kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. JamiiForums Tanzania kuahirisha shughuli muhimu ili kula tunda, kama iliwahi kukutokea weka hapa mkasa wako, naanza mimi

    Yalinikuta !, Niliahirisha kwenda interview niliyoisaka kea muda ili nile tunda Nakumbuka kuna kipindi wakati natafuta kazi kuna sehemu nilii apply na kweli nikapigiwa simu kwamba siku ya jumatatu niende, nikatumiwa pdf ikaonesha nafasi niliyoomba inabidi nifike saa nane mchana Siku ya ijumaa...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka nianze kula kitimoto

    Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha
  3. JamiiForums Tanzania Mtu mmoja auawa India kwa kula nyama ya ng'ombe

    Hizi dini bana, kwa waislamu ukikamatwa unakula nguruwe ni hatari, kwa wahindu ukikamatwa unakula ng'ombe ni hatari. Watu wanaishi kwa kupangiana cha kukula kwa maagizo ya miungu wao ambaye kila mmoja hamtambui 'mungu' wa mwenzake. Police in India have arrested three men in eastern Bihar state...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeghairi kula tunda baada tu ya kuniambia ameishi njombe zaidi ya mwaka

    Kuna demu nimemtongoza akaeleweka lakini aliponiambia tu amewahi kuishi njombe zaidi ya mwaka mmoja, stimu zimekata kabisaa, hii ni kutokana na story ninazozisomaga humu jf kuhusu njombe Asanteni
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kula samaki na dagaa

    Habari zenu wanajamvi Mimi nina tatizo la kushindwa kabisa kula samaki, dagaa na vitumbua. Vitu hivyo nilivyoorodhesha hapo mwanzo vilikuwa ndio vitu navyovipenda sana nilipokuwa mdogo mpaka kufikia umri wa miaka 13 ndipo mambo yakaanza kuharibika. Tatizo lilianza kwa kushindwa kula samaki...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ulishindwa kula tunda kimasihara?

    Hii ni opposite thread ya ile ya kula tunda kimasihara. Kuna wakati tumewahi kuwa kwenye mazingira yenye opportunity ya kula/kuliwa tunda kimasihara ila tukashindwa/kuponyoka. Binafsi nilishapata opportunity hiyo kwa dem na nikashindwa. Opportunity ya dem niliipata nikiwa field 7 years ago...
  7. JamiiForums Tanzania Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

    Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mwezi mzima nimeamua kula Kiazi utamu, Muhogo na Kiazi mbatata kwasababu vyakula vya mafuta na nyama mtaani sina imani navyo, nipo sahihi?

    Nipo kikazi mkoa flani pande bush ndani ndani, na kwakweli nilichoona huku mitaani chakula sina imani nacho, Nimezoea kula chakula safi kilichopikwa nyumbani na hata mchana huwa nalia nyumbani ama naletewa chakula kilichopikwa nyumbani, mara kadhaa tunaenda hotelini ama restaurants nzuri na...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro aachiwa huru. Asema aligoma kula kwa siku tatu

    MBUNGE wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ambaye alikuwa anashikiliwa na Polisi mkoani Arusha ameachiwa kwa dhamana usiku wa leo Jumatano Agosti 23, 2023. Akizungumza baada ya kuachiwa Ole Shangai amesema kwa siku tatu tangu alipokamatwa aligoma kula. Pia Soma: - Mbunge wa Ngorongoro bado...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, mara ya mwisho kula hii kitu ilikuwa lini?

