForums Tanzania Kiongozi ni sawa na nyama, ikioza inatia kinyaa kuliko mchicha

    Nyama na mchicha zote ni mboga, tofauti yao ni utamu na gharama! Nyama iko juu ya mchicha! Cha kushangaza vyote vikioza nyama inanuka na kutia kinyaa sana kuliko mchicha. Maana yake ni kwamba vitu vyenye thamani vikioza vinanuka kuliko vitu visivyokuwa na thamani, kosa la kiongozi linanuka...
  19. JamiiForums Tanzania Njaa inaweza kutufundisha kuliko Walimu

    NJAA INAWEZA KUTUFUNDISHA KULIKO WALIMU. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala mkubwa juu ya pembejeo za kilimo kupanda bei mara dufu. Bahati mbaya toka mijadala hii imeanza hakujawa na suluhisho. Wapo wanaojaribu kutengeneza sababu kuwa kupanda Kwa pembejeo za kilimo kunatokana na...
  20. JamiiForums Tanzania Elizabeth Báthory: Muuaji wa kike aliyeua watu wengi kuliko mtu yeyote

    Uhalifu wachache wa wanawake umejirudia katika historia kama ule wa Countess Elizabeth Báthory de Ecsed. Hata kama hujui jina hilo, basi kuna uwezekano kwamba umesikia hadithi kuhusu huzuni yake ya hadithi. Labda unafahamu kwamba ana heshima ya kutiliwa shaka ya kuwa muuaji wa kike mwenye uwezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…