kulala

Kulala (plural: Kulals, also known as Moolya) is a caste of India.
The Kulala community is found primarily in the Kasaragod district of Kerala state in India, where they have several exogamous gotras, including Banjan, Banjera, Salian and Upian. They speak the Tulu, Kannada and Malayalam languages. Another Kulala community exists in Andhra Pradesh, where they speak the Telugu language and are also known as Kummara and variants of that name, such as Kumbara and Kummari.The traditional occupation of Kulala people is making pottery, although in the present day their occupations also include government service and wage-labour. Despite this, they held the respect of other communities and their product was an essential item.

They belongs to other backward class.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siwezi kulala njaa inauma, nipo ugenini

    Guys nipo mkoa fulani sasa mchana nilikula ugali nikaleta zile mbwembwe za Dar za sili usiku zaidi ya matunda tu, Sielewi nini kimetokea ila njaa inaniuma siwezi kulala na siwezi kutoka kutafuta chakula wala sina mtu ninayemjua nimuagize, Tumbo linaunguruma, baridi kali kuna vibiscuti wala...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Confession: Juu ya kulala na wake za watu

    Lengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena. Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu.. Naishi Mkoa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuogopa kulala na demu aliyeamua kukupa Chiu bure

    Hlw Mtaani kwangu fame ilikuwa kubwa sana na sikuwa mtu wa totozi nilikuwa na bebe yangu Moja tu najipoza nayo na haikuwa ya hapo mtaani , videmu vya mtaani vilikuwa vinaniona kama naringa sababu sijachukua kazi mtaani, miaka ikaenda nikapata safari mkoa kikazi nikakaa huko kama miaka 6 hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Alikuwa amejiandaa kunyanyua simu alipoona chawa kakataliwa live, akaenda zake kulala

    Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake. Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo...
  5. JamiiForums Tanzania Ni sahihi John Heche kumuacha Dereva wake kwenda kulala Chumba cha Sh. 3,000/=?

    Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Ukioa au kuolewa hupaswi kulala na nguo za ndani?

    Hivi hili ni la kweli kwamba ukishaoa ama kuolewa hupaswi kulala na nguo au ni utaratibu mtakao amua kuuweka Kati mtu na mwenza wake Maana kiukwel sijajiandaa kisaikolojia kulala bila nguo hata za kulalia Hapa nataka watu wazima watuambie ukwel sis vijana wao
  7. JamiiForums Tanzania Hoteli ya Mapito Safari Camp, Serengeti, kulala Usiku mmoja ni Milioni 4.5 hadi Milioni 7. Nani mmiliki?

    Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman? Gharama ya kulala pale usiku mmoja, inaanzia milioni 4 hadi Milioni 7 na kuendelea kutegemeana na Msimu. Akanijibu...
  8. JamiiForums Tanzania My CIDP Experience: Hivi ulishaumwa hadi ukaogopa kulala sababu unaweza pitiliza moja kwa moja usiamke?

    PART 1: Hello bosses and roses.... Leo nimejaribu kuingia jamiiforum bila VPN na ikakubali, hongera sana kwa boss kubwa Maxence Melo na team yote ya JF, nina muda sana sijaandika makala humu, naomba niandike makala hii labda itawasaidia baadhi ya watu Daah, maisha haya ni fumbo sana. Ni...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Kuna tabia ya kike imeingia miongoni mwa wanaume kulala kwenye vitanda vya kike

    Hii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF! Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa. Hivi vitanda vimekaa kikike na vinapendwa na wanawake
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke amfikisha mwanaume mahakamani akitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye angalau kwa mara moja tena.

    Mwanamke mmoja huko Lusaka, Zambia kamfikisha mahakamani mwanaume aliyalala naye mara moja na kuitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye tena kwa mara nyingine. Hii ni baada ya mwanaume kupiga Hit & run. Kwa mujibu wa huyo mwanamke ni kuwa mara baada ya kulala na mwanaume huyo hajawahi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na sehemu ya kulala usiku shukuru sana, usiku ni mrefu sana kama umekosa pa kulala

    Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka. Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake. Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala. Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni...
  12. JamiiForums Tanzania CCM Haiwezi Kulala: Rais Ashuka Shina

    CCM haiwezi kulala, Rais wa nchi asingekuwa anakaa kwenye vikao vya kawaida vya shina kusikiliza wanachama. Chama kinatuma ujumbe mkubwa kwa wanaodhani chama kimepoteza mwelekeo.
  13. JamiiForums Tanzania Ramani ya vyumba 3 vya kulala simple hii hapa

    Habari leo nimekuletea raman ya nyumba ya vyumba 3 vya kulala ina vitu Vifuatavyo master bedroom vyumba 2 vya kulala visivyo na vyoo seble jiko store baraza ya mbele baraza ya nyuma na choo cha wageni inachukua Mita 12 kwa mita 11 unaweza ukaangalia baadhi ya kazi zetu pia hapa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kitima: Kijiji ninapotoka hakuna Mawasiliano nikienda ziara nipo gizani, nalazimika kulala mjini

    Mbunge wa Jimbo la Ikungi Mashariki, Thomas Kitima Mgonto akiwa Bungeni Dodoma Leo Aprili 22, 2026 amehoji Serikali ni lini itajenga minara ya Mawasiliano akieleza Vijiji vingi katika jimbo hilo hakuna mawasiliano jambo linalofanya akienda kwenye ziara ni kama yupo gizani na kulazimika kulala...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke Hubeba DNA za Wanaume Wote Aliowahi Kulala Nao? Mtazamo wangu ni huu

    Kuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa kama amekuwa na wanaume 5 au 10, basi anatembea na DNA zao wote, na huenda hata watoto atakaokuja...
  16. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni?

    Wakuu Katika jamii nyingi za Kiafrika, hasa katika mila na desturi za Kiswahili, kuna maadili yanayoongoza mahusiano kati ya mwanaume, mke na familia ya mke. Wapo baadhi ya watu wanaona kuwa si sahihi kwa mwanaume kulala ukweni na wengine wanaona hakuna shida yoyote. Tuzungumze kidogo kama...
  17. JamiiForums Tanzania Niliwahi tumia chumvi kuzungushia katika kila angle ya kitanda, usiku nilihangaika sana kulala, ndoto mbaya na taflani kubwa ambayo sijawahi ona

    Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
  18. JamiiForums Tanzania Hivi askari Mtanzania unampigaje risasi Mtanzania mwenzako anayetii amri zako ikiwa kulala kifudi fudi

    Jana nimeangalia report ya DW kuhusu mauaji Serikali wanasema waliuwa waandamanaji, wezi na vibaka lakini cha kushangaza polisi walifika mtaani na majumbani kuuwa kila Mtanganyika aliyeonekana machoni pao 1. Hivi askari Mtanzania unakuta vijana Kisesa Mwanza wapo kibarazani wanakula chips...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kupata usingizi mchana

    Tafadhali husika na mada apo juu mm ni muungwana ambae natamani kupumzika mchana siku nikiwa sina pirika ila naishia tu kukaa kitandani bila kupata usingizi hii hali inanisumbua sana ila usiku nalala vizuri tu hii imekaaje wakuu
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kuzuia watoto wadogo kwenda shule za kulala (boarding school)

    Ndugu zangu naombeni msaada Nina mtoto anaingia darasa la pili 2026. Sasa baba yake analazimisha mtoto aende shule ya kulala bila sababu za msingi na huku Sheria hairuhusu. Nipo hapa kuomba mtu anayeelewa anisaidie maana naona nimemshauri sana hataki, kwa hiyoo nahitaji kwenda kwenye Sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…