kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Bwana Mwenda Alivyopoteza Milioni 95 Kwa Sababu Ya Kukosa Mikataba Na Msaidizi Wake

    Mikataba katika masuala ya ardhi na majengo ni nguzo muhimu ya kulinda maslahi yako na kuepuka migogoro ya baadaye. Kwa kuwa ardhi na majengo ni mali za thamani kubwa, bila mkataba ulio wazi na ulioandikwa, unajiweka kwenye hatari ya kupoteza fedha, mali, au hata haki zako. Mkataba unatoa...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje Viktor Gyokeres kukosa top 30 ya ballon d'or. Hawa jamaa wanatumia criteria zipi kuchagua washindani?

    Tuliposhangaa na kuhoji kwa nini Messi ashinde ballon d'or dhidi ya Halaand, vijana wa Messi walirusha mawe sana, Anyway maisha ya soka yaendelee.
  3. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa maslahi mapana ya nchi ya Tanzania, Wabunge hawa hawatakiwi kukosa kwenye bunge la 2025-2030

    Huu ni utabiri juu ya nini kitatokea 2025 hadi 2030, itakuwa ni wakati wa kuwakomoa watanganyika. Nchi itapigwa mnada bila hofu yoyote kwa sababu watanganyika hao hao viongozi ndio wanasapoti uuzaji huo uendelee. Wananchi wa Ngorongoro wataondolewa ngorongoro wapende wasipende. Rasilimali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya michezo ya kubaatisha inalijuwa majukumu yake? Usimamizi wa Serikali kwenye hii bodi ukoje?. Ama ndio mwenye kupata apate mwenye kukosa hakose

    Tume ya Kamari ni chombo cha udhibiti kinachowajibika kwa kusimamia shughuli za kamari na kuhakikisha kuwa zinafanywa kwa haki na salama. Kuhusu wachezaji, majukumu yake muhimu ni pamoja na: Kuhakikisha Haki na Uaminifu: Tume inahakikisha kwamba waendeshaji wa kamari wanakidhi viwango...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania SGR inapakia abiria wa Dar kushukia pugu na kuna malalamiko ya kukosa tiketi!

    Hii imekaaje kwamba SGR inapakia abiria wa kutoka Dar kushukia Pugu halafu kuna watu wanaolalamika kukosa nauli za Dar kwenda Morogoro na Dodoma! Dar Kwenda Pugu si kuna ile treni ya Mwakyembe na Daladala? TRC inaelewa kweli inachokifanya? Mimi nafikiri SGR kwa sasa ingewapa kipaumbele abiria...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa ya wanaume kukosa nguvu za kiume hii hapa

    Anagalia vizuri hii picha, kisha useme kama inawezekana kwa mwanaume kuvumilia hiyo hali. Kama rangi ndiyo hiyo, harufu je? Kama kwa nje Pako hivo kwa ndani je? Hakuna haja ya kula ulojo, supu ya pweza, kutafuna karanga ama mihogo, tafuteni pisi safi na zilizojitunza utanishukuru.
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Magereza ya Tanzania kuwa katika hali mbaya, ni kwa sababu ya umasikini au kukosa utu?

    Kwa nchi zilizoendelea, mtu kukaa gerezani humaanisha kukosa uhuru tu, lakini mahitaji mengine karibia yote ya muhimu huyapata. Watanzania waliowahi kufungwa gerezani nchini walishasimulia mikasa na mateso waliyokutana nayo gerezani. Ni hali mbaya sana. Wafungwa hawajaliwi kama ipasavyo...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikoa 15 kukosa umeme Julai 3 na 4 kutokana na umaliziaji njia Umeme wa SGR Msamvu - Dodoma

    NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33 Mikoa itakayoathirika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Supermarket za Shoppers kukosa chenchi

