kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya hawa mabinti wa kibongo celebrities, yupi hasa ni MVP kuliko wote?

    Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Tanzania kuna wanawake ambao pasipo kuangalia mazingira ya walipotoka, ila kwa sasa wapo kwenye daraja la juu sana, both kwenye upande wa umaarufu, pesa, high networth connections etc Na kila mmoja ukimtizama na harakati zake, unakuta kwamba sio za kitoto...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini ni rahisi zaidi binadamu kukorofishana, kuchukiana au kutengana kabisa na baba zao kuliko mama zao?

    Ukifuatilia familia nyingi ambazo zina utengano mara nyingi utakuta baba ndio katikati ya migogoro. Watu wengi sana huwa wanatengana na baba zao kabisa ila ni nadra kutokea hivyo kwa mama zao hata kama wanatofautiana huwa ni kwa kipindi kifupi tu kisha mahusiano yanarejea ila upande wa baba ni...
  3. JamiiForums Tanzania Mtu asiyewatunza watu wa nyumbani kwake ni mbaya kuliko atheist

    Katika jamii yoyote yenye maadili mema, jukumu la kuwahudumia na kuwatunza watu wa nyumbani ni la msingi sana. Biblia katika 1 Timotheo 5:8 inasema: “Kama mtu hawatunzi wale wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani mwake mwenyewe, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.” Mbele za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Kizazi cha sasa kimejaa wajinga kuliko Babu zetu- Shikamoo TAL

    Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii...
  5. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki yarindima, wana Kanda ya ziwa kufurika Mwanza 30 April 2025 Rais Samia akizindua daraja refu kuliko yote Afrika Mashariki

    Kazi iliendelea. Kenya wameandika Afrika Mashariki imetanda habari za uzinduzi wa daraja refu kuliko yote katika ukanda huu. .
  6. JamiiForums Tanzania Kuna tunda tamu kuliko hili duniani kweli???

    utamu wake ni zaidi ya papuchi
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanuni za maadili ya uchaguzi zinakuwaje na nguvu kuliko katiba?

    Yaani, Katiba ya Tanzania itoe uhuru wa vyama vyote kushiriki uchaguzi, halafu miezi sita kabla ya uchaguzi tume ya uchaguzi ijifungie ndani na kuja na kanuni za kutakiwa kusainiwa kwanza na vyama vyote ili vyama hivyo vipate sifa ya kuja kushiriki uchaguzi miezi sita ijayo! Tangu lini kusaini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wengine wanavifuata hivi vyama vya upinzani kishabiki

    Nimefuatilia sana kwanini baadhi ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini wanapendwa sana na wananchi, kwa mfano Askofu Bagona anayefanana kichwa na msanii Mwijaku amekuwa akiisema sana vibaya serikali kwa kisingizo cha uhuru wa kutoa maoni, kauli zake zinatumiwa sana na wapinzani wa serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kuwapiga Tariff Mangi (Dukani) na Dada Poa; Nimegundua Nanunua sana kwao kuliko wao Kwangu

    Ni kama utani ila ukiangalia ndicho kinachotokea sasa; dunia imeanza ku-equate International Trade kama ni Zero Sum Game yaani Pesa nilizotumia kununua bidhaa zako dhidi ya pesa ulizotumia kununua bidhaa zangu na sio faida gani nimepata kwenye uhusiano wetu... Ni kweli dada poa hajawahi kunipa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini mke mdogo hupendwa zaidi kuliko mke mkubwa?

