kuku

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nyama ya bata tamu kuliko kuku ila adimu sana

    Kwa nini japo nyama ya bata ni tamu kuliko nyama ya kuku ila kuku ni maarufu na analiwa zaidi ya bata ? Ni vigumu sana kupata bata mgahawani au hotelini.
  2. westandtogether

    JamiiForums Tanzania Soko la kuku wa kienyeji Dar

    Habari wakuu . Nakuja mbele yenu wadau na wapenda maendeleo kuomba muongozo juu ya soko la kuku wa kienyeji Kwa Dar na majiji mengine mimi ni mfugaji ikiwezakan nipate connections ya maeneo ambapo nawez kuuza.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili, maji safi, matibabu,chumba safi cha umeme

    Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu Kichwa cha habari chahusika Niwatakie siku njema
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania India: Mwanaume ameza kifaranga cha kuku ili apate mtoto

    Dunia inamaajabu yake na vituko kutoka kwa binadamu! Sasa man anataka apate mtoto kwa kumeza kifaraga baada ya kuambiwa na mganga wa kienyeji. Ila hawa waganga wa kienyeji wa hovyo na wapumbavu si Afrika pekee duniani kote akili zao zinafanana ili kuwapoteza wajinga ambao wanaamini katika imani...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Leo nakutajia na kukuelezea aina 4 za kuku Asili(kienyeji pure) Kwa kina

    Itoshe kusema mko poa wakuu. Leo nimeona si vibaya ni share nanyi Kwa uchache japo aina4 za kuku wa kienyeji japo najua/mnajua Kuna aina nyingi sana za kuku Hawa. Mimi nitawajia Hizi aina 4 faida na hasara zao. Nitafupisha pale panahitajika tu. Mjue ya kwamba sio rahisi sana kupata kabila...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nina hofu kubwa na huyu kuku kaingia ndani kataga kwenye sofa na sijui katokea wapi, sielewi nifanyeje, au ni uchuro?

    Wadau hamjamboni nyote? Wenye elimu zenu mkiongozwa na ndugu mshana na bujibuji nipeni ushauri Niwatakie siku njema
  7. zerocreys

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

    Hello wana JF, chuo hivi punde, na nina pesa taslimu 300,000 je, nifanyie nini? Kuku naweza fuga,ila interview kila mara mkoani
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kisasa hawatagi, sasa chanzo chao ni nini?

    Jamani kwa wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, nimezoea kuwaona kuku wa kisasa na huwa hawatagi, swali langu vifaranga vyake vinapatikana vipi?
  9. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Abby Chams: Sijawahi kula miguu ya kuku wala firigisi, wala sijawahi kusikia sehemu inaitwa Mburahati

    Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui. Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia. NB Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema...
  10. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wa mayai wamegoma kutaga wanaelekea week ya 19

    Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo. Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao. Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16...
  11. wa kibondemaji

    JamiiForums Tanzania Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehemu ya chips, kuku, mishkaki, Je mtaji unatosha?

    Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi. Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuku kibudu aliyekufa akachinjwa ana shida gani?

    Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Nauza mabanda ya kuku makubwa sana

    Habari nauza mabanda hayo yako mawili ya kufugia yameisha kabisa na bado kuna kiwanja kimebaki kikubwa tu pembeni eneo lipo chanika mvuti mwisho sio mbali na barabara kabisa bei ni million6 kwa sehemu yote mawasiliano 0699361038
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nawasemea, mama kuna watu vyandarua vya msaada wanafugia kuku

    Kuna mtu aliwahi kupost uzi kuwa mwafrika hatakiwi kupewa bima ya afya ya bure na serikali kwa sababu ya ujinga wake Mwafrika ni wajinga,watakunywa maji machafu,watafanya ngono zembe na watu zaidi ya 400,watalala bila chandarua serikali kuwapa bima watu kama hawa lazima ifirisike tu. Kuna...
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kuku na Tai

    Hapo zamani za kale, Kuku na Tai walikuwa marafiki. Waliishi kwa amani na ndege wengine. Hakuna kati yao aliyeweza kupaa. Kuna siku njaa ilitokea. Ikamlazimu Tai kutembea umbali mrefu kutafuta chakula. Alirudi akiwa amechoka sana. “Lazima kuwe na njia rahisi ya kusafiri!” Tai alisema. Baada ya...
  16. monotheist

    JamiiForums Tanzania Leo nimeandaa tena kuku kama wa KFC, njoeni mjifunze

    Msela leo magetoni nikaamua kuandaa tena kuku kama wa KFC ni watamu sana yaani MAHITAJI NILIYOTUMIA; Vidali viwili, mafuta lita 1, unga wa ngano nusu, soya souce, curry powder, paprika, black pepper, unga wa pilipili inayowasha, chumvi na limao Mchanganyiko huu nimechanganya kwenye kuku na...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

    Jf saalam. Wakuu tukitazama tu Kwa jicho la kawaida hata bila kuingiza dini/Imani zetu hapa napata ukakasi sana. Ni kwanini Nguruwe pamoja na kupendwa sana na watu lakini sijawahi ona kwenye minada ya kawaida nguruwe nae anauzwa kama ilivyozoeleka kuona ng'ombe na punda wakiuzwa kwanini...
  18. Pisi kali

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa kuku wa nyama

    ..
  19. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku vimekufa vyote tatizo ni nini wengine hata vichwa hawana

    Nimeingia bandani na kukuta hali hiyo nimechanganyikiwa kabisa
  20. Fallback

    JamiiForums Tanzania Bila uwepo wa Dini nathibitisha kwamba Wanaume wengi wangekufa kama kuku wenye kideri

    Bila Salamu. Wanabodi ninathibisha kwamba bila uwepo wa DINI ya kikristo na kiislamu basi nawahakikishia Wanaume wengi wangekufa kabla ya muda wao. Wanawake wengi hawana huruma kwa Mwanaume namaanisha wengi na ninaposema wengi naomba nieleweke namaanisha wengi. Yaani kwenye Wanawake 10...
Back
Top Bottom