Mange Kimambi ni mkubwa kuliko CHADEMA wenyewe

Ashampoo burning

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
1,299
Reaction score
3,976
Mange kimambi kwa sasa ushawishi wake katika siasa za tanzania ni sawa kabisa na chama cha siasa kimoja

Mange kimambia aliiingia kwenye siasa rasmi mwaka 2015 wakati huo alijaribu kugombea jimbo la kinondoni kupitia ccm hakupita kura za maoni akabaki kama mwanachama na tukaingia kwenye uchaguzi mkuu ambao ccm ilikuwa na wakati mgumu kutoka na lowassa kuhamia chadema

Sasa mangekimambi akashika usukani kama kuanza kutetea ccm na kuwa mpambe wa magufuli mitandaoni kiukweli kazi ile aliifanya kwa bidii kubwa sana aliweza kutoa siri za lowasa kila kukicha hadi mafile yake ya ugonjwa na alifanya vile sababu alikuwa yupo ccm..

Lakini mwanadada huyu kwenye mitandao hajaanzia 2015 ameaanza toka enzi blogging ambapo yeye alikuwa na blog ya uturn ambayo nayo ilideal na umbea blog ile nadhani aliifungua 2007 au 2008 ilikuwa inatoa siri za kimbea sana ...pia wengine sijui kweli au laa wanasema yeye ndo alikuwa nancy wa rahatupu hapa kama wewe mzee wa kuzimu utamkumbuka nancy wa rahatupu moja ya chamber ya kuzimu za miaka hiyo

Sasa mange baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 watu wanasema magufuli hakuonesha dalili za kumshukuru kwa kazi kubwa aliyoifanya kwenye uchaguzi kiukweli hata mimi mwenyewe nilishangaa kwanini magu hakuwahi kusema hata asante ya kisiasa ya cheo au chochote kile maana kweli mange aliifanya kazi kubwa sana kuweka taswira ya ccm na magu mwenyewe online iwe nzuri..... basi 2016 kwenda mbele magu na mange wakawa paka na panya hadi alivyokufa yeye anasema magu alikuwa dikteta ndo maana walipishana..

Turudi 2025 chadema walikuwa na ajenda yao ya no reform no election ambayo ilikuwa ipo kawaida mange kimambi kaja kuwapiga jack hayo yote yanaendelea kwenye mitandao sijui waandike kwenye page za viongoz na wasanii ni tangazo la mange kimambi aliwaambia followerz wake .... so mange kimambi ni mkubwa kuliko hata chadema yenyewe ....

Pia mange kimambi huwa ni tishio kwa ccm kuliko hata chadema kama unakumbuka aliwahiitisha maandamano polisi walitoka nchi nzima so hii inaonesha huyu dada kwenye siasa za tanzania yeye kama yeye ana nguvu kubwa mno ...

Maoni yangu juu ya no reform no election .... haina mantik yeyote maana kama chadema wasiposhiriki uchaguzi mwaka huu wakategemea eti ccm itaona aibu sababu wao hawapo wanajidanganya pia kuhisi wananchi watatoka kuandamana siku ya uchaguzi wanajindanga so no reform no election ni nzuri kuiskia ila inaenda kumpitisha mama samia bila kupingwa mwaka 2025.... ilibidi chadema wapigane ndani ya uchaguzi na nje ya uchaguzi ...wamechagua kupigani nje ya uchaguzi

...pia wamshukuru sana mange kimambi amewapa jeki .....na jeki ya mange kimambi ndo iliyoleta hayo yote ya mitandaoni sio chadema.

nawasilisha boss ashampoo
 
Kipindi chote mlikuwa wapi kutupa huu wasifu mpk mange aanze kuhamasisha no reform no election, ndio mnaibuka?

Watanganyika tunajielewa...hatudanganyiki .. njoeni na hoja.
Alafu chawa mlivyo mizigo.. yani mtu akiwabana sehemu bila mje na hoja mnakimbilia kumuatack mwenyewe binafsi..
#NRNE
 
Hivi anayewaandikia hizi mada mna hakika hsugui kichaa? Ah mnaandika wenyewe? Huwa mnajiridhisha kwamba hamjaandika ujinga kabla ya Ku post?
 
Umeandika uchuro
 
acha kumpa kiki huyo mpuuzi, hakuna anaeshuhulika nae zaidi ya wapumbavu wenzake.
 
uharo mtupu!

anapita bila kupingwa?!? kwani wenyeviti wa vitongoji walipitaje Nov.24

hata akijipitisha 2025 miaka mi5 ijayo hatayafurahia maisha yake ya ukandamizaji!
 
Nimeshindwa kumaliza kusoma ila tukubaliane kuwa
No Reform No Election
 
Kipindi chote mlikuwa wapi kutupa huu wasifu mpk mange aanze kuhamasisha no reform no election, ndio mnaibuka?

Watanganyika tunajielewa...hatudanganyiki .. njoeni na hoja.
Alafu chawa mlivyo mizigo.. yani mtu akiwabana sehemu bila mje na hoja mnakimbilia kumuatack mwenyewe binafsi..
#NRNE
Personal attack
 
Back
Top Bottom