Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 502
- 1,140
Samia anaongoza nchi vibaya ba ukimkosoa machawa wake watakuambia unamkosoa kwa sababu ni
1. Mwanamke
2. Mzanzibari
3. Muislamu
Sasa hapa nina swali au maswali
Tunakubali kuwa Rais naye ni binadamu kwa hiyo anaweza kukosea kama tu binadamu wengine bila kujali dini, jinsia wala kabila.
Rais sio Mungu
Nami niulize, kwa mfano Rais wa kike akikosea, tumkosoe vipi ili tusionekane tunamkosoa kwa sababu ya jinsia yake? Kwa nini Rais wa kike akikosea, mnataka asikosolewe?
Vipi kama Rais aliyetokea Zanzibar akikosea, tunapaswa kufanya nini? Tukae kimya ili isionekane kuwa tunamkosoa kwa sababu ya Uzanzibari wake?
Na vipi Rais akiwa muislamu, tunapaswa kufanyaje akikosea? Au Marais wa Kiislamu ni Mungu, kwamba wao hawawezi kukosea? Nahanganyikiwa, yani duh... Inakuwa ngumu sana kumkosoa huyu mama na sisi tunaona kuwa anakosea
Na tunavyomkosoa tunataja sababu kabisa ila watu mnachukua mnahamishia kwenye dini. Sasa sisi tufikishaje ujumbe wetu? Kwa hiyo Rais akiwa muislamu asikosolewe?