    Wanaume tumekuwa tukiangaika sana juu ya kufanya vizuri tuwapo kwenye tendo, wapo wanaotumia sijui mkongo, vidonge, energy drinks nakadhalika ili kuwa na pafomansi nzuri kwenye tendo. Hivyo vyote hapo juu vina madhara kiafya tena vinakumaliza kabisa maana kuna kipindi usipovitumia hivyo huwezi...
  11. JamiiForums Tanzania Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa! Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW. Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na...
  12. JamiiForums Tanzania Kuuliza Bei Kabla ya Kula uwapo Outing ni Akili na kujiamini lakini Malofa huona aibu

    KUULIZA BEI KABLA YA KULA UWAPO OUTING NI AKILI NA KUJIAMINI LAKINI MALOFA HUONA AIBU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mmetoka out, mmefika kwenye mgahawa, mnaagiza chakula. Huoni aibu kuagiza chakula lakini unaona aibu kuulizia bei Kabla ya kuagiza. Hivi unaakili kweli? Ukiitwa Mshamba...
  13. JamiiForums Tanzania Umerogwa sio bure: Unang'ang'ania Dar es miaka mingi, kula kwa shida, kulala kwa shida, unasafiri kwa shida huku kuna ardhi Tanzania haina mwenyewe

    Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu. Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu. Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu. Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote. Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna...
  14. JamiiForums Tanzania Ally Bananga, alimnanga Paul Makonda kwamba ni Ziro Bashite, ila leo kula kwake hadi Makonda aamue

    Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi. Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob...
  15. JamiiForums Tanzania Ubunifu wakati wa kula tunda la mti wa Eden unasaidia kujenga legacy yako kwenye anga za mahusiano

    Habarini nyote Bazzukulu, Nawakumbusha wanaume kuwekeza kwenye ubunifu wakati wa kula tunda ikiwa ni pamoja na kuicheza ngoma ya mlo wa tunda kwa kumkatikia mwanamke mauno yenye ustadi wa hali ya juu sana. Hii itasaidia kuacha legacy yako nzuri kwa washirika wako. Nisiwachoshe ni hayo tu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais aliyepinduliwa Niger aamrishwa kula wali mkavu bila mboga

    --- Experienced journalist and public affairs analyst Chuks Ohuegbe has come forward to respond to the ousted President's comments regarding his treatment by the detaining soldiers under Mohammed Bazoum's prolonged arrest by the military junta that has taken control of the Niger Republic...
  17. JamiiForums Tanzania Faida sita kubwa za kula ndizi mbivu na angalizo la kutokuweka ndizi kwenye friji

    Ndizi ina aina tatu za kipekee za sukari zinazojulikana kitaalamu kama Sucrose, Fructose na Glucose na pia ina kiasi kingi cha ufumwele (fibre), ambacho husaidia sana katika usagaji wa chakula tumboni. Pia, ndizi ina uwezo mkubwa wa kuongeza na kuimarisha nishati ya mwili. Unaweza kupata...
  18. JamiiForums Tanzania Kuosha mikono safarini, wakati na baada ya kula

    Jana nilikuwa Safarini kutoka Moshi Dodoma, nilipanda Bus ya Shabiby, tulipofika Babati tukashuka kula, nilipofika eneo la kuchukua chakula nikagundua Siku tatu mfulizo nimekula chipsi so siwezi kula tena chipsi nikasogea kwenye wali na Samaki nikavutiwa, nilipochukua msosi nikawaza kuchukua...
  19. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumwaga chakula au mboga yote muda mfupi kabla ya kula, ulifanyaje kuokoa jahazi?

    Wapishi mko njema? Kwenye harakati za upishi ajali ni kawaida sana, ila zikidi wewe utakuwa hujui kupika ukatafute kitu kingine cha kufanya. Sasa bwana, kwa upande wangu, kuna kipindi tulikuwa tunahama nyumbani na kazi zilikuwa nyingi, moja ya jukumu langu ilikuwa ni kupika maharage (nikikupia...
  20. JamiiForums Tanzania Uzi mweupe wa Simba Sports ni wa moto, wana simba kaeni mkao wa kula

    Nimefanikiwa kuchungulia jezi za Simba za ugenini hizi nyeupe ni nzuri sana sijawahi kuziona aisee. Wana Simba kaeni mkao wa kula kwa uzi huu hakika vunjabei aliwachelewesha sana. Uzi ni mkali. Ikitokea hujauelewa niulize mimi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…