kukimbia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Maarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake, Sharifa Twaha Nyamaishwa (31), Kondakta wa Daladala aliyekuwa mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo...
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Zipi sababu za wanaume kutelekeza ujauzito?

    Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya wanaume kukimbia ujauzito na kutelekeza watoto pasipo sababu za msingi. Ukizingatia kuwa mwanaume ndiye aliyemshawishi mwanamke kwa kinywa chake mwenyewe kwamba washiriki tendo la ndoa. Wanawake wamekuwa mstari wa mbele kuhimiza matumizi ya kinga huku...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba SC leo mkitoka sare au mkifungwa na Namungo FC kwa Mkapa tafuteni vichochoro vya kukimbilia tumeshachoka kuwavumilia

    Wengine kwa Mpira wenu Mbovu na Matokeo mabaya sasa tumeshakonda na tukiona Soka zuri, la Kitabuni, linalovutia la Yanga SC na Ushindi wao mfululizo ndiyo Hasira zinatupanda na Machungu kutuzidia Mioyoni na Rohoni. Wachezaji wa Simba SC ukomo Wetu wa Kuwavumilia umeshafika Kikomo na leo Ole...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Burundi: Majanga ya asili yapelekea watu zaidi ya 100,000 kukimbia makazi yao

    Majanga ya Asili yamesababisha Watu kukimbia makazi yao miaka ya karibuni, ikielezwa wengi wao walikuwa wakiishi pembezoni mwa Ziwa Tanganyika ambapo viwango vya maji vimeongezeka na kusababisha mafuriko na maporomoko Shirika la Save The Children linasema takriban 85% ya Watu 122,500 wanaokaa...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Rais wa zamani Ashraf Ghani aomba msamaha kwa kukimbia nchi

    Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani ameomba msamaha kwa watu wa Afghanistan baada ya kukimbilia katika nchi za Falme za Kiarabu. "Kuondoka Kabul ulikuwa uamuzi mgumu zaidi maishani mwangu," amesema, akiongeza kuwa anajuta kwamba "hakuweza kumaliza hilo kwa njia tofauti." Bwana Ghani...
  6. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ferdinand Omanyala: Mtu wa Kwanza Afrika Mashariki na Kati kukimbia mbio za mita 100 chini ya sekunde 10

    Huyu kijana wa miraba minne aiseeh anatingisha dunia sasa hivi. Baada ya kuwa Mkenya wa kwanza kufika semi-finals za 100 metres huko Tokyo olympics, sasa amekimbia mita mia moja chini ya sekunde kumi. Awa mtu wa kwanza Africa Mashariki na kati kufanya hivyo. Hata Afrika Kaskazini ya Waarabu...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa taharuki kwa wanafunzi wanaokimbia ovyo waonapo wageni au magari shuleni?

    Sasa ni taharuki kwa wanafunzi wa shule za msingi wakiwa shule waonapo wageni au magari yakiingia shuleni basi huanza taharuki na kukimbia ovyo. Taharuki hiyo imesababishwa na wazazi wanaowambia watoto wao kuwa serikali inataka kuwachoma chanjo ya Corona kitu ambacho si sahihi. Wazazi hao...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kudai katiba mpya Eswatini yadaiwa kumfanya Mfalme Mswati III kukimbia nchi

    Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi. King Mswati III of Eswatini. Image: Reuters Thousands of...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufutiwa kesi ya Uhujumu Uchumi, Raia wa China watoka Nduki mahakamani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi sita wa kampuni ya meli ya Sinota Shipping Company waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kukutwa na ndege mmoja aina ya tausi. Washtakiwa hao ambao wote ni raia wa China ni Jin Erhao...
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wawili wamequalify kuenda Tokyo Olympics kukimbia mbio za 100 metres

    Sheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wimbi la kukimbia kazi Clouds FM

    Kazi iendelee. Inashangaza kusikia mtu kama B12 kuacha kazi Clouds FM, kweli binafsi nilishangaa sana maana ulisikia B12 Clouds inaclick kichwani, Diva Clouds, kuna kina Lilian Mwasha nasikia na Komando Kipensi Casto Dickson naye kaondoka au wameondoka sababu uvuli wa jasiri muongoza njia the...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nabii Bushiri na Mkewe wajisalimisha kwa Polisi wa Malawi baada ya kukimbia kesi ya utakatishaji fedha Afrika Kusini

    Fugitive Malawian preacher turns himself in to police Malawian preacher Shepherd Bushiri and his wife Mary have handed themselves over to police in their home country after skipping bail in South Africa. The couple turned themselves in Malawi's capital, Lilongwe, on Wednesday morning...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hii kwangu imekuwa changamoto kubwa. Hata natamani kukimbia home

    Habari! Mimi nmejenga sehemu moja hapa Dar kms 16 kufika Posta kwenye Mnara wa Askari. Nachelea kusema ni mbali na Jiji au si mbali sana. Kiwanja nilinunua kikubwa sana.of course Mzee alitununulia miaka hiyo ya 90s then nami nikaja ongezea so nina eneo la kutosha hasa. Nmejenga na nimepata...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Leo Wapinzani ndio wanaokimbia nchi; lakini muda mfupi ujao CCM wataanza kukimbia pia

    Wahenga wanamisemo mingi sana ya kufundisha, kuonya, kufariji, kukemea na kukupa dira. Miongoni mwa misemo hiyo, Kuna msemo mmoja, "ukiona mwenzio ananyolewa, wewe tia maji". Msemo huo una maana kubwa sana, pia historia ina utamaduni wa kujirudia. Siku za karibuni tumeona viongozi wa upinzani...
Back
Top Bottom