Vikao vya siri kuelekea maandamano tare 29.
Nairobi anaratibu MARIA SARUNGI
LEMA ataratibu CANADA
US anaratibu MANGE akishirikiana na NGURUMO.
Baadhi ya viongozi watashiriki kupitia mtandao.
Mpango ni kusafirisha vijana kutoka Kenya kwa siri na watahifadhiwa kwenye nyumba za ibada za dhehebu...
Huyu aliyepanga maandamano siku ya uchaguzi nimpe maua yake
Sasahivi kwenye Kampeini za uchaguzi wazungumzaji wote wanazungumzia maandamano tu.
Madaraja makubwa kama Tazara,Kuta za majengo ya serikali yameanza kuchorwa SAMIA MUST GO. Hii kwangu sio good sign.
Leo hii Samia ni wakuwaambia...
Hamjambo!
1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini.
Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano.
2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki.
3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern Rhodesia (Zimbabwe) miezi michache baada ya Southern Rhodesia kuwa koloni la Uingereza. Watu wake...
Ukiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh!
Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au?
Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!
Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome.
Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja.
Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili...
Wametumia miaka mitatu na nusu tu kujenga na kumaliza kabisa daraja lote, kwa mwendo huu ndio maana Wachina wameridhika na utawala wa uimla wa Wakomunisti maana ni kama wanawatendea raia wao miujiza katika maendeleo.
Andrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu.
Aliona vema...
1. Pamoja na kwamba uchaguzi wetu umekuwa haramu siku zote ila kuandamana Kwa wakati huu inaweza leta matatizo makubwa.
A. Nguvu itatumika kubwa kuyazima hivyo kupelekea watu kuumizwa sana.
B. Kuna matukio ya kitaifa yatakayofwatana mfululizo kwenye wiki la mwisho la October na wiki la mwanzo...
Mara nyingi kipindi cha uchaguzi pesa nyingi mno hutumika kwenye kampeni na mbilinge mbilinge za hapa na pale kuhakikisha chama tawala kinabaki madarakani kwa namna yoyote ile mwisho wa siku uchaguzi ukitamatika hazina inabaki nyeupe na watanzania huwa wanakuwa kwenye kipindi kigumu mno cha...
Kwenye kufanya mapenzi mara nyingi wanawake wanafaidi zaidi kuliko wanaume.
Wakisuguliwa ni utamu wa hali ya juu, wakikojolewa yaani hadi mashetani yatapanda, wakikojoa wenyewe yaani hadi neno ambalo hukuwahi kulisikia utalisikia.
Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM na viongozi serikalini. Mbosso ambae ni msanii wa mziki kuachia trailer ya MAD MAX iliyofanywa kwa...
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.
Akizungumza leo Ijumaa, Septemba...
Kwa wale ambao ni wageni forex na wanatamani kuingiza ela,, ni vema ukaanz ana pair KSH/TSH kwa lugha nyepesi unawezaa kuplay part kama wale jamaa wa border na ukatengeneza pesa nzuri, miaka 8 nyuma nlianzaga kutrade ksh/tsh mpakani lakini ata nliondoka bado nliendelea kutrade mjini, issue iko...
Wadau kwema,
Wiki hii kumeibuka video ya kijana mdogo maarufu kwa jina la Kunku (Mtu wa kazi), ambaye ametrend mitandaoni baada ya kukutwa akiiba mbao zilizokuwa zikitumika kutengenezea mabango ya moja ya wagombea urais kuelekea uchaguzi wa Oktoba 2025. Kijana huyu, akiwa na sura ya uchovu na...
Kwanini nimeandika Uzi huu?
Kuna Uzi mmoja nimeusoma humu na kuna jambo moja wiki iliyopita lilitokea.
Jamaa mmoja tulionana kujadili issue fulani ya kibiashara (dili). Jamaa anaona kama namtupa kwenye game akataka kujua kikwazo nini. Nilimweleza jambo la kawaida tu ila jamaa akawa serious...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.