    Wadau kumekuwa na nini kwenye hizi supermarket maana kila ukienda pale hawana chenchi na wanakulazimisha wabaki na hiyo chenchi. Mfano umefanya manunuzi imebaki sh 400 au 700 hawatakurudishia watasema huwana chenchi wakitegemea usamehe hiyo hela.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mtoto moja wakati wazazi wana uwezo wa kuongeza liwe kosa la jinai, ni kumnyanyasa mtoto kukosa ndugu + upweke

    Kuna wazazi huwa wanaamua kwa maksudi wawe na mtoto moja tu kwa sababu ya kuiga maisha ya utandawazi, kuogopa mimba itaingilia kazi zao maofisini, kukwepa gharama za kulea watoto, kutaka kumpa umakini / attention mtoto moja tu, n.k. mtoto anakuwa hana kaka wala dada. yupo peke yake, is it fair...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live Bungeni: Kukosekana kwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Kumepelekea Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Kukosa Impact?

    Wanabodi, Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hizi ni tabia za kukosa ustaarabu na kishenzi (uncultured) kwa sisi madereva tukiwa barabarani, tubadilike

    Kuna tabia za ajabu sana za madereva wengi Tanzania ambazo mimi nazijumlisha na kuwa mambo mawili makubwa, ushenzi na kukosa ustaraabu. Natoa wito madereva tubadilike, kwa sababu kwa na tabia hizi barabarani ni kuonyesha ubinafsi, pupa, ushenzi, kukosa ustaarabu nk! Hizi ni mojawapo, kama...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania Msaada; Dawa ya Miguu kufa ganzi na kukosa nguvu

    Habari za wana JF? Kwa kipindi cha miaka miwili sasa Bibi yangu amekuwa na tatizo la kuishiwa nguvu kwenye miguu, Umri miaka 70. Akisimama kwa mda wa lisaa lazima aanguke chini, akitembea nyayo zinakuwa na ganzi. Naimbeni tiba na ushauri. Yuko DAR ES SALAAM. Ombi la rafiki yangu wa karibu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania CPA ya Issa Masoud Simba ichunguzwe kwa kuongea pumba, utumbo, ujinga na kukosa weledi

    Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa Masoud Simba. Ndugu zangu, taaluma ya CPA inayotolewa na NBAAA sio mchezo, hii ni body ya wakaguzi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kiongozi wetu mkuu hajawahi kukosa USD za kufanya safari za nje ya Nchi ilhali wafanyabiashara wanakosa USD kwenye MABENKI?

    Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Miradi yote mikubwa imesimama kwa nchi kukosa fedha

    Miradi yote mikubwa ya ujenzi kama barabara, maji, SGR na umeme imesimama kwa sababu ya Serikali kukosa fedha za kulipa wakandarasi. Mfano kwa SGR lot 3 na 4 Kampuni ya Kituruki imesimamisha shughuli kutoka Makutopora , Tabora, Isaka. Vilevile lot 5 Isaka Mwanza , Kampuni ya Kichina pia...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Spacio kukosa nguvu

    Wakuu habari,gari yangu aina ya spacio new model inasumbua,inakosa nguvu kabisa hasa engine ikipoa yaani ukiziima kwa muda mrefu alafu ukija kuiwasha inasumbua kwa kuwa inakuwa haina nguvu kabisa hata kigingi kidogo tu cha mlima kinashindwa kupanda Lakini engine ikipata joto huwa inakuwa na...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dk.Philip Mpango aagiza NEMC kuangalia mapungufu ya kisheria yanayosababisha kukosa nguvu katika usimamizi wa usafi wa mazingira

    MAKAMU wa Rais, Dk.Philip Mpango amezindua chapisho la utafiti wa hali ya mazingira ya Pwani na Bahari Tanzania Bara huku akiagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuangalia mapungufu ya kisheria yanayosababisha kukosa nguvu katika usimamizi wa usafi wa mazingira ili...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kijana "Marioo" atoa Dukuduku lake kuhusu kukosa mafao kwenye mahusiano yake

  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukosa kitu gani kwa sababu ya kusema ukweli?

    Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli. Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi? Ukweli mchungu.
Back
Top Bottom