kukubali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mke mwema huwa anazungusha sana kabla ya kukubali. Makurumbembe yenyewe huwa fasta tu yanaingia nyavuni

    Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema. Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa: 1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material. 2. Mwanamke...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hebu tujadili kwa haki kuhusu hili. Unaweza kukubali mumeo/mkeo ashikwe hivi??

  3. JamiiForums Tanzania Ni taifa moja tu duniani limekuwa na watu wajinga kiasi cha kukubali kutawaliwa na mtawala kutoka nchi nyingine

    Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala. So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi...
  4. JamiiForums Tanzania Profesa Janab ukithubutu kukubali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, heshima yako itapukutika kama vumbi la majivu

    CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko. Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi...
  5. JamiiForums Tanzania The Guardian: Israel inapoteza vita dhidi ya Hamas lakini Netanyahu na serikali yake kamwe hawataki kukubali

    Wanakumbi. Siku kumi zilizopita, kiongozi mkuu wa kila siku wa Israeli, Yedioth Ahronoth, alichapisha habari zilizopatikana kutoka kwa idara ya urekebishaji ya wizara ya ulinzi. Mkuu wa idara hiyo, Limor Luria, aliripotiwa kusema kuwa zaidi ya wanajeshi 2,000 wa IDF wameandikishwa kuwa walemavu...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hizbullah: Utawala wa Israel haukuwa na budi kukubali usitishaji vita kwa kushindwa kukomboa hata mateka mmoja

    Nov 26, 2023 02:26 UTC Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia mashambulio ya ardhini dhidi ya Ukanda wa Gaza. Usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala wa Kizayuni...
  8. JamiiForums Tanzania Israel yapiga kura na kukubali kusitisha mapigo kwa siku tano ili HAMAS waachie mateka 50

    HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel. Pia haijaelezwa mateka wasio...
  9. JamiiForums Tanzania Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi

    Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano. Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka...
  10. JamiiForums Tanzania Kuomba msamaha na kukubali kosa ni janga kwa wadada wengi

    Akijitahidi sana kuomba msamaha utasikia "Sawa basi nimekosa" "Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse. Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
  11. JamiiForums Tanzania Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

    Wanabodi, Mjinga na Mpumba.. Leo naomba kuianza makala ya leo kwa angalizo kuhusu neno mjinga na mpumba. Mtu kuitwa mjinga ni mtu asiyejua, mjinga akiishafundishwa akajua, anaerevuka ujinga unamtoka anakuwa sio mjinga tena bali mwerevu! Mjinga aliyefundishwa na bado akabaki na ujinga wake...
  12. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni pongezi kwa Rais Samia na serikali yake, kukubali kubadili sheria ya uchaguzi, na kuunda Tume Huru ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania CCM ilishafeli kitambo sana sema hawataki Kukubali tu

    Miaka 60 ya uhuru ni jambo gani ambalo ccm wanaweza kujivunia wamelifanya na ku accomplish angalau kwa asilimia 60%. Wale maadui watatu waliotangazwa na Baba wa Taifa ujinga, maradhi na Umaskini vyote viko pale pale. Umee bado ni kero licha ya kuwepo kwa vyanzo vingi vya uzalishaji. Tuna...
  14. JamiiForums Tanzania Hatimaye Urusi yanyong'onyea na kukubali kushiriki ICC ili kujitetea

    Wakati hii kesi inaanza ya kuishtaki Urusi, nakumbuka Warusi asili na hawa wa humu JF kwa Mtongole walitukana sana na kusema Urusi haitotambua hii mahakama, sasa Urusi imekalishwa, imetuma wajumbe wa kwenda kujitetea. Ikumbukwe Putin anaishi kama digidigi keshaogopa kuhudhuria vikao vyovyote...
  15. JamiiForums Tanzania Mapungufu 10 ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania. Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpima mdada kama ana asilimia kubwa za kukubali au za kukukataa, kabla hujamtongoza

    Hii ni theory yangu nimeiwaza kichwani, sijajua kama ina efficiency ya walau asilimia 98% ya kutoa accurate results: Mfano umempenda mdada ambaye unaishi naye mtaa mmoja, college moja, darasa moja n.k mchunguze anapenda kinywaji gani especially soda za take away, mfano mdada anapenda Kunywa...
  17. JamiiForums Tanzania Unaweza kukubali kuadhibiwa endapo umekosea ukweni/mkeo?

  18. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hayati Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo

    Mimi nilikuwa namchukia sana Magufuli siwezi kumsingizia neno, "Magufuli alisema Mkapa na Kikwete wameuza nchi kwa mikataba mibovu akaanza kuivunja mikataba yote,tukashtakiwa" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi. "Magufuli alisema awa Wazee wameharibu sana nchi,tukamwambia...
  19. JamiiForums Tanzania Kuwaamini Wanasiasa wa upinzani wa sasa Tanzania ya leo ni sawa na kukubali kuwa hauna kabisa Akili Kichwani

    Kuna Mmoja wao kwa sasa Yeye, Mkewe na Watoto zake si Raia tena wa Tanzania ila Kutwa anazurula Mitaani na katika Media kutaka kuonyesha kuwa ana Machungu na Watanzania, anawapigania huku kila Siku Usiku Saa 3 anapiga au anapigiwa Simu na Kuongea kwa Furaha na Mtu Muhimu Tanzania huku akiwacheka...
  20. JamiiForums Tanzania Klabu kukubali Kualikwa kwa Kushtukizwa na Kukubali ni dalili ya Ushamba, Njaa na Kutojua Thamani yako

    Tunaojitambua na tusiopenda Mialiko ya kishamba na isiyo na Utaratibu hao Pre Season Ulaya ya Mbali Uturuki huko. Kudadadeki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…