    Hii nimeiona hasa kwa wenzetu waliooa mke zaidi ya mmoja Yan ni Kama wanaigana hii Tania. Kuna Siri gani imejificha?. Mimi mwenyewe nimelishuhudia kwa baba yangu Yani upande wa hi mkubwa huku hatuna sauti Kama upande wa bi mdogo. Je no kwanini wanaume hupenda zaidi bi mdogo kuliko bi mkubwa?
  11. JamiiForums Tanzania Bora Onana kuliko Anteba

    Bora Onana kuliko Anteba nimemaliza sitaki maswali mengi.
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kuu ya Kwanini naielewa sanaa FAIDA FUND kuliko UTT AMIS

    Kuna wale raia huniuliza ""Kwanini unaipenda Faida Fund kuliko UTT?? Na hili ndilo jibu lake. Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit. FAIDA FUND. UTT Anyway:- Tuendelee kutafuta hela #YANGA_BINGWA #YNWA
  13. JamiiForums Tanzania Mechi ya Tabora United vs Young Africans inazungumziwa kuliko mechi ya Shirikisho

    Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana habari nayo Haya mashindano ya shirikisho ni sawa na mashindano ya shule yaani UMISETA au Yale ya golf...
  14. JamiiForums Tanzania Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza?

    Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza? Tuangalie the power of Patnership Katika online business Ndio maana mara nyingi huwa tunawatumia watu wengine kuwafanya wapost huduma zetu kwenye...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

    Hapa kwenye uzi tunapozungumzia mwanaume tunazungumzia makundi yote 3, walio kwenye ndoa, ambao bado hawajaoa na vijana wanaojitafuta. Walio kwenye ndoa wengi wanakuwa na mpango wa kando yaani mchepuko au michepuko wanaoihudumia kama mke wa pili. Wanaume ambao hawajaoa na vijana wanaojitafuta...
  16. JamiiForums Tanzania Je, Umewahi Kujiuliza Maisha Yana Maana Gani? Labda Ulimwengu ni Mtihani, Maisha ni Somo; Kila Kitu Unachofanya Kina Maana Kubwa Kuliko Unavyodhani

    Ulikuwa njiani kurudi nyumbani, mawazo yakiwa mbali, labda ukifikiria siku yako ilivyokuwa—halafu ikatokea. Ajali ya gari. Hakukuwa na kitu cha pekee kuhusu ajali hiyo; ilitokea ghafla kama zilivyo ajali nyingi. Haikuwa na ukatili wa sinema au miujiza isiyoelezeka. Ilikuwa tu… mwisho wako...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Heri Mchina anaepunguza ukali wa maisha kuliko mzawa anaetupiga, usumbufu wenu unatufanya tuzidi kujaa kwao, Mchina haendi popote, HERE TO STAY !

    Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha. Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa mpaka elf 30, mchina anakuja kuuza kwa bei rahisi mnaanza kulia Uzalendo, ni uzalendo gani huo wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nini kinafanya taxi kuwa na bei juu kuliko wasafirishaji wenzao wengine kama bolt bajaji

    Kwa maeneo mengi ada yao ni mara 2 au 3 ya wenzao wengine kwa mfano ukiwa dar town centa unaenda ubungo utalipishwa elfu 20 hadi 30 au upo eapoti pale dodoma ukachukua taxi ikuzungushe ikakuache pale chakonichako yaani upande wa pili wa apoapo uwanjani utalipa elfu 30 wkt ukichukua bolt kama...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Lema: Kuchagua mama bora kwa ajili ya wanao ni muhimu zaidi kuliko kuchagua mke mrembo kwa ajili yako

    "Choosing a good mother for your kids is more important than choosing a beautiful wife for yourself... Please say it again !!!" Godbless Lema
  20. JamiiForums Tanzania Kati ya bati za ALAF na ANDO zipi ni bora kuliko nyingine?

    Wataaalam wa uezekaji mnaweza kutusaidia Kwa hili. Na vigezo vya ubora ni vipi? Jee Gauge 28(Geji 28) ya Ando ndiyo geji hiyo hiyo Kwa ALAF. Yani kipimo cha geji ni kimoja kwa mabati yote? Kama kipimo cha geji kwa mabati yote ni kimoja, Sasa nini kinacholeta utofauti kwenye mabati toka kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…